imani

Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Duniani Kuna Imani zaidi ya Moja?

    Maisha yote ya mtu hayatenganishwi na yanategemea imani. Kwa maneno mengine, maisha ni imani. Ye yote anayeishi duniani maisha yake ni imani yake. Hatahivyo, swali ni kwamba imani ni nini? Imani ni kwa nani au nini:tunaamini nini? Duniani kuna imani zaidi ya moja au mbali mbali? Kuhusu imani...
  2. mwanzo wetu

    Mpenzi kajilisha nyama ya kitimoto kinyume na Imani

    Jamani naombeni ushauri demu wangu alikuja jana Geto ,kimsingi mimi ni mkristo na Yeye ni mwislamu, Mimi natabia ya kununua kilo ya nguruwe na kuitengeneza mwenyewe nyumban kutokana sipendi itengenezwe magengeni au mtaani nje na nyumbani. Sasa mimi huwa mafuta yanayobaki huwa nayatunza ktk...
  3. M

    Hivi ni kweli sisi waafrika hatukuwa na chetu vyote ni vya kigeni kuanzia dini, ludha, chakula, elimu,siasa na imani?

    Hivi ni kweli sisi waafrika hatukuwa na chetu vyote ni vya kigeni kuanzia dini, ludha, chakula, elimu,siasa, imani. Yaani vyote vilikuwa vya kishenzi. Mtoto wa Mchungaji sielewi.
  4. DaudiAiko

    Imani na sayansi kwenye kukabiliana na virusi vya Korona

    Wana bodi, Wimbi la pili la Korona limetupata bila kujiandaa lakini kwa walio wengi ilitokana na athari za kulegeza hatua za kujilinda kabla ya tatizo ku tokomea kabisa. Sidhani kama Tanzania tunaweza kuwa kwenye kundi hili kwasababu tangia mgonjwa wa kwanza kupata ungonjwa huu nchini hatuku...
  5. sky soldier

    Je, kwa maono yako unaionaje dunia mwaka 2100 (Maisha, Teknolojua, Mazingira, Imani, n.K)

    Kwangu naona dunia kwa mwaka 2100 wengi humu tutakuwa tupo kwenye makazi yetu ya kudumu. Naiona dunia hapa kwetu tutaanza utaratibu wa mazishi kwa kuchomwa moto kwasababu ya changamoto ya ardhi. Naiona dunia miaka hio, mambo ya ushoga, usagaji, kubadili jinsia yatakuwa katika kiwango cha juu...
  6. Analogia Malenga

    Jaji Imani Aboud Achaguliwa Kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

    Jaji Imani D. Aboud ambaye ni jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aligombea nafasi ya kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Katia Mkutano wa 38 wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje ya Umoja wa Afrika, Jaji Imani amechaguliwa kuwa jaji kwa muhula wa pili wa miaka 6, ambapo...
  7. Miss Zomboko

    Iran yazuia uingizaji wa chanjo ya Corona kutoka Marekani na Uingereza kwa kutokuwa na imani na mataifa hayo

    Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amepiga marufuku uingizaji wa chanjo ya Covid-19 kutoka kampuni ya Pfizer ya Marekani na mshirika wake BionTech, sambamba na chanjo ya Uingereza ya Astrazeneca kwa kile alichokitaja kama kukosa imani na mataifa ya Magharibi. Katika hotuba kupitia...
  8. FRANCIS DA DON

    Wale wanaobisha kwamba imani sio ugonjwa wa akili watazame hii clip

    Ona mtu anavyofyonzwa akili na kuwa kama taahira bila hata yeye kujijua, video ina maelezo ya ziada
  9. K

    Nini kimewarejeshea Profesa Baregu na Safari imani dhidi ya CHADEMA?

    Profesa Baregu na Safari walipotea hewani kwa muda Sasa lakini ghafla baada ya Chadema kuwatimua Wabunge 19 wasomi Hawa wanaonekana kupata nguvu nakuanza kuonyesha imani kubwa kwa Chadema. Si Hawa tu Bali wasomi wengi wamejitokeza kwenye mitandao kuishabikia Chadema, Je, hii ni ishara kwamba...
  10. S

    Baada ya watu kupoteza imani na Tume ya Uchaguzi huku wapinzani wakisusa kushiriki chaguzi, kinachofuata ni kuletewa Mgombea binafsi

    Katika jitihada za kuondoa picha ya kuwa na Bunge la chama kimoja,na kuondoa dhana inayojengeka kwa kasi sasa kwamba demokrasia sasa imekufa, watachofanya hawa mabwana ni kutuletea kitu kinachoitwa "Mgombea Binafsi" ingawa yatakuwa ni yale yale tu maana mifumo ni ile ile. Katika hili, baadhi...
  11. Sijali

