Maisha ya wanachuo huwa yana Maigizo Mengi hasa kwa Dada zetu, leo nakumbuka tukio Moja la Mwaka 2010 Pale Hosteli za Mabibo za Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Block D
Nikiwa Pale Hostel ya udsm mabibo nilikaa na mshikaji mmoja room moja, alikuwa first year mimi nikiwa second year.. Huyu bwana...