imara

The Naval Infantry Command (Spanish: Comando de la Infantería de Marina, COIM), also known as the Naval Infantry of the Navy of the Argentine Republic (Spanish: Infantería de Marina de la Armada de la República Argentina, IMARA) and generally referred to in English as the Argentine marines are the amphibious warfare branch of the Argentine Navy and one of its four operational commands.
The Argentine marines trace their origins to the Spanish Naval Infantry, which took part in conflicts in South America in the eighteenth and nineteenth centuries. Argentine marines took part in various conflicts of the nineteenth and twentieth century, notably the War of the Triple Alliance and the Falklands War. The marines (represented by the 5th Naval Infantry Battalion) are considered to have been among the best Argentine combat units present in the Falklands. The most recent war in which Argentine naval infantry took part was the Gulf War of 1990.
Today Argentine naval infantry are frequently deployed on UN peace-keeping missions.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bila kuwa na katiba imara na yenye nguvu Lissu angekuwa bado anaropoka ujinga mitaani

    Mwanasiasa/mwanaharakati chunga sana mdomo wako, chama chako/hao wafadhiri wako ni wadogo sana kuliko nchi ya Tanzania. Tanzania ni kubwa kuliko chama chako kabla hujaongea jua kuwa Kuna Sheria, kama vile Sheria cybercrime act, 2015 na nyingine nyingi ambazo zipo kwaajili ya kulinda maadili...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Treni za SGR daraja la biashara nauli ni TZS 120,500 ila internet ni ya kusuasua. Kwenye basi nauli ni TZS 35,000 na internet ni safi na bure

    Hivi Tanzania Railways Corp , nina swali kwenu. Nauli ya daraja la Business Class ni Shilingi 120,500, lakini inashangaza kuona kuwa huduma ya Wi-Fi ndani ya treni haijawekewa mtandao wenye ubora na uhakika. Mtandao unasumbua kiasi cha kushindwa kutekeleza baadhi ya majukumu yanayohitaji huduma...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wenon battery je ni bora na imara ?

    Wanajamvi Naomba ushauri juu ya battery hizi nimeweka kwenye gari yangu nashangaa inatoa maji maji hapo kwenye terminals sijajua shida ni nini
  4. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Embu Tizama Rais Wetu Namna Alivyo Imara na Mwenye Nguvu. Hivi Wanaharakati Uchwara Wakiongozwa na Maria Sarungi Wanajisikiaje Huko Waliko?

    Ndugu zangu Watanzania, Napata Raha na Furaha kubwa sana Napomuona Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania katika Hali hii ya Ushupavu ukakamavu uimara Uhodari tabasamu na morali na Ari ya kazi . Mama Yetu Mpendwa yupo Imara kimwili na kiakili . Yupo Tayari kuendelea na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya ni injini ya siasa za upinzani Tanzania. Walichokosa ni chama chenye mizizi Mbeya na kiongozi CHADEMA, lakini harakati na hamasa, hawana mfano

    Ukiondoa Dar es Salaam, mkoa uliofuata kwa Mo29 ulikuwa ni Mbeya, wilaya nne za Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini, Uyole na Kyela maandamano yalifanyika kwa kiwango kikubwa. Kwa upande wa mikoa kama Mwanza na Arusha, maandamano yalijikita zaidi katika maeneo ya mijin, kwa mkoa wa Mara maandamano...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt Dorothy Gwajima, Unafanya vizuri sana ila katika kulinda Maadili, jenga Mfumo wenye mzizi imara, hata utakapotoka Mfumo uishi!!

    Hivi vyeo vinaondoka. Kuna kuhamishwa Kuna kustaafu/kustaafishwa Tunapoelekea Tanzania ya 2050 suala la Maadili lazima tulitizame kwa picha hiyo !! Leo unapambana sana kudeal na Matukio ya mmojamoja na makundi , ni jambo zuri, ila Mama, fikiria Leo ukitoka utaacha nini kama kielelezo kwenye...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mimi nimesema kuna mtu atakufa tu, hata kama anajifanya yuko imara

    Narudia tena kuna mtu atakufa haraka sana kuliko anavyodhania na kujiona. Time will tell
  8. JamiiForums Tanzania Wito Mawakili Kushikamana, Kusimama Imara Kudai Haki, Heshima na Utu kwa Kusimama na Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi.

