Sijui ni kuzidiwa na utamu? Au ni umafiki? Au ni sababu ya kupata ladha mpya!! Waitwao wabunge leo wa CCM na wale covid-19 walipigia makofi kila alichokisema mama
Kuna wakati hata hayakuhitajika lakini yalipigwa... Meza za bunge leo zimeipatapata na viganja vya waheshimiwa kama havijavilia damu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
UPDATES:
Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake.
HOTUBA YA RAIS...
ajira
atcl
bungeni
changamoto
haki
historia
hotuba
hukumu
kikuu
kufanya
madaktari
magufuli
mahaba
maji
mama samia
moyo
nchi
ndege
ngumu
rais
samia
samia suluhu
serikali
somo
viongozi
wabunge
wanawake
wengi
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA
NA.
MUDA
SHUGHULI
MHUSIKA
1.
3:00 – 5:00 Asubuhi
Kikao cha Bunge
Spika/Katibu wa Bunge
2.
5:00 – 8:00 Mchana
Shughuli za Kiutawala Ukumbini
Katibu wa Bunge/Chief of
Protocol
3.
8:00 – 9:00 Alasiri
Waheshimiwa Wabunge na...
Leo bunge limetengua kanuni kuruhusu wageni wasioruhusiwa kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati wa hotuba ya Rais Samia Suluhu, miongoni mwao ni Makamu wa Rais, Philip Mpango na Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi.
Pia spika Ndugai aliwashauri wabunge wasivae tai nyekundu kwasababu ni kwaajili...
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni
Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu.
===
Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
Mheshimiwa Rais,
Unapojiandaa-andaa kulihutubia bunge, tena kwa mara ya kwanza; usisahau kuongelea mambo haya:
1. Ajira kwa vijana.
2. Bei za bidhaa, hasa bidhaa zinazoliwa
3. Gharama za tozo za simu
4. Katiba mpya
5. Maridhiano ya kitaifa
6. Ripoti ya CAG
7. Ubovu wa bunge la JMT.
Kila la...
Ikumbukwe kuwa Zitto Kabwe na Freeman Mbowe walitoa hotuba zao siku moja ila walipishana masaa tu.
Zitto Kabwe alijikita kwenye ripoti ya CAG na akaelezea ubadhirifu katika maeneo kadhaa ikiwemo ATCL.
Freeman Mbowe yeye alijikita kuuelezea utawala wa awamu ya tano ulivyohitimika na kuanza kwa...
Mh. Rais Samia.
Nimesikiliza hotuba za hawa watu wawili, Makamba Jr (Jana) na Nape(Leo). Hawa watu wanajua kucheza na siasa ili mambo yao yakubirike kwa jamii. Ukiteleza kidogo tu wana wewe.
Ukiwaangalia kwa nje ni kama kondoo lakini kwa ndani wanalo jambo lao. Ni vile mimi nimeanza...
Ndugu zangu,
Mbowe akiongea na wanahabari mwaka 2021 aliipinga serikali akisisitiza kuwa njia sahihi ya kujikinda na corona ni social distancing na lockdown lakini huyu wa juzi (mwaka 2021) anakana anasema hakumaanisha hivyo.
Teknolojia hatari sana
Kipekee kabisa niwapongeze mbunge wa Mbeya mjini Sugu Iringa mjini mchungaji Msigwa, Mikumi Prof Jay, Tarime Heche na Mbowe Hai kwa kusimama imara na kutokiasi chama chao.
Sina hakika kama wale wahamiaji waliofuata vyeo na fursa CCM watadumu sana kadhalika Halima Mdee na wenzake nao kwa sasa ni...
Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili.
Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking.
Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli.
Nadhani siku...
Hotuba ya Mhe. Freeman Mbowe
Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari mwaka huu, ambao leo hatunao tena.
Ni katika kipindi hiki, Taifa letu lilikumbwa na taharuki kubwa...
Freeman A. Mbowe:
"Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari mwaka huu, ambao leo hatunao tena."
"Ni katika kipindi hiki, Taifa letu lilikumbwa na taharuki kubwa...
Jana hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliyempongeza Mhe. Rais kwa Hotuba nzuri, hata akina Kigwangala wanaokesha mitandaoni walikaa kimya. Watu waliopongeza ni wapinzani na wanaharakati pamoja na wananchi wa kawaida.
Siku zote ccm si chama kilichopo kwa ajili ya wananchi ni chama kwa ajili...
UFAFANUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.
Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Nampongeza mama kwa hotuba nzuri yenye kuleta tabasamu kwa maisha ya watanzania kwani hotuba yake imejaa maneno ya faraja kwenye maisha ya watanzania hasa sisi wa kipato cha chini mama kagusa sehemu muhimu na nyeti kaona kua sisi wananchi wachini hatuna hela mama kaaidi kuweka mazingira mazuri...
INGEKUWA HOTUBA YAKE TUNGESIKIA
Ndugu zangu! Nataka niwaambie ukweli. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Tusibaguane kwa vyama, dini na makabila yetu maana Maendeleo hayana Chama!
Kuhusu KODI; Wizara ya Fedha, Kitengo cha TRA nimeona hapa Bajeti yenu ya mwaka huu. Mmesema mnahitaji Billioni 27...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.