Wasalamu,
Kipo kisa kilichotokea juzi cha kujifunza. Kinahusisha wahusika wanne. Ambao ni binti, wakala, tapeli na boss wa binti.
Binti wa Kazi kapokea message kwamba katumiwa shilingi 750,000 kupitia namba hii 0672312375 ya tapeli, kisha tapeli kampigia simu binti kwamba amekosea kutuma pesa...