huduma ya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    Agizo la Aweso larejesha huduma ya Maji Mbokomu

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) imetekeleza Agizo la Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso (Mb) la kuhakikisha huduma ya maji inarejea kwa wakazi wa Kata ya Mbokomu ifikapo Septemba 2, 2024. Mamlaka imetekeleza agizo hilo kwa kuhakikisha miundombinu ya Majisafi iliyoharibiwa na...
  2. Mkalukungone mwamba

    KERO Wakazi wa Kijiji cha Lipwidi waendelea kuhangaika na changamoto ya Maji licha ya maombi ya miaka kwa mamlaka husika

    Wakazi wa Kijiji cha Lipwidi katika halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakiwaomba viongozi wao ngazi ya kata na wilaya kuwasaidia kutatua changamoto ya ukosefu wa huduma ya maji katika Kijiji chao lakini hawasaidiwi, Aidha wamemuomba Rais Samia Suluhu...
  3. M

    Maji yamerejea Stendi ya Magufuli punde baada ya JamiiForums kutoa taarifa ya kukosekana

    Nitangulize shukrani kwa JamiiForums kwani mara tu bada ya taarifa ya kukosekana kwa maji kuripotiwa mamlaka zimeweza kurejesha huduma ya maji katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani kijulikanacho kama Magufuli stendi. Awali nilileta uzi wa lalamiko la kutokuwepo kwa huduma ya maji kwa muda wa...
  4. Nyendo

    Maji Malamba Mawili Msikitini yaanza kutoka kila wiki

    Awali nilileta lalamiko la kutokuwepo huduma ya maji kwa muda mrefu bila sababu yoyote huku magari ya kuuza maji yakiwa yanaranda mitaani kuuzia watu maji kwa gharama kubwa. Tazama hapa: KERO - Maji Malamba Mawili ni mgao mkali, baadhi ya Wakazi walio kwenye miinuko wana miezi hawapati maji...
  5. JanguKamaJangu

    Jumaa Aweso: Maji yapo, umeme upo, ni marufuku kutoa Maji Saa Nane Usiku

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) amezindua rasmi kampeni ya "Mtaa kwa Mtaa" katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA na kuiagiza Mamlaka zote za Maji Nchini kutekeleza kampeni kikamilifu kwa kuwashirikisha wananchi kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero za wateja...
  6. Roving Journalist

    Huduma ya maji yarejea Kijiji cha Kemakorere, andiko la Mwanachama wa JF lawafikia RUWASA

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa Wakazi wa Kijiji cha Kemakorere, Kata ya Nyarero Wilayani Tarime wana changamoto ya kukosekana kwa huduma ya maji kwa muda wa zaidi ya miezi miwili sasa, hatimaye huduma imerejea. Aidha, Mdau alidai kuwa Ofisi za Wakala wa Maji na usafi...
  7. Roving Journalist

    DAWASA yasema imewaunganishia Huduma ya Maji Wakazi 1420 wapya

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la kugawa vifaa vya maunganisho mapya ya huduma ya Majisafi kwa jumla ya wateja walioomba huduma ndani ya eneo la kihuduma la DAWASA ambalo ni Mikoa ya Pwani na Dar es salaam. Zoezi hilo limeendelea katika...
  8. JanguKamaJangu

    Waziri Aweso: Marufuku kumkatia Huduma ya Maji Mwananchi Siku ya Sikukuu na Wikiendi

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewataka wasoma mita kuacha mara moja kuwakatia maji wananchi siku ya sikukuu ama jumamosi na jumapili kwa kuwa ni haki yao.Aidha amesisitiza wananchi waombapo kuunganishiwa maji basi siku saba zitoshe kukamilisha zoezi hilo. Pia soma Meneja wa usambazaji maji...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Mkazi wa Mpanda akutwa kajiunganishia maji chumbani kwake

    Hii Nchi Kila mtu akipata angle au gape la kutumia basi anatumia bila kupoteza muda. ========= Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mpanda (MUWASA) imemkamata Yusuph Singu mkazi wa mji wa zamani kwa tuhuma za kujiunganishia maji chumbani kwake kinyume na taratibu. Katika utetezi wake...
  10. A

    KERO Kukosekana kwa huduma ya maji Kibaha - Pangani - Mtakuja kwa miaka minne sasa

    Habari JamiiForums, Ni miaka minne sasa tangu DAWASA Kibaha walivyositisha huduma ya maji Kibaha - Pangani - Mtakuja. Mara ya mwisho maji yalitoka November 2020 hadi leo maji hayatoki na hakuna taarifa zozote Tunaomba mtupazie hili kwa wahusika ====== Tujikumbushe hii habari ya Mwaka 2023...
  11. Roving Journalist

    DAWASA yafafanua sababu za Wakazi wa Muheza Kibaha kukosa huduma ya maji kwa wiki nzima

