ijumaa

  1. BestOfMyKind

    Wilaya ya Rungwe, Ijumaa wanafunzi huwa hawarudi nyumbani saa 5 kama mtaala unavyotaka

    Kati ya mambo ya ajabu nchini, ni hili la kutofuatwa mtaala la wilaya ya Rungwe. Yaani wilaya yote imeamua siku ya Ijumaa vipindi vya darasani vitaisha muda wa kawaida ( saa 9 kwa msingi na saa 11 kwa sekondari) Hakuna uhiari wa kuwepo au kutokuwepo shule muda wa swala ya ijumaa, tofauti na...
  2. mugah di matheo

    Rais Samia ahudhuria swala ya Ijumaa

    Mama anaupiga mwingi hadi unamwagika aisee Hapo yupo na mfuti wa Tz jijini dar es Salam
  3. Mohamed Said

    Sala ya Ijumaa katika Miji niliyofika

    Makala yangu ya Mfungo wa Ramadhani inaelekea imependwa na wengi. Jamaa wamenifata pembeni kutaka kunijua zaidi. Jambo hili limenifanya nifikirie makala nyingine yenye mwelekeo huo huo. Nitarejea In Shaa Allah lakini nakuacha na picha ya Msikiti wa Geneva na Msikiti wa Humburg ambako nilisali...
  4. Y

    Ijumaa Kuu: Mateso ya Bwana Yesu yalikuwa makali sana na kilikuwa kifo cha aibu"Alijivua hali ya uungu akavaa hali ya ubinadamu"

    Wapendwa habarini leo ni ijumaa kuu ni kumbukizi ya kifo cha bwana yesu inasemekana yapata miaka 2000 iliyopita "baada ya wazazi wetu Adam na Eva kutenda dhambi pale bustani ya edeni MUNGU alichukia kwa hiyo dhambi na aliwafukuza pale bustanini na ndipo...
  5. Mwande na Mndewa

    Ijumaa Kuu: Kifo cha Yesu Kristo Msalabani (Simba wa Yuda)

    IJUMAA KUU; KIFO CHA YESU KRISTO MSALABANI (SIMBA WA YUDA) Leo 14:25pm 15/04/2022 Basi tangu saa sita mchana Yesu alipowekwa msalabani na kugongelewa misumari pale Calvary,akapaza sauti yake akasema Eloi,Eloi lamasabakhthani(Mungu wangu,Mungu wangu mbona umeniacha?) mara giza likatanda, Yohane...
  6. Peter Madukwa

    Uchambuzi wa Sheria ya Kanisa Katoliki ya kutokula nyama siku ya Ijumaa Kuu

    Tumsifu Yesu Kristo Kwa wakatoliki, leo siku ya Ijumaa kuu ni kumbukumbu ya mateso na kifo cha Yesu Kristo Msalabani. "funga Jumatano ya majivu usile nyama siku ya Ijumaa kuu".. ni moja ya sheria ya kanisa katoliki. KWANZA kabisa kabla ya kwenda mbali, lazima tujue kuwa, maana yetu ya msingi...
  7. mitale na midimu

    Ijumaa ya leo ikukumbushe tu Sabato ni Jumamosi

    Yesu alifufuka Siku ya kwanza ya Juma. Leo Ijumaa ndicho kile kinachoitwa Siku Maandalio ya Juma au Siku ya sita. Jumapili ni Siku ya kwanza ya Juma. Na Sabato kesho ni Jumamosi. Mambo ya kutafakari. 1: Ni dharau na ukosefu wa adabu kwa Mungu mfalme kuiita Jumapili au ijumaa Sabato. Ni...
  8. Suzy Elias

    Inatarajiwa Ijumaa Samia atakutana na Makamu wa Rais wa Marekani. Kwanini isiwe Rais mwenziye?

    Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani. Maoni yangu; Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake? Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house? Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka...
  9. G

    Tarehe halisi ya Ijumaa Kuu mwaka huu ni ipi hasa kati ya Aprili 8 na 15?

