Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane!
Kwanza kabisa napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu muumba wa mbingu na nchi kwa kutupatia uhai na afya njema. Pili, namshukuru Mungu kwa kutupatia rasilimali lukuki ambazo kwa kutokufahamu kwetu nadhani tushatumia si zaidi ya asilimia 30%...
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA) Mhandisi Modestus Lumato,akizungumza wakati wa kikao kazi cha Watendaji wa Mamlaka za Maji za Mikoa na Miradi ya Kitaifa kilicholenga kuhakiki taarifa za utendaji wa Mamlaka hizo kwa mwaka 2021/22 kilichofanyika leo...
tabia sio ya kiungwana ni ya kishenzi sana..unakuta makazi ya watu fulani wanamiaka zaidi saba na zaidi hawana huduma ya maji wala umeme.
Ila unakuta huduma hii haiko mbali na makazi yao ni kama mita 2000 tu,unawaomba kwamba jamani wenye shida ni sisi tuisitegemee sana hawa watu wa...
TAARIFA KWA UMMA
KUZIMWA KWA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI RUVU CHINI
20.9.2022
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Chini kuwa Mtambo utazimwa siku ya ijumaa tarehe 23/9/2022 kuanzia...
Kipindi stendi kuu ya mabasi Mbezi inafunguliwa na mzalendo namba moja wa karne ya 21 Mh dk John Pombe Joseph Magufuli alitoa maelekezo ya kwamba barabara kutokea stendi hiyo kwenda mpigi magoe ianze kujengwa kwa kiwango cha lami pamoja na maji yapelekwe huko jimbo la kibamba lote
Na kweli...
Katibu mkuu Wizara ya maji Anthony Sanga imezitaka Mamlaka za maji nchini kuhakikisha ifikapo 2025 lazima huduma ya maji iwe imefika mijini kwa asilimia 95 na vijijini kwa asilimia 85 kutokana na ongezeko la mahitaji ya maji litakalo kuwepo kwa mwaka huo.
Ameyasema hayo Jijini dar es salaam...
Kwani what happened na Dawasco?
Maji huku Mbweni JKT hamna tangu last week. Ukipiga Customer Care, hio lugha ni ishara tosha kuwa huduma mbovu. Huyu dada wa customer care kasema tu atamwita Engineer na wala hakupi ticket namba na ameshakata simu.
Wakuu wa DAWASCO hebu tupieni jicho hizo huduma...
MHESHIMIWA NYANGASA KARIBU KIGAMBONI ANZA NA UFUMBUZI WA KUPATIKANA HUDUMA YA MAJI NA PILI TENGENEZA MIKAKATI YA SERIKALI KUONDOA TOZO ZA DARAJA LA KIGAMBONI KWA WANANCHI
Nianze kwa kuipongeza mamlaka ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya, yaani Mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan kwa kukuchagua wewe...
Katika vitu vimenishangaza ni hili, yaani Mbezi pamoja na umaarufu wote huu na kuwekewa hadi Stand Kuu ya mabasi ya kimataifa bado maji safi hayajafika.
Ukizunguka nyuma kidogo ya stendi Mbezi Makabe hatua chache tu watu wanaishi kama vijijini ambako huduma za maji wanajuaga zipo tu mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.