hukumu ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Nadhani uongozi wa CHADEMA usimjibu Lema.. Kilicho mbele yenu ni hukumu ya Lissu

    Achana na Lema kwa sasa..subiri hukumu ya Lisu kwanza. Then kama kuna issue na Lema ni baadaye. Chase the Hyena first and then come to warn the Hen about wandering into the forest!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Familia ya Lissu yasogeza mazishi ya Alute kisa hukumu ya Tundu Lissu

    Familia ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imetangaza kifo cha kaka yao, Wakili Alute Lissu Mughwai, aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Jumapili, Novemba 1, 2026, katika Hospitali ya Selian mkoani Arusha. Akizungumza kwa niaba ya familia, Dkt. Vincent Mughwai amesema marehemu alikuwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mwezi tuliokuwa tukiusubiri kwaajili ya hukumu ya Lissu, umefika!

    Mwezi Novemba tuliokuwa tukiusubiri hatimaye umefika. Macho na masikio ya Watanzania wengi sasa yanaelekezwa Novemba 6, 2026, siku ambayo Mahakama Kuu ya Tanzania inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu. Kesi hiyo iliyochukua takribani...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania 6/11/2026 ni hukumu ya Lissu, Watanganyika, siku hiyo tujitokeze kwa wingi sana kwa ajili ya Kuandamana kupinga/Kufurahia Hukumu !Asibaki ndani Mtu

    Ni Hukumu ya Kihistori Kati ya UOVU na WEMA.!!
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu: Kesi haijasikilizwa hata upande mmoja, tarehe ya hukumu ishapangwa. Kama kuna hukumu tayari tujue

    Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu inaendelea leo Oktoba 6 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Akiwa mahakamani, Lissu amehoji kitendo cha tarehe ya hukumu kuwepo tayari wakati hilo upande wa mashtaka na utetezi haujaanza kusikilizwa Tundu Lissu amesema Hii kesi...
Back
Top Bottom