inahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Simu Samsung Brand inahitajika

    Ohy wadau nahitaji simu(Samsung) yenye good condition tufanye biasharaa , Pia isiwe chini ya 64 GB internal itakuwa poa sana. Kama uko Dar au Moro town na una mzigo njoo tuongee
  2. Harrier old model inahitajika haraka

    Engine ndogo. No DL kushuka. Bila ajar wala kuoga rangi. Njoo bila mbadala wa maelezo yangu. Iwe dar
  3. Barabara ya Engosengiu Arusha inahitajika Lami, haipitiki

    Ni muda sasa wananchi wa kata ya Sinoni wanaotumia bara bara ya Engo wamekuwa wakilalamika ubovu wa barabara ya Engosengiu kutokea kipande cha makutano ya Reli, mjini hadi kwa mamalaizer kuelekea Nado, chakusikitisha hii ni moja ya bara bara ambayo ipo katika kata za mjini kabisa. Kipindi...
  4. B

    Katiba Mpya ni muhimu kwa Sekta Zote

    Uwepo wa mustakabala mpya wa mahusiano baina watu na watu pia watu na serikali hauwezi kudunishwa. Ni muhimu kuzipitia sekta mbalimbali katika kuamshana kwenye harakati hizi takatifu. Tuanze hapa na Sekta ya Usafirishaji: Sekta hii ni katika sekta zilizonyanyasika vilivyo. Ukitaka...
  5. IST ya bei nafuu inahitajika

    Habari wakuu, inahitajika gari aina ya Toyota IST iliyo katika hali nzuri na tayari kwa kazi. 🐒Iwe Dar au jirani na Dar 🐒Isiwe imerudiwa rangi au kufunguliwa engine 🐒BEI ISIZIDI 7M 🐒Nitapenda niuziwe na mwenye gari, iwapo utakua ni dalali basi hakikisha umemalizana na boss wako na uwe unaijua...
  6. M

    Nahitaji NGO ya kushirikiana nayo miradi ya maswala ya afya

    Habari JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mradi wa afya umebuniwa na kampuni ya kitanzania, ila utekelezaji wake ni lazima upitie shirika au asasi ya kijamii. Hivyo naomba mtu anayemiliki NGO au anafanya kazi kwenye NGO au ni mjumbe wa NGO au una mahusiano na NGO yoyote, inayoweza...
  7. Cable ya kutoka katika IP board kwenda katika scan board pana pamoja na cable ya kutoka scan board kwenda ADF ya IR 2520 machine inahitajika

    Nawasalimu nyote kila mmoja kwa nafasi yake , kama nilivyoeleza hapo juu , kwa yeyote anaweza kupata hizo cable za photocopy machine IR 2520 -cable ya kutoka kwenye IP board kenda katika scan board pana na cable ya kutoka scan board kwenda ADF. Nipo Dar maeneo ya posta -0753390827
  8. Mitambo ya ujenzi wa bara bara ya kukodisha inahitajika

    Madibira AMCOS inahitaji mitambo ya ujenzi wa bara bara. Mitambo hiyo ni excavator, tipa, boza, rola(sindilia) na greda. Mkodishaji awe na uwezo Wa kutoa risit za EFD na awe na leseni ya biashara. Kwa kampuni, taasisi au mtu binafsi anaemiliki mitambo ya kukodisha aandike barua na kuituma...
  9. Quad Bike inahitajika

    Habari ndugu wana jf, Nahitaji Quad Bike bajeti yangu 2M-2.5M iwe na cc 250 na kuendelea pia iwe manual
  10. Team kali inahitajika kwa Kampuni ya Media

    Hio Kampuni ya Media ambayo iko integrated kwa mambo ya tourism, ilibidi niiisimamishe kwa muda kwa sababu vijana waliokuwepo walikuwa waswahili, wavivu, na wasiojituma. Ili kuirudisha tena, nahitaji Vijana Wachapa Kazi sana. Kila mfanyakazi ni lazima ajue English vizuri kwa kunyooka sababu...
  11. B

    Ramani ndogo ya nyumba inahitajika

    Vyumba viwili, kimoja master Dinning, sitting, jiko na public toilet Simu 0712464478
  12. P

    Uchumi wa watu unaokufa. Je, inahitajika kuusisimua kwa kuwaongeza watu kodi ili kuusimamisha tena?

