hospital

  1. Rose tesha

    Vidonda vya tumbo vinaanza kurejea, nifanye nini kukabiliana na changamoto hii?

    Msaada, Mimi ni mhanga wa acid kujaa kwenye tumbo had kupanda kwenye Koo Kwa muda wa miaka miwili. Nilienda hospital mbalimbal bila mafanikio ila nikaenda singida hospital ya itigi wakanipa dawa na vyakula ambavyo natakiwa nisitumie na mpangilio wa kula, kweli nikafanya hivyo baada ya miezi...
  2. Nyendo

    Majeruhi ajali ya mwendokasi aruhusiwa kutoka hosptali

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imesema majeruhi pekee wa ajali ya basi la mwendokasi iliyotokea tarehe 22/2/2023 Jijini Dar es Salaam, Osam Milanzi ameruhusiwa kutoka Hospitali baada ya afya yake kuimarika. === Tunapenda kuuarifu umma kwamba majeruhi pekee wa ajali ya basi la...
  3. Berlin storm

    Manjis hospital

    Hivyo ni badh ya vipimo nilivyo pima kama mwaka mmoja uliopita kwenye tatizo langu la muwasho sugu sehem za siri wataalam kalibun icho kichina apo ni jina nimelificha kwa kuweka icho kistika
  4. Hemedy Jr Junior

    Daktari anamiliki "pharmacy" dawa anaiba hospitali halafu anadai ajira inalipa

    Ukiona mtu anasifia kuajiriwa mchunguze sana, wengi wapigaji! Ona mfano mdogo; mwalimu hana posho au marupurupu ndo maana kila siku analalamika. Mapolisi nao, hivyo hivyo. Kuna mambo mengi sana kwenye ajira, ukiona mtu anasema anapata milioni 5 mshahara matumizi yake bei gani kwa siku? Na...
  5. Kiranja Mkuu

    Meja Jenerali Francis Takirwa: Msiwatibu mashoga kwenye hospitali zetu za jeshi

    ========== Don’t treat homosexuals in our facilities, says Maj Gen Takirwa The Deputy Commander Land Forces Maj Gen Francis Takirwa has asked health workers to stop treating homosexuals in public health facilities. Maj Gen Takirwa made the statement on Sunday when the Uganda People’s Defence...
  6. Jacqueline Rusimbi

    Natafuta kazi za pharmacy kwenye hospital pharmacy au community pharmacy

    Habari, mimi ni Pharmtech Tech., nina liseni, nilikuwa nahitaji kazi. Naishi Dar es Salaam-mwenge, pia naweza fanya kazi as full time, part time and night shift. Napatikana kwa number 0765607650 au email: jaelynebless@gmail.com
  7. K

    Hospitali gani ya binafsi kwa Dar inafanya vipimo vya uwezo wa kusikia?

    Nataka nifanyiwe vipimo vya kiwango Cha uwezo wa kusikia(Hearing capacity). Kutoka mkoa mmoja mpaka mwingine kwa hospital za serikali hasa ukiwa mtumishi wa umma Huwa Ina mlolongo mrefu sana. Naomba kujua ni hospital ipi naweza kwenda na nkapata huduma hii kwa haraka Ili niendelee na mambo...
  8. K

    Ujenzi wa Hospitali Mabwepande: Tunaomba lami kipande cha barabara kutoka hospitali hadi Bunju B

    Sisi wananchi wa Mabwepande tunashukru serikali ya Rais Samia kwa kuendelea kukamilisha ujenzi wa hospitali ya Mabwepande. Hata hivyo, tunaomba kipande cha barabara kutoka hospitalini hadi Bunju B kiwekee lami. Hii itasaidia kwa wakina mama hasa wajawazito watakapolazimika kupewa uhamisho...
  9. Half american

    Juzi nimemuona hospitali akiingia CTC

    Habari zenu wakuu, herini ya mwaka mpya. Bila kupoteza mda niende moja kwa moja kwenye mada. Miaka mitatu iliyopita nilifahamiana na binti mmoja kupitia social media na niyeye alienitafuta, awali tulikua tukionana mtaani lakini sikuwahi kutaka ukaribu nae. Ni pisi ya kawaida sura ya upole...
  10. Mtanzania Mnyonge22

    Hospitali na wodi ya wazee

    Habari Wakuu, Heri ya Christmas na Mwaka Mpya! Naomba kufahamishwa Hospitali na Wodi ambazo kuna Wagonjwa “WAZEE” (Jinsia Yoyote) ndani ya DAR-ES-SALAAM au Ukanda wa Pwani ili niwatembelee na kuwapa Sadaka. Asante🙏🏼
  11. balimar

