ijumaa

  1. Rwetembula Hassan Jumah

    Leo ilikuwa Ijumaa kuu kwa BAKWATA kwahiyo Eid Yao kesho

    Dini ikitawaliwa na siasa ndo basi tena .. Eid imesetiwa na Kalenda kuwa ni jumamosi (Kalenda Ya 2023) ila kalenda ya kiislam (1 tarehe moja mwezi wa 10 ndo Eid ) sasa Waislamu wa Tanzania sijui wanafuata ukristo au ni gani sielewi. Tangia Yesu aondoke Duniani... ni miaka 2023 mpaka sasa na...
  2. M

    Mliotaka Kulazimisha Eid iwe Leo Alhamisi au Kesho Ijumaa mnajisikiaje Eid kuwa Jumamosi?

    Uvivu na Kupenda kula Bata unawaponza. Mliitaka iwe Alhamisi ya leo ili Siku za Kula Bata ziwe Nne ( Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ) Mlivyoona Kimahesabu kula Eid Alhamisi ( yaani Leo ) haiwezekani mkataka sasa Kulazimisha kuwa Eid iwe Kesho Ijumaa ili kama Kawaida ya kuwa Kwetu Wavivu...
  3. Kenyan

    Kenya: Serikali yatangaza Ijumaa ijayo kuwa Sikukuu ya Idd

    Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya ndani inayoongozwa na Profesa Kithure Kindiki imetangaza Ijumaa ya Aprili 21, 2023 kuwa Siku Kuu, kusherehekea Idd-ul-fitr.
  4. Roving Journalist

    Ruvuma: Mtatiro amwakilisha Kanali Labani Elias Thomas, Ibada Takatifu ya Ijumaa Kuu

    IBADA YA KITAIFA YA IJUMAA KUU - MMOMONYOKO WA MAADILI Jana katika Ibada Kuu ya Kitaifa ya Ijumaa Kuu iliyoadhimishwa hapa KIUMA, kata ya Matemanga - Tunduru, nilipata wasaa wa kutoa salamu za Serikali ya Mkoa wa Ruvuma, nikifanya hivyo kumwakilisha Mhe. RC wa Ruvuma, Kanali Labani Elias...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ratiba yako ya Chakula cha Ijumaa Kuu ikoje?

    Miongoni mwa stressful days hasa likija swala la msosi ni leo. Wakristo wengi hasa wa madhehebu ya Katoliki leo nyama ni marufuku. Iwe kuku, kitimoto, mbuzi, ng'ombe, kondoo etc leo hawali kisu. Mimi breakfast yangu naianza hivi. Makande ya mahindi mabichi, sweet corn 🌽. Kisha mchana...
  6. Dasizo

    Leo ni siku ya Ijumaa kuu, unafahamu vitu gani muhimu vya kuzingatia katika siku hii?

    Waislamu tukae pembeni kidogo Leo ni siku ya Ijumaa kuu, tukumbushane vitu gani muhimu vya kuzingatia katika siku hii?
  7. Ntozi

    Ijumaa Kuu na katazo la kula nyama

    Naombeni anaelijua andiko linalokataza wakristo kula nyama siku ya Ijumaa kuu. Najua ni suala la kiimani, lakini msingi wa Imani ya kikristo ni Biblia, hivyo tujuzane hilo andiko liko kitabu gani ndani ya Biblia.
  8. B

    Rais Samia kuzindua Mkutano mkubwa wa Kilimo Afrika- Ikulu Dar es Salaam

    Leo Ijumaa (Machi 17), Rais Samia Suluhu Hassan atazindua maandalizi ya mkutano mkubwa wa kilimo Ikulu, Dar es Salaam na hii ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Zuhura Yunus. Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano huo mkubwa wa Afrika wa masuala ya chakula na kilimo utakaofanyika...
  9. B

    Tanzania mwenyeji mkutano mkubwa wa Kilimo Afrika, Rais Samia kuuzindua Ijumaa

    Bwanku M Bwanku. Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa Afrika wa masuala ya chakula na kilimo utakaofanyika Septemba 5 mpaka 8 mwaka huu. Ijumaa wiki hii (Machi 17), Rais Samia Suluhu Hassan atazindua maandalizi ya mkutano huo Ikulu, Dar es Salaam, hii ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa...
  10. Samatime Magari

    🚨 Ndio Ilikuwa Ijumaa…

    . Siku ambayo vijana wengi wala bata wanaikubali sana sababu ni siku weekend inaanza, wanaachana na kazi then wanapumzika, Ijumaa hii Agnes alikuwa bado yuko ofisini anamalizia vimeo vyake, Wenzake walikuwa washatoka wanaelekea Kidimbwi kula bata.. . Agness akawa bado anapambana na hesabu zikae...
  11. C

    Jua kwanini siku ya Ijumaa ni muhimu kwa Imani ya Uislamu kuliko siku zote za wiki

    1. Ni siku ya ibada maalumu kwa swala ya jumah. 2. Quran ilianza kushusha siku ya ijuuma kwa Kipenzi chetu Muhammad (saw) 3. Itakua siku ya ijumma ndo Qiyamah itatokea. kati swala ya ijuuma na swaratul Asr. 4. Ilikua siku ya ijumma ndo Mtume Muhammad (saw) kapelekwa Isra wa Imraji. Na sababu...
  12. BAKIIF Islamic

