Wakati Wananchi wenzetu wa maeneo mbalimbali wakilalamika adha ya kukosa huduma ya maji, huku kwetu Wakazi wa Mbezi Makabe hadi Msumi hali siyo nzuri na ni kama tumeshazoea hali hiyo.
Tunapata adha ya kukosa maji japokuwa tuna mabomba ya DAWASA, Maji yanaweza yasitoke hata wiki tatu bila...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kushirikiana na Serikali imefanikiwa kuwekeza katika utekelezaji wa miradi ya majisafi yenye thamani ya Trilioni 1.19 kwa kipindi cha miaka 4 ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.
Akiwasilisha taarifa ya mafanikio ya...
Salaam Wakuu,
Kuna video itambea sasa hivi ikionesha kiwango cha maji kuwa chini sana kuliko kawaida! Nina imani hili limeshawafikia Wizara ya Maji, DAWASA, ukweli ni upi? Hii ndio hali halisi ya kina cha maji sasa?
Ni bora tukaambiwa ukweli ili tuwe na mkakati haraka wa jinsi ya kukabiliana...
Februari 25, 2025 Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Mji wa Nachingwea una changamoto ya huduma ya maji kwa zaidi ya miezi minne, hali ambayo imekuwa kero kwa Wananchi wengi, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Masasi – Nachingwea (MANAWASA) imetoa ufafanuzi:
Kusoma alichoandika...
Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Chalinze wilayani Bagamoyo Pwani wamelalamikia kitendo cha Mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira DAWASA Chalinze kwa kushindwa kutoa huduma ya maji kwa wananchi kwa kipindi kirefu
Wamesema kukosekana kwa huduma hiyo kwa muda mrefu imewalazimu wananchi...
Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe Victoria Mwanziva amefanya ziara maalum ya kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maji- Wilaya ya Lindi na kubainisha mafanikio na megauzi makubwa Sekta ya Maji ikiwa ni kazi kubwa iliofanya na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan.
Katika...
Wakuu habari za Leo! Naomba niwashirikishe sakata la kungolewa Mita/ Dira za Maji na Koki lililotokea usiku wa kuamkia Leo huku kwetu Kiluvya Madukani/Almaarufu kwa Omari, Makurunge Jirani na shule ya Msingi Maximilian.
Ambapo , Leo asubuhi wakazi wengi wa maeneo haya wenye mita mpya za maji...
Hadi leo Januari 21, 2025, maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya haujapata maji kwa wiki moja sasa, tumetoa taarifa kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYA UWSA) lakini hatuoaji majibu yanayoeleweka.
Hii sio mara ya kwanza, kila inapotokea kunakuwa na ugumu kwa kupata majibu...
Mimi ni mmoja wa Wanachama wa Maktaba ya Vitabu ambayo ipo hapa Mjini Unguja, changamoto kubwa iliyopo hapa Maisara, Mkoa wa Mjini Magharib ni kukosekana kwa huduma ya maji.
Naomba Wizara ya Elimu pamoja na Bodi ya Huduma za Makataba Zanzibar kushughulikia changamoto hii haraka iwezekavyo...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) kupitia mradi wa Uboreshaji wa huduma imefanikiwa kuwasogezea maji safi na salama wananchi wa mtaa wa Mungu Maji uliopo Manispaa ya Singida, hatua inayolenga kumtua mama ndoo kichwani.
Mradi huo uliofadhiliwa na SUWASA na kusimamiwa na...
Nije Moja Kwa Moja kwenye mada. Nahitaji kujua ni maeneo au eneo gani iwe Eilaya/Kata au kijiki/mtaa ambalo hawajafikiwa kabisa na huduma ya maji ya mamlaka, na Wakazi wake wanatumia maji ya kisima, mito au maziwa.
Nahitaji hii Kwa ajili ya utafiti wa kielimu.
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amefika kijiji cha Kwamsisi kilichopo katika kata ya Kwamsisi, wilayani Handeni mkoani Tanga kujionea hali ya upatikanaji wa maji katika eneo hilo na changamoto iliyobainika kutokana na video iliyochapishwa katika ukurasa wa Instagram wa mtangazaji Mbarouk Khan...
HIvi nyie Watu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tabora (TUWASA) hapa Tabora huwa mnachukuliaje Wananchi? Tangu wiki iliyopita Kata ya Mwinyi hakuna huduma za maji na hata yanapotoka yanakuwa machafu na yanatoka kwa muda mfupi, mnataka Watu tuishije!
Mwinyi iko Manispaa ya Tabora...
Wananchi wa kijiji cha CHEKERELI Kata ya Mabilioni Wilayani Sam,Mkoani Kilimanjaro, wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa zaidi ya miaka 30 ambapo kutokana na ukosefu huu, wamekuwa wakilazimika kutumia maji ya Mto Ruvu kwa mahitaji yao ya kila siku, hali...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso, akijibu hoja ya Mdau kuhusu uhana wa Maji Kijiji cha Bukundi, amesema Taarifa hiyo sio ya kweli katika muktadha wa uhalisia ulivyo katika Mradi huu uliopo mkoani Simiyu.
Awali Mdau wa JamiiForums.com alidai kwamba, "Sisi wakazi wa Kijiji cha Bukundi Wilaya ya Meatu...
Ukosefu wa maji safi na salama kwa sisi Wakazi wa Kata ya Kijombe, Wilayani Wanging'ombe imekuwa kero kubwa sana kwetu.
Kuna kipindi unapita mwezi mzima maji hayajatoka Bombani, hivyo tunalazimika kwenda kuchota wenye madimbwi huko mabondeni.
Hii kero haijaanza leo, ni ya muda mrefu sana...
Hili ni Bomba la Maji ambalo lina miaka kadhaa sasa halifanyi kazi, tunategemea maji ya kwenye visima.
Wananchi wa Kwa Pengo, Sheya ya Sizini Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba tuna kadhia inayotusumbua ya ukosefu wa Huduma ya Maji safi na salama, kwa muda wa zaidi ya miaka minne...
Mamlaka ya Maji Lulindi wilayani Masasi mkoani Mtwara imekuwa ikitoa huduma kwa matabaka ambapo baadhi ya mabomba yakikosa maji
Tungekuwa tukitoa malalamiko kwa sekta husika ila tunapokea majibu ya kejeri kwa baadhi ya Mtumishi wao Bwana Kwame Mpojo ambaye amekuwa akitoa majibu ambayo sio ya...
Katika kata ya Ubungo Makubuli baadhi ya vijiji vyake ikiwa Kibangu, Wanaichi kwa wiki tatu sasa wamekosa huduma ya Maji kutoka DAWASA hivyo kupata shida na kuhofia mlipuko wa magonjwa na hawana msaada wowote.
Anonymous
Thread
dawasa
hudumahudumayamaji
katika
kupata
kutoka
maji
ubungo
vijiji
wiki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.