ijumaa kuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Kibatala: Tundu Lissu kugomea kula chakula Gerezani mpaka haki ipatikane

    Leo Mei 3, Mawakili wanaomtetea mshtakiwa Tundu Lissu wanazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari. https://www.youtube.com/live/qwDj_39LjYk?si=p81m5_E7ICnpOth1 Kibatala: Intelijensia inayotumika kuthibiti maandamano ingetumika kuepusha kushambuliwa kwa Padre.Kitima na Mdude...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Endapo Quran ya Kiarabu Ingetafsiriwa kwa haki na bila Chuki, basi wakiristo na Waislamu wote wangeadhimisha Ijumaa Kuu (Good Friday)

    Napenda kuongelea Ukumbusho wa kifo cha Yesu ambao Yesu aliwaagiza wanafunzi siku ile anafanya nao Karamu ya mwisho (Alhamis Kuu baada ya jua kuzama) NB kwa kalenda ya Kiyahudi, tayari waliisha anza Ijumaa Kuu ambapo alikufa saa 9 mchana. Katika Luka 22:19-21 yesu akawambia hivi "Fanyeni hivi...
  3. JamiiForums Tanzania Ijumaa kuu ikiwa kumbukizi ya mateso na kifo cha Kristo hatuli nyama ila vifo vya wapendwa wetu tunakula nyama tena tunaangusha ng'ombe kabisa

    Wakristo wenzangu, haswa wa kanisa mama kanisa Katoliki. Hii imekaaje? Tunajua, tunaamini na tunaiishii imani hii kwamba kula nyama ijumaa kuu siku ambayo Bwana wetu Yesu Kristo Aliteswa na kusulubishwa inachukuliwa kama Kufurahia au kusherekea mateso yake. Vipi kuhusu wale ng'ombe na mbuzi...
  4. JamiiForums Tanzania Ijumaa kuu kwa wakristo!! Wahouth nao wameshirikishwa ijumaa kuu na wamarekani

    Jana ilikuwa Ijumaa kuu maelfu ya Wakristo tuliandamana kupitia Dolorosa mjini Jerusalem kukumbuka mateso ya Bwana wetu Yesu kristo. Tulipita njia ile aliyoipitia wakati ananda kusulubiwa Jana tuliadhimisha siku ambayo Yesu alisulubishwaβ€”matembezi yake ya mwisho kupitia Yerusalemu, akiwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Video: Ibada ya ijumaa kuu kwenye kanisa katoliki Tanzania ilivyoendeshwa kwa kulipigia magoti na kubusu sanamu

    Wakati wengine tunachukulia imani poa, Wakatoliki wapo serious wanastahili pongezi. Sanamu haliachiwi hivihivi tu, linapigiwa magoti kwa nidhamu, linashikwa tumbo kwa adabu, Kisha linabusiwa ubavuni kwa unyenyekevu kama unavyoona kwenye video Wakatoliki kwenye suala la imani mpewe maua yenu πŸ™ŒπŸ™Œ
  6. JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kikristo Ijumaa Kuu njema

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kikristo Ijumaa Kuu njema. #π™†π™–π™―π™žπ™‰π™–π™π™©π™ͺ𝙏π™ͺπ™£π™–π™¨π™€π™£π™œπ™–π™ˆπ™—π™šπ™‘π™š
  7. JamiiForums Tanzania Ijumaa kuu ni sikukuu au ni siku ya kazi?

    Naomba kueleweshwa hapo wadau wa JF. Kwa maana nimeona baadhi ya taasisi watu hawaingii kazini siku ya ijumaa kuu. Lakini kuna baadhi ya kampuni watu wanaingia kazini kama kawaida na hawalipwi stahiki zao.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…