Serikali ya Uingereza inategemea kuiondoa Huawei kwenye mfumo wa 5G kabla ya mwaka huu kuisha.
Mwezi January mwaka huu serikali ya Bw. Boris Johnson iliipa huawei kandarasi ya kutengeneza mfumo wa 5G ndani ya Uingereza kwa baadhi ya sehemu, kwamba ingeshiriki kwa 35% kuunda mfumo wa 5G na...
Juzi waziri wa mambo ya nje wa Marekani bwana Pompeo alisema upepo umeanza kuwabadilikia Huawei.
Pompeo anasema kutokana na kampeni ya Marekani sasa watu wengi ulimwenguni wameanza kuona hatari ya Huawei na kuanza kuachana nayo.
India imesema itaiondoa Huawei kushiriki kwenye majaribio ya 5G...
Baada ya Marekani kuituhumu Huawei kuwa ni tawi la jeshi la China na kuiongezea vikwazo, mambo yamezidi kuwa magumu kwa Huawei.
Kuanzia mwakani Huawei hataweza kuzalisha chip zake za Krin zinazotumika sasa kwenye simu zake za P series.
Huawei alikua na mpango wa kutumia chipset ya 5mn+ zake...
Huawei ilikua inakuja vizuri sana kwa miaka 3 iliyopita. Ghafla bin vuu mwaka jana ikawekwa kwenye black list ya serikali ya Marekani ikaanza kupambana na vikwazo.
Sasa Huawei imeanza kupoteza hata ile miradi na mikataba iliyokua imepata ya kufunga mitambo ya 5G. Uingereza iliipa Huawei ila...
Mwaka 2018 Marekani kwa kushirikiana na Canada walimkamata mkurugenzi wa fedha wa Huawei alipokua anabadilisha ndege kwenda nchi moja wapo ya Marekani ya kusini.
Tokea kipindi hicho mkurugenzi huyo yuko chini ya ulinzi nchini Canada akipigania haki yake ya kutokuhamishiwa marekani akashitakiwe...
MAANA YA ku-ROOT
ku-ROOT maana yake ni kuweza kupata uwezo au access ya system files zilizopo kwenye simu yako ambazo kwa kawaida zinakuwa zimejificha au kuzuiwa kwa mtumiaji ili asiweze kuzifikia , kwa kiingereza naweza kusema its an ability to obtain administrative access or rights on the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.