ijumaa

  1. GENTAMYCINE

    Napendekeza Kikosi cha Simba SC dhidi ya Al Ahly FC Ijumaa kiwe hiki, wewe je, chako ni kipi?

    1. Ayub Lakred 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4. Che Malone Fondo 5. Henock Inonga 6. Babacar Mtu Chuma 7. Kibu Denis Kiboko ya Djigui Diarra 8. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma 9. Saido Ntibanzokinza 10. Clatous Chama 11. Luis Jose Miquissone Haya nawe Shuka na Chako hapa kwani...
  2. Tlaatlaah

    Juma kuu gumu sana la majonzi na vicheko kwa Klabu za soka za Tanzania

    moja, ni timu bora kabisa barani Africa, Simba S.C. hawa jamaa, wana ijumaa moja ngumu sana kiroho na kimwili. Ijumaa ya kushika moyo, huku jua nalo likififizwa na wingu zito la roho ya itakuaje uwanjani, dhidi ya mafarao wagumu na wabishi sana wa misri, ambao hawapendi kabisa nyavu zao...
  3. Erythrocyte

    Pre GE2025 Ijumaa ya mwanzo wa mwaka wa uchaguzi, tuitumie kuiombea Nchi katika Haki na Kweli

    Asalaam Aleykhum , Ukweli ambao uko wazi ni huu , sisi Watanzania hatuna nchi nyingine zaidi ya hii tuliyomo , tunayoishi , hii ambayo wamezikwa wazazi wetu na ndugu zetu Nachukua nafasi hii katika hii ijumaa ya kwanza ya mwaka , kuwaomba watukufu Waislam kuiombea nchi hii katika haki na...
  4. Erythrocyte

    Waislam Kuliombea Taifa Ijumaa

    Shehe Mkuu wa Tanzania (BAKWATA) Amewaagiza Mashehe Nchi Nzima kuitumia siku ya Ijumaa ijayo kuliombea Taifa kwa lengo la kuliepusha na Majanga . Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaagiza masheikh na maimamu nchini kufanya dua maalumu ya kumuomba Mungu aliepusha Taifa na maafa...
  5. C

    Ule Uzi wa Saa 1 Ijumaa wa GENTAMYCINE aliyesema matokeo ya Yanga na Mwarabu ni ama 2-0 au 3-0 umepotelea wapi?

    Na naukumbuka tena kama kawaida yake Alifumba na Kuuliza / Kutuuliza je, tunadhani ni Timu gani kati ya Yanga SC na CR Belzoud FC itafungwa Magoli hayo ama 2 kwa 0 au 3 kwa 0? Team GENTAMYCINE tunauhitaji huo Uzi ili tuweze Kuuchangia na kumpa Maua yake GENTAMYCINE ambaye pamoja na kwamba...
  6. BARD AI

    Mahakama kuamua Babu Tale Afungwe au alipe Tsh. Milioni 250 Nov 17, 2023

    Hatima ya Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Shabani Taletale, maarufu kama Babu Tale, sasa itajulikana Ijumaa, Novemba 17, mwaka huu wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dare es Salaam itakapotoa uamuzi wa shauri la maombi ya kumpeleka jela kutumikia kifungo. Babu Tale ambaye ni mmoja wa...
  7. RUGAHIMBILA E R

    Kamari ya Mpito Msikiti wa Ijumaa Mwanza inavyowatapeli wafanyabiashara

    Kamati ya Mpito inayosimamia Msikiti wa Ijumaa Jijini Mwanza imekuwa ikiwatapeli mamilioni ya fedha wafanyabiashara wa hapa kwa kuwalipisha pesa na kuwapa mikataba ya kupanga vyumba ambavyo tayari vinao wapangaji. Ajabu unakuta chumba kimoja kimelipishwa watu zaidi ya watano na wote wamepewa...
  8. Action and Reaction

    Faida alizonazo Simba kuelekea mchezo dhidi ya Al Ahly

    1)Simba anaongoza ligi kuu Tanzania bara 2)Simba hajapoteza mchezo wowote kwenye ligi kuu Wala Ligi ya mabingwa Africa 3)Simba kachukua ngao ya jamii mbele ya mtani wa jadi 4)Al ahly hawajawahi kumpiga Simba kwa mkapa 5)Simba Yuko home ground na mchezaji wa 12 6)Page ya FIFA kuipost Simba ni...
  9. GENTAMYCINE

    Ili Jambo langu la Ijumaa likamilike naomba anayejua vinapopatikana Vifuatavyo aniambie upesi

    1. Njiwa Weusi tu wanaotamia 2. Kucha za Fisi Jike 3. Mkojo wa Mamba 4. Jasho la Chatu 5. Bendera ya Taifa lolote la nchi za Kiarabu ila ikipatikana hasa ya Egypt ( Misri ) Itapendeza zaidi 6. Mate ya Kifaru Dume na yachukuliwe akiwa anakuangalia kipindi ana Njaa sana 7. Ulimi wa Mjusi...
  10. Mhaya

    Hamas kuitisha Maandamano Ijumaa katika nchi za kiarabu kulaani mashambulizi ya Israel

