Wampuuze ! That would be the best answerAchana na Lema kwa sasa..subiri hukumu ya Lisu kwanza. Then kama kuna issue na Lema ni baadaye.
Chase the Hyena first and then come to warn the Hen about wandering into the forest!
Sure!Wampuuze ! That would be the best answer
In his eyes I have seen green color
Vijana wa siku hizi ni dispointing sana
Ila apuuzwe dogo ni suspect big Time
WanazinguaIla chadema nanyi mnazingua, kila mtu n kama msemaji wa chama, n kama vile chama hakina viongozi
💯%Achana na Lema kwa sasa..subiri hukumu ya Lisu kwanza. Then kama kuna issue na Lema ni baadaye.
Chase the Hyena first and then come to warn the Hen about wandering into the forest!
Inawezekana Lema bado hajawa dalali. Lakini hizi the so called 'strategic engagement' zinaweza kumpeleka kirahisi sana kwenye udalali ama kwa kujua ama bila kufahamu akashtukia tayari ni dalali. CCM ni mashetaniWampuuze ! That would be the best answer
In his eyes I have seen green color
Vijana wa siku hizi ni dispointing sana
Ila apuuzwe dogo ni suspect big Time
kwamba domokaya mropokaji joni eche anaweza kuvumilia na kukaa kimya?Achana na Lema kwa sasa..subiri hukumu ya Lisu kwanza. Then kama kuna issue na Lema ni baadaye.
Chase the Hyena first and then come to warn the Hen about wandering into the forest!

Si rahisi kama unavyodhani. HATUNA MAHAKAMA. KUNA MAHAKAMA ZA WIZI WA KUKU, VIBAKA. LAKINI PERTINENT ISSUES AMBAZO MAHAKAMA INABIDI IZIPE KIPAUMBELE, HAKUNA, HAKUNA HAKUNA.Timing… Lissu anaachiwa kaona amwage mboga mapema kabla hajatoka
Msela kesha chemshaInawezekana Lema bado hajawa dalali. Lakini hizi the so called 'strategic engagement' zinaweza kumpeleka kirahisi sana kwenye udalali ama kwa kujua ama bila kufahamu akashtukia tayari ni dalali. CCM ni mashetani
Serikali ya mazafakas iko kwenye bind. Haijalishi kesi ya Lissu imeamuliwaje, siwaoni wakiwa na easy way out. Wakimuonea waendelee kumshikilia, nshale; wakitenda haki wamuachie huru, nshale.Si rahisi kama unavyodhani. HATUNA MAHAKAMA. KUNA MAHAKAMA ZA WIZI WA KUKU, VIBAKA. LAKINI PERTINENT ISSUES AMBAZO MAHAKAMA INABIDI IZIPE KIPAUMBELE, HAKUNA, HAKUNA HAKUNA.
Chase the Hyena first and then come to warn the Hen about wandering into the forest!Achana na Lema kwa sasa..subiri hukumu ya Lisu kwanza. Then kama kuna issue na Lema ni baadaye.
Chase the Hyena first and then come to warn the Hen about wandering into the forest!
Pertinent ni kitu gani? Acha kuharibu lugha za watu.Si rahisi kama unavyodhani. HATUNA MAHAKAMA. KUNA MAHAKAMA ZA WIZI WA KUKU, VIBAKA. LAKINI PERTINENT ISSUES AMBAZO MAHAKAMA INABIDI IZIPE KIPAUMBELE, HAKUNA, HAKUNA HAKUNA.
We umeyaona ya chadema je sisiemu kila mtu anasema lake,Kuanzia Mwaipopo,Musiba,Mkuu wq mkoa alieogopa kutongozwa mwanamke,huyu alisema majeshi yoye ni Mali ya sisiemu na kuna wahuni Kibao wanaisemea sisiemu,huwajui?Ila chadema nanyi mnazingua, kila mtu n kama msemaji wa chama, n kama vile chama hakina viongozi
Kwahy nanyi mnaiga?We umeyaona ya chadema je sisiemu kila mtu anasema lake,Kuanzia Mwaipopo,Musiba,Mkuu wq mkoa alieogopa kutongozwa mwanamke,huyu alisema majeshi yoye ni Mali ya sisiemu na kuna wahuni Kibao wanaisemea sisiemu,huwajui?