    Baada ya malalamiko ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai Wananchi wa Mtaa wa Muheza na Tankini, Kibaha-Maili Moja Mkoani Pwani hawana huduma ya maji kwa muda wa wiki moja, Mamlaka imeto ufafanuzi. Kusoma malalamiko ya Mdau, bofya hapa ~ Wananchi wa Tankini na Muheza - Kibaha hatuna huduma ya...
  12. Nyendo

    DAWASA: Kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji siku ya Jumanne Julai 16, 2024 kwa muda wa saa 15 kuanzia Saa 12 asubuhi hadi Saa 3 usiku

    14.7.2024 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na Wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha Maji Ruvu Juu kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji siku ya Jumanne Julai 16 ,2024 kwa muda wa saa 15 kuanzia Saa 12 asubuhi hadi Saa 3 usiku...
  13. Subira the princess

    KERO Hii ni huzuni na fedhea kwa nchi kukosa maji safi na salama ya uhakika

    Wasalaam, Nimefatilia ziara ya Rais huko Katavi na Musoma kilio kikubwa cha wananchi ni maji safi na Salama. Kama taifa tumeongozwa na CCM kwa miaka 60+ na bado na hakuna uhakika wa kutatua tatizo hili ni sarakasi kila Leo. Ifike wakati CCM muwe na aibu mkiacha anasa za kununuliana ma V8 na...
  14. BigTall

    KERO Waziri Aweso unasema DAWASA kuna hujuma? Njoo Morogoro, huduma ya Maji ni kero kubwa

    Naomba Serikali kupitia Waziri wa Maji, Juma Aweso afuatilia chanzo cha Wakazi wengi wa Mkoani Morogoro kukosa huduma ya maji. Hii hali inatutesa sisi wakazi wa Morogoro kwa muda mrefu sasa, tumekuwa tukipiga kelele kwa mamlaka lakini ni kama hatusikilizwi. Baadhi ya Watendaji wa Mamlaka ya...
  15. LA7

    Huduma gani ikitolewa bure na Serikali haitaathiri uchumi wetu?

    Kwangu mimi ni hizi hapa 1. Vipimo vya afya 2. Maji Ni mawaza yangu tu
  16. Roving Journalist

    MWAUWASA: Mwanza hakuna changamoto ya uhaba wa huduma ya maji, mteja mwenye changamoto awasiliane nasi

    Baada ya hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika kuhusu changamoto ya huduma ya maji Jijini Mwanza, mamlaka inayohusika imetoa ufafanuzi. Kusoma hoja ya Mdau, bonyeza hapa ~ Tatizo sugu la Maji jijini Mwanza Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya...
  17. Bunchari

    Kwanini mahotelini huduma ya maji ya kunywa huwa Bure na kwa unyenyekevu mkubwa Toka kwa mmiliki wa hoteli

    Habari wakuu I real hope you are doing good Nimekua nikijiuliza kwanini mtu anapoenda mgahawani kuomba huduma ya maji ya kunywa pasipo kuitaji hudumu upata mapokezi mazuri hita pale ambapo mmiliki wa mgahawa anapokua na mauzo yasiyoridhisha Hii imekaaje ndugu zangu?
  18. Mzee Nyerere

    Kafulila: 2008 SYNOVATE walisema tatizo namba moja la Watanzania ni maji

    Katika Ukurasa wake wa (X) zamani tweeter Mkurugenzi wa PPP-Cetre Tanzania Bw David Kafulila amesema kuwa utafiti uliofanywa na taasisi ya kitafiti ya Steadman au SYNOVETe mwaka 2008 ulibaini kuwa tatizo namba moja la Watanzania ni maji Safi na Salama. Kafulila amesema kuwa Rais Samia katika...
  19. Roving Journalist

    DAWASA: Kuendelea kwa matengenezo ya umeme katika mitambo ya maji ya Ruvu juu na Ruvu chini

    TAARIFA KWA UMMA KUENDELEA KWA MATENGENEZO YA UMEME KATIKA MITAMBO YA RUVU JUU NA RUVU CHINI 23.6.2024 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na Wananchi wa Dar es salaam na Pwani wanaohudumiwa na Mitambo ya kuzalisha maji Ruvu Juu na Ruvu...
  20. M

    Mwekezaji aunganishiwa maji umbali wa Km 12 huku Vijiji bomba hilo lilipopita vikikosa maji

    Kitendo cha Mwekezaji kupelekewa maji na Wananchi kukosa, kimeibua maswali kwa Wananchi wa Kitongoji cha Mgodini, Nyakavangala, Kata ya Malenga Makali, Wilaya ya Iringa mkoani Iringa. Mwekezaji huyo amepelekewa maji, huku Wananchi wenye uwezo mdogo wakinunua maji kwa ndoo moja TZS 500/-, huku...
Back
Top Bottom