Nashindwa kuelewa, yaani eneo la nyuma ya stendi kuna soko la vyakula, ila cha ajabu sehemu zinapopark daladala zimezungukwa kwa kupangwa nyanya, viazi, machungwa nk.
Yaani njia ya kupita shida pindi unapanda daladala, hata madereva wanalalamikia hili.
Pia hupelekea watu kupigana kwa kunyaga...