igawilo

Igawilo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. In 2016 the Tanzania National Bureau of Statistics report there were 19,067 people in the ward, from 17,300 in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Daladala za Igawilo – Soko Kuu (Mbeya) zinaishia Kabwe badala ya kufika Soko Kuu, hiyo ni kero kubwa

    Kila siku asubuhi natumia usafiri wa daladala kutoka Igawilo kwenda katikati ya mji, jijini Mbeya. Kero kubwa tunayokumbana nayo ni baadhi ya daladala kutokufuata njia zilizoandikwa kwenye vibao vyao. Kwa mfano, gari lenye route ya Igawilo – Soko Kuu mara nyingi huishia Kabwe badala ya kufika...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Igawilo – Mbeya boresheni huduma kwa wateja

    Sisi baadhi ya wananchi tuna malalamiko kuhusu hali ya utoaji huduma katika Hospitali ya Wilaya ya Igawilo, zipo changamoto mbalimbali zinazoathiri upatikanaji wa huduma bora za afya kwa leo nitazitaja mbili tu. Kwanza kabla ya yote kuna huduma zisizoridhisha kwa baadhi ya Watumishi...
Back
Top Bottom