Alitokea mzee mmoja na mwanae walikuwa wanasafir kwa kutumia punda so wakaamua kupanda wote kwenye huyo punda.
Wakiwa njian wakakutan na kundi la watu likawaambia watu gan nyie msiokuwa na huruma yaan nyote wawil mnapanda kwenye punda mmoja .
So mzee akaona isiwe kec wala nn akashuka akamwacha...
Wadau hamjamboni nyote?
IDF wameamua na wamedhamiria kuhakikisha kuwa Viongozi white wa magaidi wanatangulia mbele za haki
Nia wanayo, sababu wanayo na uwezo wanao!
Leo kwa mara nyingine tena wamefanikiwa kuliua kubwa lingine la magaidi likiwa ndani ya gari lake huko Lebanon ya Kusini
IDF...
Hivi dhamana si haki ya kikatiba?
Why Police officer on duty denied to bail person presumed innocent ?
Hii imekaaje, Wasomi reasoning ya kwamba ni weekend ina mashiko kweli?
Wadau hamjamboni nyote?
Wapendwa asubuhi hii nawaletea mojawapo ya salaam Bora za siku ya leo ya ijumaa tukufu:
"Jumma hii iliyobarikiwa na ikuletee amani, furaha, na baraka nyingi maishani Mwako"
Wenye elimu mtuletee salaam nyingine zilizo bora kwa siku hii takatifu
Mwenyezi Mungu awafanyie...
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?
Au...
Ratiba ya wiki ya Mwananchi inaonesha kuwa siku ya ijumaa ni siku maalumu ya dua kwaajili ya timu yetu.
Napendekeza kuwa kwakuwa wachezaji, wanachama na mashabiki wa Yanga ni watu wa imani mbalimbali, basi tukio hili liheshimu imani zao kwa kuwa na uwakilishi wa viongozi wa imani mbalimbali...
A major technology outage grounded flights, hampered public transit systems and disrupted operations at banks and hospitals around the globe Friday in an incident a cybersecurity firm blamed on a faulty system update.
CrowdStrike, a U.S. firm that advertises being used by over half of Fortune...
Makusanyo ni Shilingi Trilioni 3 za Kibongo
Mgawanyo
Trilioni 1 nimempa Maza
Trilioni 1 nimewapa Waganga wangu Msumbiji, Congo DR na Chunya Kwetu
Milioni 500 nimewapa Wateule wa Mji, Wilaya na Ulinzi
Milioni 500 nimebaki nazo Mwenyewe kama Faida yangu
Na tarehe 31 Desemba 2024 nakuja na Tukio...
Wadau hamjamboni nyote?
Niende kwenye hoja
Huwezi ona msabato akimsema muislamu kuwa ati anafanya dhambi kuabudu siku ya ijumaa ila ni kawaida kumsikia akimuhesabia dhambi Mkatoliki kwa kuabudu jumapili badala ya jumamosi
Kwa msabato siku ya jumapili ambayo ndiyo aliyofufuka Bwana yetu Yesu...
Mnamo siku ya tarehe 21 na tarehe 22 mwezi huu, yaani ijumaa na jumamosi, jiji la Arusha lilitikiswa na mgomo mkubwa uliofanyika katika eneo la stendi ndogo, mgomo ambao ulisababisha maduka yote karibia 400 kufungwa.
Mgomo huu ulituathiri sana sisi wafanyabiashara halisi ambao tunafanya...
Habarini za muda wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Ninahitaji kuzalisha fedha kuanzia millioni moja na kuendelea kwa siku ya Kuanzia leo mpaka Jumamosi. Ili niweze kutatua tahadhari inayonikabili, ambayo inahitaji fedha za haraka. Hivyo wakuu naomba mwenye kazi yeyote ambayo naweza kufanya...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Sala ya Ijumaa na Dua Maalum ya kumuombea Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi iliyofanyika Masjid Hidaya Kilimani Tazari, Mkoa wa Kaskazini Unguja - tarehe 12...
"Tumetolewa kwa Kuonewa kwakuwa Mmiliki wa Timu ndiyo Boss Mkuu wa Kafu Afrika hivyo Waamuzi walimuogopa ili kulinda Vibarua vyao" amesema Boss Klabuni Mrembuaji Makengeza.
Na muda si mrefu nimetoka Kumsikia EFM Radio (Kipindi cha E-Sport) Boss Mrembuaji Makengeza akisema na akikanusha kuwa...
Huenda Ijumaa ijayo kuelekea Jumamosi Usiku Afrika ikasimama kwa Mshangao mkubwa na Wanaochekwa Kuzimia kwa Furaha ya Kihistoria kutoka kwa Ardhi ya Farao ( Pharao )
Kati ya wale 48 wanaoenda Kuzuru Kaburi la Nelson Madiba Mandela nchini Afrika Kusini 30 ni Waganga wa Kienyeji na 18 ni Vibaka...
Baada ya nyimbo na tambo zilizotolewa tokea siku ya upangaji wa droo hatimaye first leg imekamilika huku waliokuwa wanapigwa vijembe kwanzia siku ya kwanza ya upangwaji wa droo ya robo fainali wakijipapatua kwa kikosi chao hafifu kilichokosekana wazee wa kazi watatu ( Pacome, Yao na injinia...
Habarini za asubuhi ndugu.
Hivi kwanini wakristo hatuli nyama siku ya ijumaa kuu logic behind ni nini hasa?
Mbona scriptures zina support kuhusu kula mwili wa Yesu, ni wapi kwenye Bible pameandikwa tusile nyama siku yA ijumaa kuu au Kula nyama siku ya ijumaa kuu ni dhambi?
Mwenyekiti wa UWT Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) Anawatakia waumini wote wa kikristo Ijumaa Kuu Njema.
Siku ya kukumbuka Kifo Cha Bwana Yesu, Aliteswa na Kufa Kwa Ajili yetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.