    Tanzania nchi ya imani

    Nimeonelea badala ya mawazo ya kulaumu, kulalamika, kulaani…...nitoe mawazo ya kujenga angalau kujaribu kuepusha matatizo makubwa yanayoisogelea Tanzania. Ni matumaini yangu wakuu watayaona na angalau kuyafikiria. Kila mfuatiliaji atajua uchaguzi uliopita, mithili ya chaguzi zote zilizopita...
  12. Miss Zomboko

    Umoja wa Mataifa wahimiza kuheshimiana kwa dini zote na imani ili kukuza utamaduni wa udugu na amani

    Mwakilishi Mkuu wa Muungano wa Umoja wa Mataifa (UN), Miguel Angel Moratinos, amehimiza kuheshimiana kwa dini zote na imani na kukuza utamaduni wa udugu na amani. Moratinos, katika taarifa yake ya maandishi, ameelezea wasiwasi mkubwa juu ya visa vinavyoongezeka na mvutano uliosababishwa na...
  13. Dotto Kajole Fimbo

    Uchaguzi 2020 Imani yangu kwa Rais Magufuli hiyo kesho tarehe 28/10/2020

    Licha ya kwamba Rais Magufuli hajafanya vizuri katika suala la ajira ila binafsi bado nna Imani naye kuelekea tarehe 28/10/2020 hivyo anastahili kupewa miaka mitano tena katika utawala wake. Kafanya mengi mazuri yakujivunia ukilinganisha na suala zima la uhaba wa ajira nchini. Ni ukweli...
  14. jingalao

    Watu wa Kilimanjaro, Arusha na Manyara warudisha imani kwa CCM

    Hali ya mambo 2015 ilikuwa ngumu kwa CCM hasa baada ya Mh. Edward Lowassa kuhamia CHADEMA jambo lilolopelekea kura ya hasira dhidi ya CCM. Mwaka huu ni tofauti kwani Upinzani umekosa mwanaCCM maarufu na mwenye mtandao ndani ya CCM ambaye angeweza kuyumbisha chama. Wakazi wa Kaskazini wameamua...
  15. Q

    Nimekosa imani na Msemaji Mkuu wa Serikali

    Inawezekana hata picha za SGR anazotuletea ni za uongo. Hali halisi.
  16. J

    Rose Mhando: Magufuli tubebe watanzania tuna imani nawe!

    Jukwaa la wasanii katika kampeni za CCM limezidi kuimarika baada ya kuongezeka msanii wa nyimbo za Injili Rose Mhando. Rose amekuja na wimbo mpya wa kampeni "Magufuli Tubebe" Siasa ni sayansi. Maendeleo hayana vyama!
  17. T

    Uchaguzi 2020 Mtu msafi kiroho hahitaji nguvu kubwa kushawishi watu bali kazi zake zitaonekana tu...

    Imani yangu inanikataza kushirikiana na watu au vitu viovu sasa ninapoona watu wakipanda jukwaani kutuhubiria mambo mazuri alafu watu haohao wanatumia watu ambao si wasafi kiroho kuvutia umati ujae ili kuwakiliza napata taabu sana kuwaelewa watu hawa tena utawasikia wakitoa ahadi na viapo...
  18. lee Vladimir cleef

    Uchaguzi 2020 Sina imani na CHADEMA na Lissu tena, hata wakishindwa itakuwa sawa tu

    Mimi ni mpenzi wa Chadema wa kufa Mtu, naichukia CCM kuliko kitu chochote. Ndio kitu kinachoongoza kati ya vitu ninavyovichukia. Lakini ikatokea Chadema ikashindwa kihalali kabisa bila hila wala wizi wa kura wa Aina yeyote, yaani Watanzania wakaichagua CCM kwa moyo mweupe kabisa bila mashakani...
  19. M

    Uchaguzi 2020 Lissu hana uchungu hata kidogo na rasilimali za taifa hili

    Huyu namfananisha na Rais ambaye ni nazi, kwani nazi ukiiangalia nje inalangi nyeusi ukiipasua ndani ni nyeupe. Rais wetu mtarajiwa ni mweusi kwa nje ila ndani mawazo, fikra, utamaduni na hisia ni kuwa mzungu. Mwanzoni alipatakusikika akimsema vibaya Magufuli kwa kupuuzia mikopo kutoka ulaya na...
  20. Rajab_Omar

    Sisi Timu ya Wananchi Hatuna Imani Tena na Kigwangwala kwa alichotufanyia

    Salaam Wananchi Wezangu Sisi Washabiki wa Dar Young Africans tunatangaza Wazi kuwa alichotufanyia Hamisi Kigwangwala ni Hujuma dhidi ya Wananchi, Alijitengezea Mgogoro na MO Dewj akatuhadaa sisi Wananchi tukaamua kumuunga mkono na kukomaa na yeye tukajisahau kama na sisi tuna Timu inahitaji...
Back
Top Bottom