hotuba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wababa13

    Kwanini Jaji Mkuu anatumia hii sehemu ambayo Rais ndo huwa anatumia wakati wa hotuba?

    Habari za leo ndugu, jamaa na marafiki. Leo nimewaza nimeona ni vema niwashirikishe na nyie.. hapo aliposimama Jaji Mkuu binafsi huwa namuonaga Rais wa nchi peke yake, hata Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge na Katibu Mkuu kiongozi kwa upande wangu sijawahi kuwaona hapo (sijui...
  2. Thailand

    Kitendo cha Rais kusimamisha hotuba kisa Adhana ya waislam imakaaje hii kitaifa?

    Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma. Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais...
  3. B

    Ndalichako atoa hotuba iliyojaa pongezi na shukrani Mei Mosi 2022

    Yani kila wakati najiuliza sana, Hawa maprof sijui akili huwa wanaziacha wapi, leo Prof katoa Pongezi na shukrani Hotuba nzima Mpaka nakaa najiuliza sana, hivi kazi ya Prof Wizara ya kazi ni Nini hasa? Kumsifia Rais au kunisaidia Rais? Ukitazama Hotuba aliyotoa CDR MTAKA, utagundua utofauti...
  4. Mohamed Said

    Miaka 100 ya Julius Kambarage Nyerere: Hotuba ya Karne uchaguzi wa kura tatu Tabora 1958

    Kushoto ni Brian Wills kutoka Conservative Party ya Uingereza akisimamia uchaguzi wa UTP huyo pembeni yake ni Sheikh Hussein Juma aliyekuwa Makamu wa Rais wa UTP.
  5. ACT Wazalendo

    Waziri Mkuu Kivuli, Dorothy Semu aja na mbadala wa hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu

    MAELEZO YA NDUGU DOROTHY MANKA SEMU, WAZIRI MKUU KIVULI ACT WAZALENDO KUFUATIA HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUHUSU MAPITIO YA KAZI NA MWELEKEO WA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA WA 2022/2023 Ndugu Wanahabari, Mtakumbuka kuwa Bunge linaendelea kujadili mwelekeo...
  6. O

    Ni nani anayemuongopea Rais Samia? Rais ajiridhishe na hotuba zake kabla ya kusoma kwa watu

    Siku ya Leo katika mkutano wa Wanachama wa TDC Rais Samia amesikika akisema Tanzania imepotenza Hadhi ya nchi ya Lower middle Income Country, akidai kuwa tulishushwa hii nafasi. Je, Wanaomuandalia Samia hizi taarifa wanafikiri Watanzania ni watu wajinga wasio weza kufatilia mambo? na ni kwa...
  7. J

    TBC yapaswa muwajibike kwa kuruhusu Hotuba ya Slaa inayotetea Ufashisti

    Nimeisikiliza hotuba ya Dk Slaa kuhusu Legacy ya Magufuli, sikatai kuwa Magufuli ana mambo mazuri na ana legacy yake inayopaswa kuenziwa, lakini alikuwa na mapungufu mengi ambayo hata wana CCM wenyewe wanakubali, na Rais Samia mabye ndiye mwenyekiti wa CCM na Rais kwa sasa anarekebisha mabaya...
  8. Komeo Lachuma

    Tunapoenzi siku ya kifo cha Magufuli tukumbuke Hotuba zake mbalimbali

    Mimi naikumbuka sana hii.
  9. Roving Journalist

    Waziri Biteko: Mchango wa sekta ya Madini umekua hadi kufikia asilimia 7.3 ya Pato la Taifa, katika kipindi cha Mwaka Mmoja wa Rais Samia

    HOTUBA YA WAZIRI WA MADINI MHE. DKT. DOTO BITEKO (MB) AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA MAADHIMISHO YA MWAKA MMOJA WA SERIKALI YA AWAMU YA SITA MADARAKANI TAREHE 10 MACHI, 2022 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WIZARA YA MADINI, DODOMA Bw. Adolf Nadunguru, Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini...
  10. The Palm Tree

    Katika hotuba hizi mbili (Mbowe & Lissu) ni mwana - CHADEMA gani timamu hajawaelewa viongozi hawa kupata heshima ya kuzungumza na Rais Samia?

    Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni maridhiano ya kisiasa kwa mustakabali wa kujenga Tanzania ya HAKI kama tunda la UPENDO na AMANI. Hawa...
  11. Roving Journalist

    FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe kwa Watanzania na Baraza la Wanawake Chadema Iringa 08/03/2022

    HOTUBA YA MBOWE Kama mjuavyo, nimerejea uraiani toka Gerezani siku nne tu zilizopita. Nawashukuru sana kina Mama wa Chadema kunialika kuja kuwasalimia wakati mkiadhimisha siku yenu maalum. Ukiondoa kundi dogo sana, tena tuliloliamini lakini likakiasi Chama kwa vipande vya fedha, Wanawake...
  12. JanguKamaJangu

    Hotuba ya Mbowe mkoani Iringa; Asema CHADEMA inachokozwa, ataja bendera ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) mkoani Iringa Sehemu ya kauli za Mbowe katika hotuba yake: "Tumekataa kuwa chama cha tamaa za fedha na...
  13. Erythrocyte

    Maandalizi ya Ukumbi atakapohutubia Freeman Mbowe kwa mara ya kwanza tangu atoke jela yamekamilika

    Ukumbi huu unaitwa Usambara Hall, uko Mjini Iringa, Hapa ndipo shughuli ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na mabingwa wa shughuli za akina mama BAWACHA itafanyika. Shughuli hii ibatarajiwa kuhutubiwa na Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika...
  14. sky soldier

    VIDEO: Biden aitamka Iran badala ya Ukraine kwenye hotuba muhimu ya hali ya kitaifa (sotu)

    State of the union ni hotuba yenye uzito mkubw ambayo hutolewa na raisi wa marekani mara moja kwa mwaka kuhusu ya hali ya kitaifa. Jana yalitokea mambo ya kushangaza kwenye hii hotuba, Joe Biden ana ugonjwa wa akili wa "Dimentia" anaouficha ila huwa unamuumbua mara kwa mara hadharani, hapo...
  15. John Haramba

    Memba wa Umoja wa Mataifa waondoka ukumbini, wasusia hotuba ya Waziri wa Urusi

    Zaidi ya wajumbe 140 wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, leo Machi Mosi, 2022 walitoka nje ya ukumbi baada ya kukataa kusikiliza hotuba ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergei Lavrov. Waziri huyo alikuwa akishiriki mkutano huo kwa njia ya video kutokana na mipaka ya ndege...
  16. Roving Journalist

    Full Text: Hotuba ya Baba Askofu Severine Niwemugizi, mbele ya Rais Samia kwenye sherehe ya Jubilei ya miaka 25 ya Uaskofu, 22 Februari 2022 Ngara

    HOTUBA MBELE YA MGENI MAALUM RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE SHEREHE YA JUBILEI YA MIAKA 25 YA UASKOFU, TAREHE 22 FEBRUARI 2022, NGARA Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwadhama Kardinali Anthony Kambanda, Askofu Mkuu wa Kigali Mhashamu Askofu Flavian...
  17. Labani og

    Balozi wa Kenya aishambulia Russia kwa kuyatambua kama majimbo huru ya Ukraine

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilifanya mkutano wa dharura baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kusema kwamba sasa anatambua sehemu ya Ukraine kama Urusi na atatuma wanajeshi wake kuwa walinzi wa amani katika majimbo hayo mawili. Uingereza ilichukua hatua ya haraka kutangaza vikwazo...
  18. J

    Harvard University: Hotuba ya Hayati Rais Benjamin Mkapa

    Hotuba ya Rais Benjamin Mkapa Harvard University Sept 15, 1999. Pamoja na kuhutubia Rais Mkapa alijibu maswali toka kwa wanajumuiya ya Harvard.
  19. MALCOM LUMUMBA

    Siasa inahitaji sana akili: Angalia alichofanya Rais Obama baada ya kuingiliwa alivyokuwa anatoa hotuba yake

    Mara ya kwanza, alikuwa akizungumzia suala la uhamiaji nchini Marekani Mara ya pili, aliwazuia wafuasi wake wasimzomee mfuasi wa Trump aliyekuja kumpinga Evaluate your battles carefully, sometimes peace is more important that being right.
  20. J

    Nukuu ya hotuba Shaka Hamdu Shaka katika uwekaji jiwe la msingi ofisi ya CCM wilaya Musoma Vijijini - 02 Februari 2022

    NUKUU YA HOTUBA YA KATIBU MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA UWEKAJI JIWE LA MSINGI OFISI YA CCM WILAYA MUSOMA VIJIJINI 02 FEBRUARI 2022 "Uamuzi wa kuanza kuyaunganisha Mataifa ya Tanganyika na Zanzibar baadae vikaungana TANU na ASP Februari 5 Mwaka 1977 laiti hatua hizo zisingefanyika kwa...
Back
Top Bottom