👉Kwa Nia njema Nina Machache kuhusu maadhimisho ya kuzaliwa kwa Chama changu Cha Mapinduzi (CCM), niseme tu kwamba CCM inahitaji kufanya 'Reform' yaani Mageuzi au Mabadiliko ili kutengeneza ari na mwamko mpya wa Chama na kuleta mvuto kwa wanachama wake pamoja na watu wengine wasio wanachama wa...
Mfano. Kuna kitu kinaitwa Chicken War. Miaka hiyo ya nyuma USA walikuwa wanauza sasa kuku Ulaya na hasa Ujerumani. Kuku kutoka USA walikuwa bei rahisi kuliko wale wanaozalishwa Ujerumani. Wafuga kuku wa Ujerumani wakaanza kulia kuwa kuku wa US wanawafanya washindwe kuuza. Serikali yao...
Wanabodi,
Makala yangu kwenye Nipashe ya Jumaoili ya Leo。
Leo Tarehe 12 January 2025, imedondokea siku ile ile ya Januari 12, 1964, ilikuwa ni siku ya Jumapili. Leo Tanzania inaadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wakati Wazanzibari wengi wanashereheka kuyapongeza Mapinduzi...
Ili Yanga iweze kufuzu hatua ya robo fainal basi ndiyo timu inayohitaji maombi zaidi kwasasa.
Maneno hayo yamesemwa na Wilson Oruma a.k.a Mzee wa Jambia
Barabara ya ‘Mnara wa Vodacom’ inayochepuka kutoka barabara mpya iendayo Butiama-Nyamuswa-Ukerewe imekuwa kero kwa wakazi wa Ligamba mtaa wa Ligamba ‘A’—Wilaya ya Bunda, Mara.
Barabara hii, licha ya kuelekea kwenye minara ya Vodacom na ofisi za TBC pamoja na minara ya TBC, haijawahi kufanyiwa...
Meli ya hospitali ya Jeshi la maji la China, "Peace Ark" inayotekeleza jukumu la “Operesheni ya Masikilizano mwaka 2024”, hivi karibuni ilihitimisha ziara yake ya urafiki na huduma za matibabu nchini Djibouti, na kuelekea kituo chake kijacho nchini Sri Lanka. Hii inamaanisha kumalizika kwa...
Ngoma ngumu ; waangola wako vizuri sana kuliko mategemeo yetu, wako kwao na wanajua kutumiia uwanja wa kwao, hadi sasa washamtandika Constantine mabao 2 0 na wanashambulia kama nyuki, Bravos akimfunga Simba na Sfxien ameshafuzu tayari, na kwa namna anavyocheza uwezo huo anao, mechi moja tu...
Kwa maoni yangu naona CHADEMA inahitaji uongozi mpya kabisa. Naona watu wengi wanaangalia cheo Cha Mwenyekiti na kuacha kuangalia vyeo vingine. CHADEMA inahitaji Mwenyekiti mpya mwenye msimamo sio Leo anasema hivi kesho anabadilika. CHADEMA inahitaji mwenyekiti atakaye kuwa nembo ya chama...
Katika harakati za kujitafuta nilifanikiwa kukutana na huyu jamaa na sasa tunaishi kama ndugu. Ndio kwanyakati tunakutana wote tulikuwa tunapitia hali flani ambazo nisehemu ya mapito kwenye maisha yetu.
Mwisho nilikuwa chini yake kama (nyokaa) wakati naendelea kutafuta tobo kuna kazi nilikuwa...
Kwa ukubwa wa Tanzania, tumechelewa sana kwenye secta ya anga. Hadi 2015 tulikuwa bado tunatumia rada za majirani zetu na tulikuwa tuna kiwanja kimoja tuu chenye hadhi ya kimataifa.
Kwa sasa tuna viwanja viwili 2 ambavyo vinaweza kuhost ndege kubwa za kimataifa ambavyo ni Kilimanjaro ambacho...
Wazee hili taifa letu la Tanzania wamelitapanya Sana kwa kuingia mikataba hewa ya kilaghai na mataifa ya nje . Kijana traore anezaliwa Mwaka 1987 nikijana katika viongozi wa afrika wa mfano na anafaa kuigwa, Kila anapopita wananchi hawachoki kumshangilia kwa kazi anayoifanya.
Hapa kwetu wazee...
Transparency amongst senators showing clearly their position.
Hakuna UNAFIKI wala kuonyesha eti kulamba uchafu wa aliyeko madarakani.
Nimeipenda kwa kweli. Nasubiri kwa hamu upigaji kura.
Nadhani ni HAKIKA TANZANIA INAHITAJI katiba MPYA ili kuondoa UCHAWA na kuweka COMPITENCE , INTEGRITY and...
Hayati Magufuli alikuwa anajiamini sana, ona hapa uthubutu wake
1. Kujenga viwanja vya ndege
2. Barabara zilizonyooka
3. Kupinga waziwazi sera za kibapari kama ushoga nk
4. Kujenga fly over ambazo hadi leo zimepunguza kwa kiasi kikubwa msongamano
5. Hospital za wilaya na mikoa aliziboresha...
Habari za jioni wana jamii leo nimekaa na kuwaza kuhusu nchi yetu ya Tanzania kwa kina na kwa upana sikuwa na budi bali kuandika haya mambo kwa sisi watanzania wote
Tanzania ni nchi ambayo imekaa vizuri kijiografia yaani tumezungukwa na nchi nane tunaweza sema tisa tukiweka na visiwa vya...
Jiji la Dar es salaam limeshapita level ya mabasi ya mwendokasi kutokana na idadi ya watu kuwa kubwa hasa pembezoni mwa mji.
Kwa sasa jiji la DSM linahitaji treni ili kuendana na kasi ya kuongezeka kwa idadi ya watu. Walau ruti nne za treni zinahitajika.
1. Gerezani- Tegeta-Bagamoyo
2...
Kuwaambia kuwa walicheza vizuri dhidi ya Yanga ni kuendelea kuwadanganya. Walistahili kufungwa 4 kama Kila kitu kingekwenda vizuri. Kama Kapomne, Zimbwe na mzamiru bado wanapata namba Simba kwenye mechi ngumu kama Ile ya derby ujue kuwa waliosajiliwa ni wabovu zaidi, dirisha dogo wataachwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.