Asia wenyewe wanasoma vipi mkuu naomba nielekeze. Japo kwa ufupiIko tofauti
Nyani watabaki kuwa nyani na wanadamu watabaki kuwa wanadamu kwa sisi waafrika tumeishi na wanyama mbalimbali kwa miaka mingi hakuna hata kwa bahati mbaya tukaambiwa kuwa babu au bibi zetu walikuwa manyani, kutokana na elimu ya evolution Charles Darwin alipojiona anafanana na hao manyani nadhani ndiyo akaja na hiyo theory ya kuwa binadamu asili yake ni nyani.
Wazungu na Waasia sidhani kama wamewahi kukubaliana na hii theory ya kipuuzi ya Charles Darwin. Huu upuuzi tunao sisi Waafrika, tukiwemo sisi tunaoitwa Watanzania.Hiyo si historia ya mwanadamu kwa ujumla ?
Hata mi siponayo asilimia mia kabisa, ile idea ya nothing ndo si elewe kabisa, yani big bang ilitokea wapi bila spaceMimi katika vitu ambavyo nimeshindwa kuvielewa mpaka leo, ni ile theory ya kuwa dunia na ulimwengu ulianza from nothing. Ile theory ya big bang. Something came from nothing. dosho12 hii unaionaje?
Anza na dini nyelezi za kimapokeo