huawei

  1. HiSilicon

    Report: the Huawei P50 will use Kirin 9000 chips, Samsung and LG OLED displays

    With the Mate 40 flagships out of the gate, Huawei is moving its attention to the P-series – despite US sanctions disrupting its supply line, the company is on track to launch the P50 phones in the first half of 2021. This means the P-series may keep to its usual March/April launch time frame...
  2. HiSilicon

    Huawei Mate 40 Series 💥

    Huawei Mate 40 Pro, Pro+ and RS unveiled with 5nm chipsets, amazing camera setups. Network : GSM / HSPA / LTE / 5G Display: 6.76 inches, 115.7 cm2 (~94.1% screen-to-body ratio) Chipset : Kirin 9000 5G (5 nm) Cpu: Octa-core (1x3.13 GHz Cortex-A77 & 3x2.54 GHz Cortex-A77 & 4x2.05 GHz...
  3. Lexus SUV

    Hivi kweli simu za HUAWEI bado zinatumia google playstore?

    Kwa sababu kama mnavyojua jinsi serikali ya Marekani ilivyoweka sheria zake katika makampuni ya china , napenda uliza swali tajwa hapo juu.
  4. Almendezz

    Samsung na LG kutowauzia display HUAWEI

    Tarehe ya mwisho ya Septemba 15 inaonekana inazidi kutisha kwa Huawei - laini ya usambazaji ya kampuni hiyo itapungua pamoja na kukatwa kutoka kwa supplier wa chip wa TSMC. Reuters inaripoti (ikinukuu media ya Kikorea) kwamba Samsung Display na LG Display zinatarajiwa kusitisha uuzaji kwa...
  5. T

    Hatimaye Samsung na LG wasitisha kuiuzia Huawei vioo 'screen panel displays'

    Kampuni za electroniki za Samsung na LG zimesitisha rasmi mkataba wa kuiuzia kampuni ya Huawei vioo au screen panels zinazotumika kwenye simu. Kampuni ya Samsung ndiyo muuzaji mkubwa wa vioo vya simu ama display za OLED, AMOLED na LCD zinazotumika kwenye simu nyingi Duniani. Samsung na LG...
  6. T

    Vikwazo vipya vya USA kwa Huawei vinazuia hata kampuni choka mbaya kama Mediatek kufanya biashara na Huawei

    Marekani imetangaza vikwazo vipya kwa kampuni ya Huawei zaidi ya vile ilivyotangaza mwezi MAy mwaka huu ambavyo vilizuia makampuni makubwa ya kutengeneza chipsets kama Samsung na TSMC kuiuzia Huawei. Jana Jumatatu Marekani imetangaza vikwazo vipya kwa Huawei ambavyo vinazuia kampuni hata za...
  7. Almendezz

    OnePlus, Oppo, Huawei, Samsung na Sony zote zashinda tuzo za EISA 2020-2021

    Kamati ya EISA imekagua simu janja ambazo zilizindua mwaka huu na kuzawadiwa bora zaidi kati yao - hapa ndio washindi. The OnePlus 8 Pro walipata tuzo bora ya Smartphone. Jopo la waamuzi lilifurahishwa na jinsi kifaa huchanganya muundo na cutting edge, ikionyesha display ya 120 Hz 1440p +...
  8. T

    Vikwazo vya Marekani: Huawei yatangaza kuacha kutengeneza simu za viwango vya juu, flagship phones

    Baada ya vikwazo vya Marekani, kampuni ya Huawei imetangaza kuacha kuzalisha flagship chipsets za Krin zinazotumika kuendesha simu za viwango vya juu ama flagship phones kama Huawei P series na Huawei Mate series. Vikwazo vya Marekani vimefanya imekua ngumu kwa Huawei kupata vifaa vya...
  9. T

    iPhone yapoteza nafasi ya kuwa simu namba 1 China. Watu wengi wanahamia Huawei

    China kulikua na Iphone nyingi kuliko nchi yoyote Duniani ila sasa Iphone inapoteza nafasi ya kua simu namba moja China. Watumiaji wengi wa Iphone wanahamia Huawei, Iphone inakabiliwa na ushindani mkubwa kutoka kwa makampuni ya China kama Huawei, One Plus, Oppo, Honor, TCL, ZTE na kadhalika...
  10. T

    Marekani: Brazil itakabiliana na hatari iwapo itaruhusu Huawei kujenga 5G

    Kwa kile kinachoitwa muendelezo wa Marekani kutumia mkono wake mrefu na wenye nguvu kuiwekea vikwazo kampuni ya Huawei kutoka China, sasa mbinyo huo umeifikia Brazil. Balozi wa Marekani nchini Brazil ameionya nchi hiyo kua itakabiliwa na hatari iwapo itairuhusu kampuni ya Huawei kujenga mitambo...
  11. T

    Mgogoro wa China na India, Airtel kuachana na Huawei

    Baada ya India kuingia kwenye mgogoro wa China, kampuni ya mawasiliano ya Airtel inatarajia kuachana na kampuni ya Huawei. Airtel imeikaribisha kampuni ya Errickson kutoka Sweden kupata vifaa vya mawasiliano ya 4G na 5G. Je Huawei itaweza kuishi ama kupambana na vikwazo vya kimarekani...
  12. T

