Habari yako wapendwa poleni na changamoto za usafiri kwa wale wanaowahi sensa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naomba moja kwa moja niende kwenye uzi husika bila kupoteza muda. Imekuwa ni tabia ya kawaida kwa baadhi ya wanaume kutafuta nyumba ndogo (mchepuko) kwa ajili ya starehe binafsi...