Freeman A. Mbowe:
"Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari mwaka huu, ambao leo hatunao tena."
"Ni katika kipindi hiki, Taifa letu lilikumbwa na taharuki kubwa...