    TSMC: Hatutapokea ombi lolote kutoka Huawei kununua processor zetu kuanzia September 14, 2020

    Kampuni ya kutengeneza processor za simu za kiwango cha juu ya Taiwani, Taiwanese Semiconductor Manufacturing Company au TSMC imesema haitapoea ombi lolote wa kuiuzia processor zake kampuni ya Huawei kuanzia September 14, 2020 ili kutokumbana na vikwazo vya Marekani. Marekani imezuia kampuni...
  13. T

    Taiwan yaungana na Marekani, yadai Huawei ni kirusi cha kichina, Trojan Horse, yadai wao walishaipiga marufuku toka 4G inaanza

    Waziri wa digitali wa Taiwan amesema Huawei ni kirusi cha kichina au Trojan horse kutoka China na ni hatari kuitumia kwenye mfumo wa mawasiliano ya nchi Waziri huyo ambae zamani alikua muiba taarifa za kimtandao ama kwa kimombo hacker anasema wao Taiwan walishaliona hilo la Huawei muda mrefu...
  14. T

    Marekani yatangaza marufuku ya kusafiri kwa wafanyakazi wa Huawei na makampuni mengine ya Kichina

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani bwana Pompeo ametangaza kua serikali ya nchi hiyo itawawekea vikwazo vya kusafiri wafanyakazi wa makampuni ya Kichina ikiwemo Huawei. Pompeo amesema watawawekea vikwazo na kuwapiga marufuku wafanyakazi wa makampuni ya Kichina wasisafiri hivyo kuathiri kabisa...
  15. T

    Namibia: Kampuni ya Huawei yatuhumiwa kuhonga wanasaisa kupata tender ya kujenga 5G

    Kampuni ya Huawei imetuhumiwa kutoa rushwa kwa wanasiasa na wafanya maamuzi ilo ipate kandarasi ya kujenga mtandao wa 5G. Meya wa mji wa Windhoek amesema alipewa pesa za hongo mamilioni ya shilingi ili aipitishe Kampuni ya Huawei ili ijenga mtandao wa 5G. Jana Uingereza ilitangaza kuiondoa...
  16. Yoyo Zhou

    Uamuzi wa Uingereza kuipiga marufuku kampuni ya Huawei ni hasara kwa Uingereza na maendeleo ya teknolojia ya huduma ya 5G

    Serikali ya Uingereza imetangaza kuwa kuanzia tarehe 31 Desemba mwaka huu, kununua vifaa vya teknolojia ya 5G kutapigwa marufuku, na vifaa vyote vya kampuni ya Huawei vya teknolojia ya 5G vitaondolewa nchini Uingereza kabla ya mwisho wa mwaka 2027. Hatua hii inaonyesha kuwa Uingereza imesujudu...
  17. T

    Hatimaye Uingereza yaipiga marufuku Huawei kuweka mitambo ya 5G nchini humo

    Nchi ya Uingereza imepiga marufuku kampuni ya Huawei kuweka mitambo ya 5G nchini humo. Mwezi January Uingereza iliipa Huawei tenda ya kuweka mitambo ya kawaida au non core ya 5G. Mwezi wa 5 Marekani iliiwekea vikwazo vipya kampuni ya Huawei vitakavyoiondolea kampuni hiyo uwezo wa kupata au...
  18. T

    Hatimae Telecom Italia, kampuni namba moja ya simu Italia imeiondoa Huawei kwenye uzinduzi wa 5G yake

    Jana zilitoka habari za ndani au chini ya kapeti kua nchi ya Italia inafikiria kuitenga Huawei kwenye mfumo wake wa mtandao wa 5G. Juzi pia zilitoka habari kua Marekani inaishinikiza Brazil kutafta kampuni nyingine nje ya Huawei kuunda mfumo wake wa taknolojia ya 5G na Marekani akaahidi yuko...
  19. T

    Italy inatarajia kuiondoa Huawei kwenye mpango wake wa 5G

    Nchi ya Italia inatarajia kuiondoa Huawei kwenye mpango wake wa 5G sawa na nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya Mwaka jana Italia ilitoa green light kwa kampuni ya Huawei kushiriki kwenye uanzishwaji wa 5G nchini humo. Sasa kutokana na shinikizo kubwa la Marekani kwa nchi washirika kuachana na Huawei...
  20. T

    Ufaransa imesema haitaipiga marufuku Huawei ila imezisihi kampuni za simu kuiepuka Huawei

    Serikali ya ufaransa imesema haina mpango wa kuipiga marufuku Huawei kufanya kazi ndani ya nchi hiyo ila imesisisitiza kampuni za simu kuepuka Huawei. Kuna kampuni tayari zilishapewa kibali cha kutumia mitambo ya Huawei kwenye teknolojia ya 5G hasa kwenye maeneo yasiyo ya muhimu kama vile...
Back
Top Bottom