Hotuba hii JD Vance, Makamu wa Rais wa Marekani alikuwa anawaambia watu wa Ulaya lakini ukweli ni nchi zote za dunia hii na Tanzania ikiwemo,
kifupi JD anawaambia viongozi wa Ulaya waache tabia ya kuwatenga, kuwaadhibu, kuwateka na kuwabambikia kesi raia wao wenye mawazo tofauti na yao, badala...
Yakasemwa na tume ya Jaji Kisanga, yakarudiwa na tume ya Jaji Bomani yakaja kurudiwa zaidi na tume Jaji Warioba.( Hizo ni tume zilizoundwa na wasomi huru sio machawa).
Ukweli ni kwamba , wajinga wengi , wasopenda kusoma Wala kufatilia, ambao hata hawajui chochote kuhusu hizi time zote...
Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake. Kwa hotuba Lissu ameshaanza kukomaa.
Bado TU kutueleza ni kwa vipi ataondoa umaskini kwa watanzania na vipi ataboresha elimu, afya, kilimo, uchimbaji, biashara, uvuvi na ufugaji kama chadema ikipewa ridhaa.
Hata Ruto aliimba hayohayo wakati...
Kwanza naomba kuanza kwa kukupongeza kwa mikakati yenu ikiwemo kuzungumza na Viongozi wa Dini ili kuunga mkono kazi nyeti mnayoifanya ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu. Watu hawa ni wa muhimu sana na kongole nyingi kwenu kwa mikakati hii.
Pili kuna kundi moja nchi hii naomba...
Maelfu ya wakazi wa Goma Alhamis hii walikusanyika katika Uwanja wa Unity kuhudhuria mkutano wa hadhara ulioongozwa na Corneille Nangaa, mratibu/kiongozi wa Alliance Fleuve Congo (AFC/M23).
Ambapo amewatambulisha maafisa wapya wa Kivu Kaskazini.
Kwa mujibu wa msemaji wa AFC/M23, Laurence...
LUHAGA MPINA, Mbunge wa Kisesa ametumia takribani masaa 7 mfululizo kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 na nusu usiku akizungumza na watanzania juu ya matatizo mbalimbali yanayolikabili taifa letu ikiwemo maonevu wanayofanyiwa wachimbaji wadogo wa madini kufukuzwa na maeneo yao kupewa raia wa...
Mwenyekiti mpya wa CHADEMA katika sentensi yake ya kwanza ya hotuba yake ya kwanza baada ya uchaguzi amesema yeye anachagua maneno yake very carefully.
Akitangaza ratiba ya leo ya Baraza Kuu amesema litakutana na agenda ya kumchagua Party Secretary na manaibu wake, wa Zanzibar na Tanganyika...
HOTUBA YA TUNDU LISSU BAADA YA KUSHINDWA NA MWINYEKITI FREEMAN MBOWE KATIKA UCHAGUZI WA NDANI
Ndugu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe,
Ndugu viongozi wa chama, wanachama wenzangu, na Watanzania wote,
Kwanza kabisa, nataka kutoa pongezi zangu za dhati kwa...
Hii ni tathmini yangu ya haraka haraka. Kuna fukuto kubwa sana na bifu kubwa sana kati ya wanachama na viongozi wa chadema.
Natabiri vurugu kubwa sana ambayo kama Ubungo Plaza watakubali kuwapa ukumbi chadema, basi wajiandae kwa lolote litakalotokea, vinginevyo Chadema waweke dhamana ya fedha...
Ukisikiliza quotes za kujifariji za kijana wa CHADEMA John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA, inaonesha hali mbaya sana ya hawq vijana wa CHADEMA anafanya quotations za watu maarufu ambao kwa sasa wako kuzimu na hawewezi kumtia tumaini lolote huku dubwana na beberu Mbowe likiwa meza kuu...
Kinachomtofautisha Tundu Lissu wanasiasa wengi hapa Tanzania ni usomi wake.
Jenerali Ulimwengu hakukosea aliposema kwamba kila anapozungumza Lissu yeye humsikiliza kwa makini sana.
Mara nyingi katika mazungumzo yake Tundu Lissu lazima atatoa neno au somo jipya kwa wasikilizaji wake.
Msikilize...
Msikilize kwa makini if interestd anyway! Nawakaribisha machawa wote wa FAM na TAL, kuna cha kujifunza kikubwa kuhusu wajumbe kuwa informed who to vote for!
Maridhiano basi, sasa utatumia mbinu gani? vita? Utakinukisha kwa vipi? vita?
msikilize
https://www.youtube.com/watch?v=4bFvRvum5Ow
Ni wazi muungwana ameenda kuomba milioni 30 alizotakiwa kuchangia na kamati kuu, kama sehemu ya gharama za mkutano mkuu wa chadema taifa na uchuguzi wa Chadema ngazi ya taifa. Hata hivyo ni kama vile hana uhakika wa kuipata.
Ieleweke bayana kwamba, mgombea huyu mbinafsi sana wa uenyekiti...
Lissu ameanza kutoa milio.
Anasema bajeti ya wajumbe kulala, hizo hela wajumbe wasipewe, walipiwe hotel, Lissu anataka hata hela ya safari wajumbe wasipewe, wakodiwe magari, hela ya kula wasipewe, walipiwe kwa mama ntilie.
Yaani mjumbe hata kama ana ndugu yake asifikie huko ili kuokoa gharama...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Wananchi wa Ruangwa ni miongoni wa Tanzania walifanikiwa kuifuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan.
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi...
Kusema kweli mzee makongoro nyerere hachoshi katika hotuba zake, Huyu mzee kwa mimi binafsi ningetamani sana apate wadhifa wa juu, kwa hii nchi ilivyo kwa sasa inahitaji watu wa aina hii, tunahitaji kuchekeshwa sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.