    Jumaa Kareem, Ijumaa ni siku ya furaha kwa Waislamu wote, Hakikisha leo unafika Msikitini

    Mtume Muhammad (s.a.w) anatujulisha mambo mawili muhimu yanayofanya siku ya ijumaa iwe bora miongoni mwa siku za juma. Kwanza ni kwamba, hii siku ya Ijumaa ndiyo aliyoumbwa Adamu. Pili ni kwamba siku hii ya ijumaa, baada ya Adamu kumkosea Mwenyezi Mungu aliomba msamaha na toba yake ikapokelewa...
  13. GENTAMYCINE

    Boss Saalah wa Silent Ocean, wana Simba SC tunajua mchanganuo wa ahadi yako ya milioni 30 kama Tanzania Prisons ikiifunga Simba SC Ijumaa

    Boss Saalah Said Mohammed Mmiliki wa Kampuni ya Silent Ocean na Mdogo wake wa Damu Tajiri wa Yanga SC Gharib Said Mohammed tunajua kila Kitu juu ya ahadi yako ya Tsh Milioni 30 kama wakiifunga Simba SC ijumaa kwa Mkapa. Ufuatao ndiyo Mchanganuo mzima wa hiyo ahadi ya Tsh Milioni 30 kwa Klabu ya...
  14. M

    Ijumaa inahusiana vipi na ombaomba?

    Mbona ombaomba wengi nimekuwa nikiwaona siku za Ijumaa wakipita wakiomba, sijawahi kuwaona Jumamosi au Jumapili. Na vilevile nimekuwa nikiwaona unapoanza mwenzi Mtukufu wa kufunga wa Waisilamu na Idd lakini siyo kipindi cha mfungo wa pasaka au kalibu na X-Mas! Tuchangie kwa upendo.
  15. Roving Journalist

    Uwanja wa Ndege wa Bukoba bado umefungwa. Huduma zaweza kurejea Ijumaa

    Uwanja wa ndege wa Bukoba bado umefungwna na hakuna ndege ya abiria inayotua. Pamoja na Waziri wa Ujenzi, Profesa Makame Mbarawa jana kueleza umma kwamba ndege zinaweza kutua, lakini kampuni mbili za ndege; ATCL na Precision hazijapeleka ndege zao Bukoba. Ndege ya ATCL iliyokuwa itue leo...
  16. BARD AI

    Twitter kupunguza wafanyakazi kuanzia leo Nov 4, 2022

    Kupitia Barua Pepe iliyotumwa Novemba 3, 2022 kwa wafanyakazi 7500 imewaeleza kuwa watajulishwa kuhusu mustakabali wa ajira zao leo Novemba 4, 2022. Hatua hiyo inakuja siku chake tangu Tajiri wa Dunia Elon Musk kukamilisha ununuzi wa kampuni hiyo kwa Tsh. Trilioni 102 ambapo alitangaza kufanya...
  17. H

    Kwanini Redio nyingi hapa Tanzania siku ya Ijumaa wanapiga zaidi nyimbo za kaswida za Kiarabu kuliko Kiswahili?

    Ndugu waamini wa dini mbalimbalini nawasalimu kwa jina la bwana muumba wetu. Siku ya Ijumaa ni siku ya ibada na mara nyingi inakuwa kama ni siku nusu ya kazi kutokana na waamini wengi wa dini ya Kiislam kwenda kusali. Sasa hata kwenye redio zetu ambazo ni nyingi sana kwa sasa hapa Tanzania...
  18. S

    Baada ya sheria ya haki ya dhamana kupitishwa, Serikali iangalie suala la Polisi kuvizia kukamata mtu Ijumaa ili akae rumande hadi Jumatatu

    Tunashukuru kwamba serikali hatimae imesikiliza kilia cha wananchi cha siku nyingi juu ya kuweka watu mahabusu bila kuwapa haki yao ya dhamana. Udhaifu wa hili ulikuwa pande zote mbili, polisi na mahakama, kwa sababu mahakimu nao pia walikuwa wakiwaendekeza polisi kwa kuachia watu warudishwe...
  19. MakinikiA

    Baada ya kutangazwa rasmi hapo Ijumaa maeneo yapo chini ya Russia ndipo upo uwezekano wa kutangaza vita rasmi

    Wengine wanaona kura za maoni kama jaribio la Kremlin kuanzisha upya vita. Ikiwa Urusi itachukua maeneo haya inaweza kupeleka mzozo katika kiwango kipya na hatari zaidi, huku Moscow ikionyesha juhudi zozote za Ukraine kuyarudisha maeneo hayo kama shambulizi dhidi ya eneo lake huru. Kuunganisha...
  20. Kibosho1

    Yu wapi Benji Cosmo wa Caribian beat kila Ijumaa Clouds FM?

    Napenda rege na miondoko ya Caribian beat nk. Nakumbuka miaka ya 2007 hawa jamaa walikua 🔥 sana, Alikuwa Cosmo mwenyewe na Dj alikuwa Bula na jamaa mwingine sikumbuki jina lake. Niliipenda sana rege kwa jinsi wajamaa walivyokuwa wanaendesha kipindi hicho. Nasikitika kwa sasa kipindi hiki hakipo...
Back
Top Bottom