Wakuu,,,kichwa kinauma sana,..malezi ya watoto wa kike ni magumu sana.
Dogo mara ya mwisho aliga anaenda kujaza fomu shule,...yaani ndio hawa madogo wamemaliza mitihani juzi ya necta. Sasa kutokea ijumaa alivoondoka ndio hadi sasa hajaonekana.
Nilivofikishiwa na bi mkubwa hizi taarifa...