Habari zenu wakuu, herini ya mwaka mpya. Bila kupoteza mda niende moja kwa moja kwenye mada.
Miaka mitatu iliyopita nilifahamiana na binti mmoja kupitia social media na niyeye alienitafuta, awali tulikua tukionana mtaani lakini sikuwahi kutaka ukaribu nae. Ni pisi ya kawaida sura ya upole...