ianzishe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Igoma, Mwanza, tunakabiliwa na changamoto ya usafiri wa daladala kwenda maeneo mbalimbali

    Sisi wananchi wa Igoma, Mwanza, tunakabiliwa na changamoto ya usafiri wa daladala kwenda maeneo mbalimbali, ikiwemo katikati ya jiji, Buhongwa, Airport na Ilemela. Kwa sasa, tunategemea daladala zinazotoka Kisesa au Kishili. Hata hivyo, zinapofika Igoma huwa tayari zimejaa, hali inayosababisha...
  2. JamiiForums Tanzania Zanzibar ianzishe shirika la ndege kuchochea Utalii!

    Zanziba si tu ni nchi iliyoungana na Tanganyika kuunda Tanzania, bali ni utalii. Zanzibar inapaswa sasa kuunda shirika lake la ndege na kuchochea utalii. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Khalid Salum Mohamed amesema Serikali imeanza mazungumzo na EgyptAir kwa ajili ya kushirikiana katika...
  3. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Tanzania Ianzishe siku ya kumbukumbu ya Agosti 29

    nimekuwa nikiona jinsi mataifa mbalimbali yanavyohifadhi historia zao kwa kuanzisha siku maalumu za kumbukumbu. Kwa mfano Timor-Leste huadhimisha kila mwaka tarehe 12 Novemba kuwakumbuka waliopoteza maisha katika tukio la Santa Cruz ambapo siku hio mamia ya wanafunzi waliokuwa wakiandamana...
  4. JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ianzishe route za daladala zinazo zunguka duara bila kurudi nyuma pia daladala zipewe namba maalumu ili zitambuliwe na abiria

    Kuboresha Mfumo wa Usafiri wa Umma: Pendekezo la Njia za Duara na Namba za Daladala Usafiri wa umma ni moja ya huduma muhimu kwa wakazi wa miji mikubwa kama Dar es Salaam, ambapo watu wengi wanategemea daladala kama njia ya usafiri wa kila siku. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi zinazohusiana...
  5. JamiiForums Tanzania TCU ianzishe Expo kwa ajili ya wahitimu wa kidato cha sita

    Hakuna changamoto kubwa katika maisha ya vijana wetu wanaomaliza kidato cha sita katika elimu kama uchaguzi wa taaluma gani wanatamani kwenda kusomea vyuo vikuu na vyuo vya kati. Ingawa wengi hutazama suala hili kama ni sehemu ya vijana kuumiza vichwa vyao katika tafakuri zao ila bado linabakia...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe kitengo cha Road Marshals ili kupunguza ajali za barabarani

    Ajali za mabasi zimekuwa ni moja ya kilio kikubwa sana kwa wananchi na serikali kwa ujumla, taarifa kuhusu ajali za barabara ambazo zimepata kuwa ni sehemu ya kupoteza ndugu, rafiki na jamii zetu bado inaendelea kudhoofisha jamii. Ajali ya Mbeya ni moja ya ajali ambayo imeniumiza sana kiasi...
  7. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ianzishe ruzuku kwa wakulima wa kilimo cha samaki ili kulinda rasilimali za uvuvi kwenye maziwa na bahari nchini

    Kilimo cha maji (AQUACULTURE) ni sekta muhimu na inayokua kwa kasi zaidi ya uzalishaji wa chakula cha wanyama duniani, na inaendelea kuzidi kasi ukuaji wa idadi ya watu, huku usambazaji wa kila mtu kutoka kwa wafugaji wa samaki ukiongezeka kutoka kilo 0.7 mwaka 1970 hadi kilo 7.8 mwaka 2008...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana na afya ya akili (AFYA YA AKILI NI MTAJI) Tanzania niitakayo vijana wapate application inayo husiana na masuala ya Afya ya akili

    Tanzania tuitakayo Selikari ianzishe Application inayo husiana na masuala ya afya ya akili vijana wengi wanaona ni aibu kwenda kuelezea matatizo yanayo wakabili wakiamini Depression ni magonjwa ya kizungu lakini app moja ikianzishwa inayo deal na maswala ya msaada wa afya ya akili ikatoa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ianzishe shule za msingi za kata nchini ili kuwa na nguvu kazi tosherezi ya walimu

    Serikali imekuwa ikiboresha miundombinu ya shule za msingi na sekondari hapa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na ujenzi wa shule mpya za msingi na sekondari katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Pamoja na jitihada hizo bado kumekuwa na changamoto kubwa katika utoaji wa vifaa tosherezi na ugawaji...
  10. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ianzishe wizara maalumu ya saikolojia na utatuzi wa migogoro ili kuzipunguzia wizara zingine mzigo wa kushughulikia migogoro

    Bwana Yesu ASIFIWE .... Assalamualaikum...... Serikali ianzishe wizara maalumu ya saikolojia na utatuzi wa migogoro ili kuzipunguzia wizara zingine mzigo wa kushughulikia migogoro Kwanza nianze kwa kuwashukuru Jforum kwa kuendelea kuwa wabunifu kwa kuweka majukwaa mbalimbali yanayoibua mawazo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe Kodi ya ukahaba itakusanya trilioni 12 kwa mwaka.