    Wanabodi, Hii ni Taarifa muhimu kutoka TLS. Nime C& P TAARIFA KWA UMMA Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026...
  9. JamiiForums Tanzania wewe na mpenzi wako mna muda gani kwenye mahusiano? nini kinawazuia kufunga Ndoa? je kukaa muda mrefu kwenye mahusiano ndo msingi wa ndoa imara?

    nmekuja kugundua mahusiano ni magumu sana huku kwa ground aisee. pamoja na kuwa ni magumu ila kuna couples huku kwa ground zipo kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 7 wengine mpaka 10. nina rafiki yangu mmoja yupo kwenye mahusiano na mpenzi wake mwaka wa 7 huu kila nikimuuliza mahari tunapeleka...
  10. B

    JamiiForums Tanzania TANZANIA na nchi za Afrika pamoja na Ghuba zatoa wito wa ulinzi imara zaidi kwa wafanyakazi wahamiaji - SADC

    08 October 2026 Tanzania together with African and Gulf countries calls for stronger protection of migrant workers - SADC https://m.youtube.com/watch?v=CW-uZzb3yUc Tanzania na nchi za Afrika na Ghuba zinatoa wito wa ulinzi mkali kwa wafanyakazi wahamiaji kadri uhamaji wa wafanyakazi kati ya...
  11. JamiiForums Tanzania Wapare huenda ndo wapo imara sioni wakisemwa.

    Kuna muda unajikuta unafanya kitu, halafu baadae unaanza kujishangaa mwenyewe. 😂 Leo nimepika chapati na kakipande ka kuku, wakati nakula gafla nikaskia mtu anagonga nikajikuta nakimbiza chakula chumbani. Baadae nikajiuliza, Kwanini nimeficha chakula maana ilikua ni kitendo kilifanyika bila...
  12. JamiiForums Tanzania Congo DR ili iwe stable, kipi kifanyike?

    Habarini wanaJF!! Naamini humu Wasomi na watu wenye exposure wapo. Huwa natafakari bila kupata majibu kuhusu nchi jirani ya Congo. Maradhi(mf. Ebola), Vifo, Insecurity ni miongoni mwa vitu vinavyoichafua nchi ambayo ingestahili kuitwa Super Power duniani. Jeshini pia tuliimba nyimbo za kukemea...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mda mfupi niliokaa jamii forum hum na kwa upeo wangu mdogo nimegundua yafuatayo

    Kama hizi mbinu zote mmefeli CHADEMA ni dude kubwa 1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja 2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia 3.Framing>Kueleza jambo kwa mtazamo frani Ili wanaokusikiliza waelewe kwa namna hyo 4.Complomise>Kila upande kutoa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vigogo wa Chadema katika picha ya pamoja baada ya kikao cha leo

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Godbless Lema, Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Zanzibar, Said Mzee; na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho Dkt.Rugemeleza Nshala baada ya kikao...
  15. JamiiForums Tanzania Upinzani Mpya Dhidi ya CCM Imara ya Samia

    By December, huenda tukawa na chama kipya cha upinzani. Acha matapeli na madalali wagawane fito na kumalizana wenyewe. CCM ya Samia imefanya political rejuvenation ya hatari. Kwa kasi hii, wapinzani watahitaji miaka 100 mingine kuiondoa madarakani. Siku moja mtatambua kwamba sisi chawa...
  16. JamiiForums Tanzania Taifa Bila Vyombo vya Habari Huru na Imara ni Taifa Mfu. Gazeti la MwanaHalisi Lisamehewe Kuandika Ukweli?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, ambapo nimeibua hoja 4 nikiuliza kama wajua kuwa Taifa lisilo la mhimili wa Nne ulio huru na imara ni kama taifa mfu kwasababu ile mihimili mitatu ya Serikali, Bunge na Mahakama, itakuwa huru kujivinjari na madudu ya kila aina...
  17. JamiiForums Tanzania Kati ya daraja A, B na C, ni lipi linaonekana kuwa imara zaidi?

    Mdau, ni daraja unadhani linaweza kuwa imara zaidi na kwanini?
  18. JamiiForums Tanzania Miujiza Nepal; Sanamu ya Budha yabaki imesimama imara katikati ya Mafuriko makubwa!

    Ni tukio liliowashangaza wengi duniani Sanamu ya Budha kubaki imesimama imara wima katikati ya Mafuriko
  19. JamiiForums Tanzania Ccm ikiwa dhaifu sana basi mabadiliko ya kweli yatakuja- ikiwa imara sana ni kikwazo cha mabadiliko

    Kwa hili linalotokea la nchimbi kujiuzulu mimi sina upande wa kutetea au kuponda sababu ukweli ni kwamba ccm wote wanafanana tabia na wanatumia playbook moja kwa hiyo huo ni uogomvi wa ndugu haina haja ya kuingilia na kuushabikia Ccm ikiwa dhaifu kwa mda mrefu basi itakuwa ndo chachu ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni Wazanzibari! hatua zenu si za kubeza; mnasuka usawa ndani ya Muungano. CCM Bara hatuna wasiwasi, kiongozi yeyote anaejiuzulu nafasi itajazwa

    Tunaendelea kuuenzi Muungano wetu wa Tanzania, ambao baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye Muasisi. Zanzibar kama upande mmoja wa Muungano tunawapa pongezi kwa kuendelea kuunogesha Muungano kwa kuweka mifumo yenye kujali usawa zaidi. Na huo ndio Muungano tunaoupenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…