    Walimu na Madaktari waliohitimu wajiunge pamoja waanzishe Shule na Hospital binafsi ila Serikali iwape Mikopo ya kuendesha hizo Taasisi

    1.0 Waungwana Habari zenu!! Mimi nina wazo hivi kwanini hawa Walimu wetu waliomaliza Vyuo Miaka nenda rudi na hawa watu wa Afya tusifikirie kivingine kuhusu swala la Ajira. Serikali inayo nafasi ya kuwasaidia hawa kwa mlango mwingine Mathalani badala ya kuendelea kujenga shule na vituo vya...
  12. T

    Natafuta hospital yenye daktari mzuri wa koo

    Nitapata wapi specialist wa koo mzuri Dar es Salaam. Inafika miezi mitano sasa nasumbuliwa na koo.
  13. GENTAMYCINE

    Kwahiyo sasa iitwe Mirembe Ummy Mwalimu Mental Hospital au?

    Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema anatamani kubadilisha jina la Hospitali ya Magonjwa ya Akili la Mirembe kwa sababu watu wanaoenda katika hospitali hiyo wanaonekana kama ni 'machizi'. Chanzo: Clouds Media Yaani Waziri mzima tena wa Wizara Nyeti na Muhimu kwa Ustawi wa Afya...
  14. GENTAMYCINE

    Ukikutana na Shabiki wa Mpira mwenye Kauli zifuatazo jua Hospitali ya Mirembe kunamuhusu

    1. Tunaenda kupindua meza kwao. 2. Mungu ni wa wote. 3. Wao wamewezaje na sisi tushindwe? 4. Mpira unadunda kokote pale. 5. Iwe jua iwe mvua. 6. Kikubwa ni kumuomba tu Mwenyezi Mungu. 7. Wamewezaje kupata alama kwetu na sisi tushindwe kuipata kwao? GENTAMYCINE nasisitiza, ukibahatika tu...
  15. C

    Ni kweli kuna uhaba wa Madaktari Hospitali ya Mwananyama?

    Leo nimetembelea hospital ya Mwananyama na kukuta foleni kubwa ya wagonjwa wakusubiri Madaktari. Kadhaa hii imekuwa ikitokea mara Kwa mara katika hospital hii. Swali ni kuwa ni kwel Kuna uhaba wa madaktari? Bado kuna upendeleo katika utoaji wa huduma katika hospital hii?
  16. Kalpana

    DOKEZO Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma (General Hospital) angalieni roho za watu

    Kuna hali ya sintofahamu hapa kwenye hii hospital sijui ni uzembe wa makusudi au hospital imekabidhiwa wanafunzi Case 1: kuna ajali ilitokea ya magari yaligongana na ktk hyo ajali kuna watu naowafahamu, wakapelekwa general abiria mmoja kati ya waliopata ajali alifika hapo hospital akiwa...
  17. mwanamwana

    UTEUZI: Rais Samia afanya teuzi za Wakurugenzi Watendaji wa Hospitali ya Muhimbili na JKCI

    UTEUZI: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mohamed Yakubi Janabi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili. Prof. Janabi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Janabi anachukua nafasi ya Prof. Lawrence Maseru ambaye amestaafu. Aidha Rais...
  18. S

    Hospital gani nzuri ya mifupa kwa hapa Dar es Salaam?

    Habari Naomba kuuliza kwa hapa Dar ni hospital gani binafsi nzuri ya mifupa ambapo doctor anapatikana kila siku kwa maana kuanzia jumaatatu hadi jumaamosi? Asante.
  19. J

    NHIF kupunguza muda wa mahudhurio ya hospitali kutoka 360 kwa mwaka hadi 36, pia itatumia bei ya soko kwa dawa za kansa na kusafisha figo

    Ili kuboresha huduma na uimara wa mfuko NHIF inakusudia kupunguza muda wa mahudhurio ya hospitali kutoka 360 kwa mwaka hadi 36. Kadhalika mfuko utaanza kutumia bei ya soko kwa dawa za kansa na kusafisha figo Kwa taarifa zaidi wasiliana nao hapa hapa Jamii Forums wapo. Source: Kipima Joto, ITV
  20. L

    DOKEZO Hospitali ya Kairuki wahuni wachunguzwe. Kila mgonjwa wa Bima anaumwa Helicobacter pylori (H. Pylori)

    Helicobacter pylori (H. pylori) huu ugonjwa dawa zake bei zake ni kuanzia elfu 80. Hospital ya Kairuki hasa polyclinic Kairuki ya Mbezi Magufuli kila mgonjwa atakayepima choo wote wanaambiwa wana H. pylori. Ukiwa na Bima ya afya lazma uambiwe una H. pylori. Nilipeleka mtoto wangu akaanbiwa...
Back
Top Bottom