    Kwanza nikiri kabisa kabla, mimi sio mchumi. Kwa sauti nyingi za viongozi wetu, ni uchumi umeshuka na kunahitajika jitiahada ili kuurudisha katika sehemu yake Swali langu ni moja tu, Njia inayoitumia serikali kuweza kurudisha uchumi unaokufa ni sahihi au ndio inaudidimiza zaidi? Mimi...
  13. I

    Hali ni mbaya, kazi yoyote inahitajika

    Ndugu zangu msinichoke bado sijapata ajira. Nilisoma IT lakini ninaweza kufanya kazi yoyote. Kama una duka au biashara naomba uniamini nije nifanye kazi yako kwa ufanisi. Napatikana Dar es salaam. Hata wale wenye vibanda sabasaba kama unahitaji kibarua, nipo.
  14. Katiba mpya inahitajika ili tupate maendeleo ya kweli

    Katiba mpya inahitajika ili tupate maendeleo ya kweli.. Katiba katiba Tunataka maendeleo ya sayansi na teknolojia sio maendeleo ya kubahatisha. Katiba inahitajika ili kuweka mambo sawa. Dunia inaongozwa na wasomi na ndio maana ina maendeleo. Leo kuna ndege, meli, umeme, kuna magari...
  15. S

    Inahitajika damu mpya, kupangua ni yayo kwa yayo

    Anayoyafanya Rais Samia ni kupangua na sio kupanga safu mpya, inasemwa ni maji ya futi kwa nyayo, kuna viongozi waljijibebea umaarufu sio kwa uongozi bora bali kwa uongozi uliojaa magube na usio na busara, wala haihitajiki tochi sifa zao zilikuwa zinavuma, maana kufika kuwatia na kuwachapa...
  16. Pikipiki mpya ya TVS inahitajika

    Salaam wakuu, Pikipiki aina ya TVS mpya inahitajika kwa Dar es Salaam soon as possible. Msaada wenu please.
  17. Hivi Tanzania kufuga farasi inahitajika kuwa na kibali?

    Hivi mtu akitaka kufuga farasi anahitaji kibali au tu unafuga tu kama unavyofuga mbuzi?
  18. Gari inahitajika (Forester, Voltz, Xtrial, Vanguard au Alex) offer yangu Million 8

    Natafuta Gari aina zilizo tajwa hapo juu.(Gari inahitajika (Forester, Voltz, Xtrial, Vanguard au Alex) Offer yangu Million 8.) Gari iwe nzuri haijawahi kupata ajali na iwe kwenye hali nzuri). Of course fundi wangu atakagua gari vizuri kabla ya kufikia muafaka. Napendelea rangi hizi (black...
  19. S

    Wafuasi wa Tanu kama mpo -- TANU inahitajika kuliko wakati wowote ule

    naamini wafuasi wa TANU wapo na wanakiunga mkono chama chao,huu ni wakati muafaka kuanzisha au tuseme kukifufua chama chetu kilichopigania na kutupigani Uhuru hadi tukakomboka. Sisi sote tumegomboka vyama vilivyopo sasa vimeitupa historia yetu ya nchi hii na sasa inaonekana wazi Tanzania...
  20. Engine Ya Subaru inahitajika

    Natafuta Engine ya Subaru. Aina ya subaru ni; "Subaru cross sport SG5 turbo" Mwenye Yuko na store ya vipuri vya magari tuwasiliane...nimtembelee ofisini kwake. Nipo dar es salaam +255784355775
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…