    Kodi ya ukahaba siyo jambo geni duniani, ipo katika baadhi ya mataifa yanayotupatia misaada.. Ni ujinga kutoikusanya fedha Kodi hii kwa kisingizio cha maadili, mila na tamaduni zetu huku tukiipata kwa njia ya msaada. Kwa mujibu wa senza ya 2022, idadi ya wanawake ni milioni 56. Robo yake ni...
  12. JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo Ianzishe Dawati la Kusikiliza Kero za Wafanya Biashara

    MHE. EDWIN SWALLE - WIZARA YA KILIMO IANZISHE DAWATI LA KUSIKILIZA KERO ZA WAFANYABIASHARA MAGETINI Mbunge wa Jimbo la Lupembe Mkoa wa Njombe, Mhe. Edwin Enosy Swalle ameshauri Wizara ya Kilimo kuanzisha dawati maalum la kusikiliza na kushughulikia kero za wafanyabiashara kutokana na changamoto...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali ianzishe utaratibu wa kuwashughulikia viongozi wa dini wanaohatarisha maisha ya watu

    Kutokana na madhara yanayoendelea kuwapata watu kutokana na mafundisho au maelekezo ya baadhi ya Viongozi wa Dini kwa ajili ya kutimiza haja zao au kutimiza mahitaji yao na matamanio ya mioyo yao, imepelekea kuathiri maisha ya watu kwa namna moja au nyingine. Kutokana na athari hizo zinazo...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe "Maafisa Kodi wa Kata" na TRA ianzishe "mawakala" wa TRA

    Huu mzozo wa Kodi Kariakoo ni sehemu ndogo Sana ya matatizo ya Kodi nchini. Matokeo yake kuna wasiolipa Kodi wakiamini ni ujanja. Kuna wanaolipa Kodi zaidi ya kiwango wakikosa elimu husika. Kuna wasiolipa Kodi stahiki pia wakikosa elimu stahiki ya Kodi n.k.. Ushauri wangu Kwa serikali lazima...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ianzishe kikosi cha Jeshi la Polisi Mazingira

    Kama Serikali ina nia ya dhati kufaulu kwenye usimamizi wa mazingira, Serikali haina budi kuanzisha kikosi cha jeshi la polisi mazingira. Suala la uchafuzi wa mazingira ni la saa 24 hivyo haliwezi likasimamiwa na watumishi wa wizara ambao hawana nyenzo za kuwadhibiti wahalifu.
  16. JamiiForums Tanzania Dodoma: Mbunge aomba uanzishwe mtaala wa Utajiri mashuleni

    Mbunge wa Ngara ameiomba serikali kuanzisha mtaala mpya wa Utajiri mashuleni ili kuwezesha Wahitimu kuwa na ari ya uwekezaji wanapomaliza masomo yao , amesema jambo hilo ni muhimu likafanyika ili kuleta akili mpya vichwani mwa watu na kuondoa ile dhana kwamba kila Tajiri ni fisadi . Ameshangaa...
  17. JamiiForums Tanzania Kutokomeza Panya road na Watoto wa mitaani, serikali ianzishe operation ya "Kamata jiunge JKT"!

    Hao vijana Wana nguvu za kutosha zilizokosa mpenyo ndio maana wanatusumbua mtaani! Nchi yetu ina ardhi ya kutosha sana ya kuendesha kilimo na ufugaji,kamata vijana Hawa peleka jkt wakalijenge Taifa letu kuliko kuwa wakabaji! Operation "Kamata jiunge jkt tumikia Taifa lako"inawafaa Sana Hawa...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe kodi ya kichwa haraka, Watanzania wanapenda ujanjaujanja

    Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba na serikali kwa ujumla msiwaonee huruma Watanzania. Wengi wamezoea kuishi kwa madili na wizi. Serikali inapoteza kiasi kikubwa cha fedha kwakuwa watu wanaikwepa. Kuna rafiki yangu ana biashara kwa siku faida ni 200,000 lakini kwa mwaka alikuwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wazo: Serikali ianzishe kura ya maoni wananchi wafichue Ofisi, Idara, Vitengo na Taasisi za Serikali zilizokithiri kwa urasimu nchini

    Moja ya vitu vinavyokera sana nchi hii ni urasimu ulioko katika maofisi, idara, vitengo na taasisi mbalimbali za serikali.,urasimu unaopaswa kuwekewa mkakati maalumu kudhibiti. Urasimu huu sio kero tu watanzania, bali hata kwa wageni wakiwemo wawekezaji wanaotafuta vibali au huduma nyingine...
  20. JamiiForums Tanzania SoC02 Serikali ianzishe Shirika la Umma la Usafirishaji wa abiria kwa njia ya barabara mikoani

    Usafirishaji ni kitendo cha kutoa bidhaa au kupeleka watu kutoka sehemu moja hadi nyingine, kitendo hicho kinaweza kufanywa kwa kutumia njia mbalimbali za usafiri( mode of transport) kama kwa njia ya maji,barabara,reli, na anga Usafirishaji ndio tendo pekee ambalo humaliza machakato mzima wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…