Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.
Rais Magufuli amehudhuria misa takatifu ya uzinduzi wa Kanisa la parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino jijini Dodoma.
Misa hii inarushwa mubashara TBC na Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
=========
Baba askofu mkuu amewataka waumini kuzusha macho kuuona uzuri wa kanisa na kuwaasa...
Taarifa zinasema kumekuwa na rushwa katika chaguzi za CCM kwa miongo kadhaa lakini wadadavuaji wa mambo ya kisiasa wanasema safari hii ilikuwa ni balaa, kwani kura zilipelekwa katika soko kama la hisa au mnadani wa kura kwani mwenye dau kubwa ndiyo alifanikiwa kununua kura za ushindi na mwenye...
Kila unapofika wakati wa Uchaguzi kama huu, yanasemwa na kufanywa mengi. Moja kati ya maneno yanayosemwa sana ni kugawana/kugawa kura kwenye Uchaguzi. Kauli hii ndiyo imekuwa hoja hata ya kuwataka wapinzani waungane.
Pamoja na kukiri kuwa umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, kwenye Uchaguzi...
KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA?
Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana.
Mwananzila alishika nafasi ya...
Jana nilipanda treni kwa safari ya masaa manne. Mlangoni alikuwepo mhudumu na kipima joto na kuhakikisha wote tuna barakoa kabla ya kuingia ndani pia kulikua na meza yenye sanizer pembeni.
Tuliambiwa tukae mbali na abiria wengine la kama mmetoka nyumba moja mnaweza kukaa pamoja. Sasa alikuja...
Habari wakuu. Natumai mu wazima wa afya na bado mnachukua tahadhari za COVID 19. Pengine kichwa cha habari kimekuvuta upite hapa. Karibu sana.
Kati ya vitu ambavyo vimenisaidia kukomboa fikra moja wapo ni hiki ninachokueleza leo. Umewahi kuwaamini watu ukawapa dhamana ya jambo fulani na hata...
Watu wameendelea kutoa maoni yao kuhusu uamuzi wa aliyekuwa Kada na Kiongozi mwandamizi wa Chama na Serikali, Mzee wangu Bernerd Membe kujitoa rasmi katika Chama cha Mapinduzi, nimeonelea kuwa ni jambo lenye manufaa nami nikaungana na watanzania wengine katika kutoa mtazamo wangu katika kadhia...
Mkasa : NDOA ILIVYOTETERESHA IMANI YANGU
Mwandishi: IRENE MBOWE (Irene Mbowe Kungwi Lao)
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
Hiki ni kisa cha ukweli kabisa, anachokielezea Flora, Mwanamke ambaye anakiri Imani yake kutereteka kwa sababu ya Ndoa yake. Alikuwa na alilelewa kwenye familia yenye...
Sisi wananchi wa jimbo la uchaguzi la Mpwapwa tuna imani kubwa na wewe Mhe. Ummy Fussi kwani tunategemea utampokea kijiti cha uongozi wa uwakilishi Mhe. George Malima Lubeleje ambaye amefanya kazi kubwa sana ya kutuwakilisha kwa zaidi ya miaka 30 lakini sasa utu uzima umemfika.
Mhe mtalajiwa...
Rais Magufuli ni chaguo la Mungu.
Bunge zima lilisimama wakiwemo wabunge wote na wageni wote na kuimba wimbo wa " Tuna Imani na Magufuli"
Bunge limewaomba wananchi wajitokeze mwezi Oktoba na kumchagua Dr. Magufuli na wabunge na madiwani wanaoendana na kasi ya Hapa Kazi Tu
Chanzo: Eatv...
Waumini ni wakati wa kujiuliza maswali machache badala ya kushabikia chochote kinachosemwa na wanasiasa. Tunavyosema Mungu katusaidia Tanzania pekee si kweli na tusimuhusishe Mungu na agenda zetu za kisiasa.
1. Je, Mungu ana weza kusaidia watu akaishia Namanga pale na kusema siwasaidii Kenya...
Watanzania tunayobahati kwa Mungu kuruhusu Magufuli kuwa Raisi wetu. Nakumbuka kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 katika nyumba za ibada kulikuwa na maombi maalum yaliyo kuwa yakifanyika kwa ajili ya kumpata rais ajae wa Tanzania baada ya uongozi wa awamu ya nne. Nipende kusema kuwa sala na maombi...
Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kuwa siri nyingi zimefichwa kwenye maandishi ndio maana tunavitu vingi tunavyo lakini tunashindwa kuvitumia na waliotangulia kuyafunua hayo maandishi ndio silaha yao wanayoitumia kututumia.
Tukiwa kwenye group moja la mitandao ya kijamii, Mchangiaji...
Hili halina ubishi kabisa kwa sababu kila mtanzania anaona kwa macho yake namna serikali ya awamu ya tano ilivyoweza kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi kabisa.
Mfano ni utekelezaji wa mradi mkubwa ambao utakuwa mfano mkubwa wa kuigwa mradi wa tril 6+ za kitanzania ambao umepewa jina la JNHPP...
Pole na kazi Mkuu!
Ni imani yangu u mzima wa afya na unaendelea vyema na kuchapa kazi ya kujenga nchi yetu na ni imani yangu pia ujumbe huu utaupata na kuufanyia kazi.
Kwa ufahamu wangu mdogo nimeona hii ni platfom nzuri kwangu kuweza kukufikishia malalamiko yangu kama siyo yetu sababu sina...
Biashara zina mbinu nyingi sana za uendeshwaji kila mtu anatumia mbinu yake ili kupata wateja wake ila huwa nawambiaga watu kila siku ktk biashara hamna kitu kirahisi kama kupata mteja/wateja,yani katika vitu huwa virahisi hicho ni namba 1.
Shida/mtihani/mziki huja wapi unajua? Kumfanya yule...
As mentioned above, je ni kweli kuwa hawafi bali hutwaliwa? au hupotea? ni nanai kati yetu humu amewahi kuhudhuria mazishi ya albino, mbali na wale wanaofanyiwa ukatili wa kutisha? nimeuliza hili swali Africa kusini yote! jibu ni hawajawahi kushuhudia mazishi ya albino!
Je ni kweli...
Niaje wana jf,,nkumbuka nliandka uzi wa kutafta girlfriend miak 18-24 na MUNGU alnsaidia nkampata mtu hum ndan(stomsema jna) alkua na miak 25 kanzid miak 5..nmekaa nae kwenye mahusiano huku tukifahamian kiundan zaidi kw mda
Sku moja nkamwombe tukapime afya zetu,,bt akawa mgumu katk sekta...
Vyama 12 vya upinzani nchini vimesema vitashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu chini ya Tume ya uchaguzi iliyopo kwani wana imani nayo na pia wana imani na Rais Magufuli.
Makatibu wakuu wa vyama hivyo wakiongea na waandishi wa habari wamesema Mbowe na Chadema ni miongoni mwa waliosababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.