Niliona Tangu round ya Kwanza, Mwakinyo aliteleza, nikajiuliza inawekanaje avae viatu vinavyoteleza Tena Kwa big match kama hii? Same thing happened kwa round ya pili na ya tatu. Kumbe walijenga mazingira ya kumpotezea bag lake la vifaa vya mchezo na Hivyo last minute kupewa viatu vingine, pili...