Yaani tu basi....
=======
Polisi Dar wapiga marufuku jogging siku za ibada
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuwa halitatoa vibali kwa ajili ya watu kufanya mbio za taratibu (jogging) katika siku za ibada kwa sababu wafanya mazoezi hao wamekuwa wakiwachelewesha waumini...
Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo.
Mambosasa amesema kuandamana siku...
ojs entertainments
We do Post entertainment newz in this blog, your welcome
JUL
16
BABA WA DIAMOND MAPYA YAIBUKA
SIKU chache baada ya baba mzazi wa kachala wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platnum’, mzee Abdul Juma kufunguka kuwa mwanaye huyo hamthamini toka amepata...
Happy birthday to him
Happy anniversary to the family
Kwa niaba ya Makada wote Wazalendo Nchini Tanzania Namtakia kila la kheri Rais Mteule anaposherehekea siku yake muhimu ya kuzaliwa
Tunampongeza pia kwa ushindi wa kishindo
Muda ni kuanzia saa 5 asubuhi
Eneo ni Ofisi ndogo za Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi Lumumba Jijini Dar es Salaam
Tafadhali usikose
Tafadhali mjulishe Mwenzako
Tuna Jambo Letu
Ni Ijumaa tulivu.
Kama kawaida jiji la Arusha Kuna ubaridi asubuhi hii.Jiji likiwa katika hekaheka tangu Jana za Maandalizi ya mapokezi ya Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu.
Kanda ya Kaskazini hususan Jiji la Arusha ni ngome Kuu ya Chadema na akitoa salaam za kunikaribisha jijini humo...
Ijumaa mchana kishindo kikubwa kinatua Arusha. Ni Tundu Lissu "The chosen" atasambaratisha shughuli nyingi kwa muda wa masaa matatu. Pale atakapotafuta wadhamini kwa ajili ya kupeleke uelekeo mpya nchini na kuufuta udikteta unaotaka kuchipua!
Tukutane Kimandolu hadi Moshi mjini!
Bia ni moja ya vinywaji vya zamani vinavyojulikana. Siku ya Bia Duniani inawapa wapenzi wa kinywaji hicho sababu moja zaidi ya kunywa kila Ijumaa ya kwanza ya mwezi Agosti
Siku hii ilianza huko Santa Cruz, California, kusherehekea Wataalamu wa kusindika na kuthamini wale wote wanaohusika katika...
Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO, inatarajia kuzindua simu yake mpya aina ya TECNO SPARK 5 yenye kamera 5 Ijumaa hii kwa njia ya mtandao, ikiwa ni mara ya pili kuzindua kwa njia hiyo ya mtandao ambayo kwa mara ya kwanza ilitanguliwa na TECNO CAMON 15.
Akizungumza kwa njia ya simu leo jijini...
Wakuu inakuaje,,stay safe,,stay home tujilinde na Corona inaua...tufate maagizo yote ya serikali.ahsante
Nirudi kwenye mada,,Jana siku ya ijumaa mimi na mshikaji wangu tulitoka kuswali mida ya saa nane,,tupo njiani tukaona acha twende buguruni malapa kwa msela wetu tumcheki...
Katibu mkuu wa TEC padre Dr Charles Kitima amesema ili kuendana na maelekezo ya wizara ya afya katika kuikabili corona Kanisa Katoliki limebadili taratibu kadhaa za kiibada siku ya alhamis ya amri (kuu) na Ijumaa kuu.
Alhamisi zoezi la kiibada la kuoshwa miguu halitafanyika na Ijumaa kuu...
Mufti wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zubeir ameagiza madrasa zote nchini kufungwa kuanzia leo Jumatano Machi 18, ili kupunguza ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa corona.
Akizungumza na Mtanzania leo Jumatano Machi 18, jijini Dar es Salaam Sheikh Zubeir amesema agizo hilo linapaswa kutekelezwa...
Kupitia Ukurasa wa Mtandao wa Kijamii wa Twitter, aliyekuwa Waziri wa zamani
wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amesema ameitwa Jijini Dodoma kwenye Kikao hicho cha CCM
Amesema amepata barua ya kuitwa hapo jana na ataudhuria bila kukosa au kuchelewa kikao hicho kitakachofanyika Februari 06 saa 3...
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola hivi sasa yupo chini ya ulinzi unaomfanya asiweze kusafiri sehemu yoyote bila Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwa na taarifa.
Lugola alitenguliwa wadhifa wake baada ya kuhusishwa na mkataba wa kifisadi wa zaidi ya...
Mjadala ulikuwa kati ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Meli (TASAC) na Mawakala kutoka sekta binafsi.
Kitu kilichonivutia kwenye mjadala huu ni baada ya mawakala kutoka sekta binafsi kutoa malalamiko yao kuwa TASAC ameamua kuwa wakala lakini akaweka sheria kuwa yeye hatakuwa na LIABILITY kutoka...
Vimbunga viwili vinatarajiwa kutua katika pwani ya Afrika Mashariki usiku wa leo Alhamisi na kesho Ijuamaa, mamlaka za hali ya hewa zinaripoti.
Eneo la Puntland nchini Somalia ndilo linalotarajiwa kuathirika zaidi na tufani hiyo.
Kwa mujibu wa wataalamu wa hali ya hewa, mgandamizo wa hali ya...
Habari wakuu
Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri na mapumziko ya wiki. Ijumaa hii iliyopita wakati natoka kazini nilipitia Magomeni kwa dhumuni la kwenda fundi wa redio ya kitorori changu ninachokitumia kwa mizunguko yangu hapa town.
Sasa baada ya kumaliza shughuli yakuweka mziki kwa ride...
Serikali ya China imetangaza kuanzia Ijumaa ya kesho tarehe 2 Nov, mitandao yote ya simu China itaanza kutoa huduma ya 5G na kufikia mwisho wa mwaka huu inategemewa sehemu kubwa ya miji ya China itakuwa na huduma ya mtandao wa 5G. Hii ndio itakuwa huduma kubwa zaidi ya mtandao wa 5G duniani...
Ili kuinua uchumi na kukuza viwanda vya nguo vya Kenya serikali imeamuru wafanyakazi wote wa serikali na umma kuvaa nguo zilizotengenezwa Kenya kutokana na pamba iliyolimwa nchini humo kila ijumaa na siku za sikukuu. Kwa kufanya hivyo inategemewa kilimo cha pamba kukuzwa na pia kuvipatia soko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.