    Hamas wasema Ijumaa hii wataitisha maandamano ya nchi za kiarabu kulaani mashambulizi anayofanya Israel huko Gaza tokea jumapili. Waziri Netanyahu wa Israel alisikika akisema Israel inatarajia kupiga mashambulizi ya kutosha katika Mji wa Gaza yatakayofanya Wapalestina wasiyasahu kwa zaidi ya...
  11. and 300

    Ijumaa iwe mapumziko

    Siku ya ijumaa inafaa kuwa ya Mapumziko ili watukufu waislam wakafanye ibada kama ilivyo nchi nyingi duniani ikiwemo GCC - Kuwait, UAE, Qatar, Saudi Arabia na Bahrain. Asante
  12. Lupweko

    Mechi ya Al-Merrikh vs Yanga kupigwa Ijumaa 15/09/2023

    Kuna mashabiki watakuwa bado wapo njiani kwenda https://www.sofascore.com/young-africans-sport-club-al-merrikh/vLCsvLdb#11589251
  13. Mamujay

    Nimetumiwa pesa toka CRDB kuja Airtel money tangu jana Alhamis hadi leo Ijumaa haijaingia

    Naombeni msaada Nifanyaje jana mafundi walikuwa site nusu wanipige makofi. Pesa imetumwa kutoka CRDB kuja Airtel money tangu jana alhamis saa 12 jion hadi saiz naandika ni saa 12 asubuh pesa haijafika CRDB Wanasema pesa imeshatumwa Airtell Money wanasema hakuna muamala wowote.
  14. peno hasegawa

    Balozi Mbelwa Kairuki kwenda Uingereza na Balozi Khamis Mussa Omar kwenda China ni tatizo

    Ijumaa limekuwa tatizo. Aliyepelekwa China sijajua hata ataanzia wapi? Aliyekuwepo China amefanya makubwa na uwekezaji uliongezeka. Siku ya Ijumaa sijajua ataanzia wapi na ana uwezo mdogo kufikiria na kutafsiri mambo. Kwa kifupi Ijumaa ni tatizo.
  15. Jugado

    Nilimfukuzia Kwa miezi saba kanitolea nje leo kanipigia anasema hataki uhusiano na Mimi ila ijumaa hii nimpleke live band!

    Wanabodi, baada ya kuandika ule uzi wangu wa "Maisha yangu baada ya miaka 37" wengi walinishauri niache nyumba ya laki tatu nikapange ya bei nafuu ili nitoboe. Kweli nimehamia nyumba ya laki na nusu wapangaji tupo sita ndani ya geti. Ni uswahilini fulani ukitoka nje ya geti unakutana na mihogo...
  16. M

    Tunaoishi Mabondeni na kwenye Miundombinu mibovu, Kifurushi cha Mvua ya Alhamisi na Ijumaa ijayo si Kizuri Kwetu

    Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) ni kwamba Kifurushi cha Jana Jumatatu tarehe 5 kilichopiga Kutwa nzima ni cha Mtoto ila Kifurushi cha Alhamisi ya tarehe 8 na Ijumaa tarehe 9 ni cha HATARI zaidi kwani kitakuwa ni Kikubwa na chenye Madhara kwa tunaoishi Mabondeni na katika Miundombinu...
  17. Ricky Blair

    Kwanini Biryani ipikwe Ijumaa?

    Huu ushamba wa lazima Biryani ipikwe ijumaa na iuzwe ijumaa imetokea wapi?? Na wengine wanaotaka Sikitu tofauti?? Mb TZ tumezubaa kibiashara na hamuoni Ijumaa mtacompete wengi? Kwani as long as itauzwa shida ipo wap c unapima Soo tu lazima iwe ijumaa??😡😡😡
  18. BARD AI

    Watatu wa familia moja waliofariki mafuriko Arusha kuzikwa Ijumaa

    Watu watatu wa familia moja kati ya wanne waliofariki juzi baada ya gari walilokuwa wamepanda kusombwa na mafuriko, akiwemo mama, mtoto na mtoto wa kaka yake, wanatarajiwa kuzikwa Ijumaa Aprili 28, 2023 katika eneo la Ilboru, Wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha. Tukio hilo lilitokea jana Aprili...
  19. technically

    Yule forward hatari wa Waydad sikumuona Jumamosi, Ijumaa kuna kiama

    Yule forward mweusi mwenye umbo kama drogba aisee sikumuona hata benchi jumamosi. Ijumaa nakiona kiama kama kuna forward hatari kwa Sasa africa ni Mayele, yule wa mamelodi na huyu jamaa wa waydad. Tuandae matanga kama taifa kuishusha bendera nusu mlingoti ni balaa tupu kule morocco.
  20. KAGAMEE

    Najiandaa kuwa mwanachama mtiifu wa Simba SC baada ya mechi hapo Ijumaa

    Kama Simba Sc itafuzu kwenda nusu Fainali hapo Ijumaa basi mimi kwa utashi wangu mwenyewe nitaenda mitaa ya msimbazi kukabidhi kadi yangu ya YANGA (klabu yangu pendwa)na kuchukua rasmi kadi ya SIMBA SC. 1. Nitahakikisha nalipa Ada yangu ya uanachama kwa uaminifu mkubwa mno 2. Nitachangia...
Back
Top Bottom