Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Nyumbu, wengine mshakusa wazee basi jitahidini kidogo kuact your ages!!
Sema mheshimiwa, Zanzibar imechangia nini kwenye pato la Taifa?Mchango ni nini?
Kuna aina na njia ngapi za michango?
Taifa ni nini?
Nyumbu, wengine mshakusa wazee basi jitahidini kidogo kuact your ages!!
InasikitishaZenji ni kama kupe tu, kazi yao kushinda kwenye mwili wa ng'ombe kunywa damu.
Zanzibar ni kupe, na hivi wanavyoibagaza, wanavyoinyung'unya na wanavyoibananga Tanganyika dah....! Ma-CCM hayana uzalendo kabisa.
Mtu wa kulaaniwa kabisa ni Nyerere. Full stopZanzibar ni kupe, na hivi wanavyoibagaza, wanavyoinyung'unya na wanavyoibananga Tanganyika dah....! Ma-CCM hayana uzalendo kabisa.
Alituuza sana, alituuza kwa bei ya jioni sasa tumekuwa watumwa.Mtu wa kulaaniwa kabisa ni Nyerere. Full stop
Shida ni Nyerere
Nyerere ndio kalifikisha taifa letu hapa. Nyerere kaleta mwenge ambao hauna faida yoyote kwa taifa, eti anawasadikisha Watanganyika kwamba mwenge unaleta amani, umoja, mshikamano na maendeleo. CCM imepasuka pasuka, mbona huo mwenge umeshindwa kuwaunganisha?Shida ni Nyerere
InaumizaAlituuza sana, alituuza kwa bei ya jioni sasa tumekuwa watumwa.
Nyerere ndio kalifikisha taifa letu hapa. Nyerere kaleta mwenge ambao hauna faida yoyote kwa taifa, eti anawasadikisha Watanganyika kwamba mwenge unaleta amani, umoja, mshikamano na maendeleo. CCM imepasuka pasuka, mbona huo mwenge umeshindwa kuwaunganisha?
Fungua Isaya 50:11yule mzee alikuwa mshirikina sana. Ameiua Tanganyika na kuiletea Tanzania giza la kudumu
“Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.Fungua Isaya 50:11
Chanzo cha huzuni nchini no mbegu aliyoipanda Nyerere. Bila Nyerere samuya asingekalia nchi“Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
”
— Isaya 50:11 (Biblia Takatifu)
yule ndiye adui namba moja wa Taifa hili.Chanzo cha huzuni nchini no mbegu aliyoipanda Nyerere. Bila Nyerere samuya asingekalia nchi
Hakikayule ndiye adui namba moja wa Taifa hili.