Nadhani uongozi wa CHADEMA usimjibu Lema.. Kilicho mbele yenu ni hukumu ya Lissu

Nadhani uongozi wa CHADEMA usimjibu Lema.. Kilicho mbele yenu ni hukumu ya Lissu

Lema amejua hadi yaliyomo kwenye ripoti ya jaji Lila, Lema tapeli tokea kitambo akiwa na rasta na dalali wa magari
 
Achana na Lema kwa sasa..subiri hukumu ya Lisu kwanza. Then kama kuna issue na Lema ni baadaye.

Chase the Hyena first and then come to warn the Hen about wandering into the forest!
Baada ya hukumu na mazishi ya Mzee Alute Lemma awekwe kitimoto KK ikibidi avuliwe nyadhifa zote ndani ya chama.
 
Back
Top Bottom