Japo alikua anazungumza na waalimu ila aligusia mambo mengi ambayo hata wakati huu yanatuhusu sana.
Nukuu niliyoipenda ni ile ya maskini ama mnyonge hana cha kupoteza inapokuja suala la kudai mustakabali mwema, sana akipoteza ni huo umaskini na unyonge wake, hii nukuuu inatufaa sana wakati huu.