Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso, ametoa siku saba kwa wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Maji wa Miji 28 wilayani Muheza mkoani Tanga, kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi huo kutokana na kuonekana kusuasua licha ya uwepo wa fedha za mradi huo.
Waziri Aweso amebainisha haya baada ya kufika...
Zikiwa zimepita saa chache tangu Mwananchi iripoti wanawake katika Kijiji cha Oltepes kilichopo Kata ya Orbomba, wilayani Longido kutumia mkojo wa ng’ombe kujisafisha wakiwa hedhini kutokana na ukosefu wa maji, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema analifanyia kazi.
Akijibu changamoto hiyo katika...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imekutana na wananchi wa eneo la Msakuzi kwa Lubaba, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo kwa lengo la kufahamu mipango na maendeleo ya miradi ya uboreshaji huduma ya maji katika eneo hilo.
Akizungumza katika mkutano wa ulioitishwa na wananchi hao...
Hali ya upatikanaji wa Maji kwa sasa kwa Mji wa Geita ni asilimia 75 kwa Wakazi wasiopungua 360,000. Mji wa Geita ni moja ya miji ambayo inakuwa kwa kasi hasa kwa shughuli za kiuchumi na Wananchi wengi wanajenga Milimani ukilinganisha na usawa wa miundombinu ya Maji ya inayohudumia na hivyo...
Kweli sasa hii imekuwa aibu kubwa. Ziwa Victoria lipo jirani kama km 1. Lakini maji hayapatikani kwenye miji ya watu wenye mabomba.
Je, Hayati Magufuli angekuwepo haya yangetokea Chato?
Kuna kukatika maji haya maeneo wiki nzima kwa sasa na hakuna taarifa maalum kwa wateja kutoka Mwauwasa,kuna mdau yoyote anajua kinachoendelea?
Kilichopo ni kwamba unaweza stuka ghafla maji hamna na hujahifadhi.
Nafikiri kama kuna changamoto taarifa ziwekwe wazi na ratiba ifahamike ili kila mtu...
Salaam Wanajukwaa,
Naomba kero yangu ifike kwa waziri Jumaa Aweso kilio chetu Wananchi wa Singida, SUWASA inatuua.
SUWASA inatukandamiza, inatuonea, bili za maji za huku kwetu ni mitaji ya Watu huko SUWASA, haiwezekani bill zinakuja bila mpangilio.
Hivi majuzi jirani yangu alikuwa akilalamika...
Juzikati Oktoba 23, 2024 nilipofika eneo la Mti Mmoja - Monduli (Arusha) nikiwa njiani kuelekea Dodoma nikitokea Arusha, niliona jambo la kushangaza sana, nilishuhudia Wanafunzi wa shule wakinywa maji yaliyotuama ya mvua zilizonyesha mwanzoni mwa mwaka huu (2024).
Mbali na Watoto hao...
Mbunge Edward Ole Lekaita Kisau, Mbunge wa Jimbo la Kiteto amesema kabla ya kutekelezwa kwa miradi aliyoileta Dkt. Samia Suluhu Hassan Kiteto kina mama walikuwa wakitoka nje kuchota maji saa 8 usiku kwa ajili ya familia na mifugo.
"Kijiografia Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara ni Jimbo kubwa...
DAWASA tunaomba majibu ni kwanini hatupati maji kwa kipindi chote hicho na bila taarifa, na pia wakipigiwa simu wanadai wanashughulikia lakini hakuna chochote kinachoendelea.
Imekuwa ni changamoto ya kujirudia rudia isiyopata utatuzi.
Maji yatatoka wiki moja halafu watatuma bili baada ya hapo...
DAWASA imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mdau aliyelalamikia changamoto ya Huduma ya Maji Kibaha,
kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ DAWASA Kibaha nini tatizo? Hakuna Huduma ya Maji wiki ya pili, hayo mabomba mabovu hayatengenezeki?
Eneo la Muheza lilianza kukosa maji week iliyopita baada ya...
Katika shirika linaloshangaza ni dawasco maji wanatoa siku moja au mbili kwa week lakin bado nako kumewashinda je wangetakiwa kutoa maji 24/7 kama wafanyavyo miji mingine
Napokaa hapa maji mara ya mwisho kutoka ni jumapili ile iliyopita sio hii ya juzi ukimuuliza engineer wa dawasco ni ahadi tu...
AWESO ATETA NA WATAALAMU UFUNDI DAWASA, MIKAKATI YAWEKWA BAYANA
~Atoa uhakika wa huduma kwa Wakazi wa Dar na Pwani
Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso (Mb) amekutana na kufanya kikao kazi na Menejimenti pamoja na timu za ufundi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kwa...
Habari wakuu,
Nina miaka kadhaa katika jiji hili la Dar es salaam, na wengine wote wanaoishi katika jiji hili ni mashahidi,
Kila nyumba ina vifaa vingi vya kutunzia maji, iwe ndoo, jaba au tank na kuna wakati unakuta maji yote uliyotunza yameisha ndanj na maji hayatoki, hasa kipindi hiki...
Sisi wakazi wa Shamaliwa A na B wengi wetu hatuna huduma ya Maji kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa kutokana na wahusika wanaotengeneza Barabara kwa nia ya kuboresha wameharibu mabomba na hivyo Mamlaka ya Maji kulazimika kukata maji.
Wanachofanya wanaotengeneza Barabara ni jambo jema lakini sasa...
Hakuna maji Ubungo riverside maeneo yote kuanzia daraja la Kijazi mkono wa kushoto .. no mambo ya AIBU sana Hakuna taarifa yoyote watu tunaishi kama tuko dunia ya miaka ya 40tatizo ninini..
Bili za maji wasomaji hawazingatii wanapita na kubambika mamba ambazo sio sahihi. DAWASA, DAWASA. Wizara...
“Mnakumbuka wakati wa kampeni, tuliahidi kumtua ndoo mama kichwani. Sasa tumekwenda kuifanyia kazi ahadi ile. Tumeifanyia kazi kwa kusambaza miradi ya maji nchi nzima. Kama mnavyoona tulivyofanya Ruvuma na nchi nzima ni hivyo hivyo. Kwa hiyo tunatarajia ikifika mwaka kesho 2025 tuwe tumetimiza...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi ( MUWSA) imekusudia kutekeleza mradi wa majisafi wenye lengo la kuboresha hali ya upatikanaji wa huduma ya majisafi kwenye vijiji vya Samanga, Rauya pamoja na Ashira vilivyoko kwenye Kata ya Marangu Mashariki Wilaya ya Moshi Vijijini Kilimanjaro...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji iliyopo katika Kata ya Kishiri, ufafanuzi wa Mamlaka ya Maji Mwanza umetolewa.
Kujua alichokisema Mdau huyo unaweza kubofya hapa ~ Changamoto ya maji Kanindo Kata ya Kishiri, Wilaya ya Nyamagana
==== ====
Neli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.