    Wakuu heshima mbele, Binafsi nilikuwa nataka kujiridhisha kwa usahihi zaidi ijumaa kuu ya mwaka huu na pasaka yake itakuwa tarehe ngapi hasa. Ikizingatia jumatano ya majivu ilianza tarehe 2/3/2022 na kwa mfumo uliozoeleka wa mfungo wa kwaresima huwa ni siku 40 na kwa hesabu hiyo ya siku...
  10. B

    Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM na Waandishi wa Habari

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo Leo Ijumaa Machi 18, 2022 atazungumza na Waandishi wa Habari kuanzia Saa 5 asubuhi hii kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM (OND) Lumumba Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo utaruka Mbashara kupitia Vituo vya TBC, Channel Ten...
  11. Miss Zomboko

    Bunge la Libya lasema haiwezekani kuandaa uchaguzi wa rais Ijumaa

    Kamati ya bunge la Libya imesema leo kuwa haitawezekana kuandaa uchaguzi wa rais uliosubiriwa kwa muda mrefu katika siku mbili zijazo kama ilivyopangwa. Hilo ni pigo kubwa kwa juhudi za kimataifa za kuumaliza muongo mmoja wa machafuko katika nchi hiyo yenye utajiri wa mafuta. Hiyo ni taarifa ya...
  12. Kamanda Asiyechoka

    Dkt. Joseph Kasheku Musukuma: Napitia post za wanaonibeza mitandaoni, kuanzia Ijumaa nitaanza kuwajibu

    #NUKUU "Bahati mbaya mimi siko mitandaoni na kuhusu wanaonibeza, mimi nitazungumza kuanzia Ijumaa, sasa hivi bado nasoma tu hayo mambo yao wanayoyaandika,"- Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma Chanzo: @supabreakfast ya @earadiofm
  13. P

    Ndege mbili za Airbus kupokelewa siku ya Ijumaa, Uwanja wa Abeid Aman Karume Zanzibar

    Naam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata...
  14. Kamanda Asiyechoka

    Kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake kuanza kusikilizwa Ijumaa na Jaji Mustapha Siyani

    Kesi Na.16/2021, Makosa ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake inayomkabili mwenyekiti @freemanmbowetz na wenzake 3, itaanza kusikilizwa Ijumaa ya wiki hii, katika Mahakama Kuu, Division ya Uhujumu Uchumi na Rushwa. Kesi hiyo, itasikilizwa na Jaji Mustapha Siyani.
  15. Shujaa Mwendazake

    Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 06.08.2021: Messi, Kane, Lukaku, Correa, Trippier, Aouar, Abraham, Armstrong

    Tangazo la Barcelona kwamba mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi, 34, hatabakia kwenye klabu hiyo ''limefungua mlango wa uhamisho wa kushtua " katika Manchester City. (Manchester Evening News). Uwepo wa Messi unaweza kuathiri uwezekano wowote wa uhamisho ambao Man City walikuwa...
  16. N

    Mwigulu Ijumaa ijayo atavuma tena, ushauri wa kupunguza kodi ya 1% ya mishahara ya watumishi wanyonge unamkosanisha Rais na Watanzania

    Ijumaa hii mishahara mipya itatoka. Lile punguzo la kodi ya PAYE ambalo Dr. Mwigulu alimshauri mama kwa watumishi wenye mishahara midogo kwa hesabu za haraka ni punguzo la Shilingi 2,750/- (Shlingi elfu mbili, mia saba na hamsini tu). Kwa maana hiyo kila mtumishi wa Serikali na Sekta binafsi ata...
  17. skilled masala

    Rais Samia Kuzuru nchini Burundi 16 Julai, 2021

    Masala Sayi Chuo Kikuu cha Iringa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwa na ziara ya kikazi nchini Burundi kesho tarehe 16, Julai 2021. Ziara hiyo imekuja kama mwaliko wa Rais wa Taifa hilo Mh. Evariste Ndayishimiye.Taarifa iliyotolewa na Mkurungezi...
  18. U

    RC Hapi aswalisha suala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Musoma Mara

    Wadau wa JF Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Hapi ameshiriki Swala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Musoma Mkoani Mara Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mara Msabaha Kassimu alimpa nafasi ya Kuswalisha Mheshimiwa Hapi Mheshimiwa Hapi baada ya suala alitoa hotuba na alihimiza Umoja...
  19. K

    Kwanini ni shida kupata ndege ya kutoka Mbeya - Dar hasa Ijumaa hadi Jumapili?

    Jamani tangu Ijumaa kupata ticketi ya Mbeya to Dar es Salaam ni shida sana. Sijui kwanini au watu wanasafiri sana hizo siku? Si Ndege za Presicion wala ATCL Je, Kuna nini?
  20. Greatest Of All Time

    BAKWATA: Mwezi haujaandama, Sikukuu ya Eid El-Fitr itakuwa 14 May 2021 Siku ya Ijumaa, Sherehe kufanyikia Dar

    Waislam duniani kote wanasubiria kuandama kwa mwezi ili kujua kama kesho ni sikukuu au laa. Kwasisi hapa Tanzania chombo kinachopaswa kutangaza sikukuu hiyo ni Bakwata. Ewe mwana jf kama utakuwa na taarifa zozote huko ulipo kwa waliopo Tanzania, tujuzane kama mwezi utakuwa umeonekana maeneo...
Back
Top Bottom