Nimeonelea badala ya mawazo ya kulaumu, kulalamika, kulaani…...nitoe mawazo ya kujenga angalau kujaribu kuepusha matatizo makubwa yanayoisogelea Tanzania.
Ni matumaini yangu wakuu watayaona na angalau kuyafikiria.
Kila mfuatiliaji atajua uchaguzi uliopita, mithili ya chaguzi zote zilizopita...