Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Pato la Morogoro sawa na Burundi! Kuna warundi wengi sana Morogoro wanajifanya Waha wanashushwa usiku porini huko na treni ya mizigo wanaanza vibarua mwisho wa siku ni waha😂🤣

Zanzibar ni nchi huru.
Ushawahi fika Zanzibar lo???