inauzwa

  1. Toyota Ractis (EFP) Inauzwa

    For sale Toyota Ractis (EFP) Inauzwa

    YOM: 2011 Capacity: 1300cc Automatic Petrol From Japan . TZS. 15.9m . Call: 0717 650800
    TZS15,900,000.00
  2. Kitomai

    INAUZWA HARAKA UPANGA!

    *🏢 Apartment moja ya vyumba 3 kwa TZS 350,000,000 * 🔑 Vipengele Vikuu: IPO KATIKA UBORA: ipo katika jengo lenye swimming pool, gym, lift, na genereta Mauzo ya Kibenki: inauzwa moja kwa moja na benki kwa uhakika wa usalama wa miamala. 📞 Mawasiliano ya Haraka: Piga simu kwa namba: 0784 225...
  3. stabilityman

    Nyumba inauzwa chanika mil 22

    Nyumba inauzwa chanika mwisho senta milion 22, (imeshuka bei njoo hata na nusu anapokea maana ana shida) ina viumba v2 kimoja masta sebule jiko na pablic toile. Full tiles and gypsum umeme tayari. Bei inapungua njoo site Kutoka chanikamwisho hadi kwenye nyumba dk5 kwa mguu Call 0743257669
  4. K

    SR 40 NOAH ..AWD DRIVE INAUZWA BEI 11M GARI HAINA CHANGAMOTO YEYOTE

    Nauza noah SR 40 Automatic gear bei 10.5M haipungui . Gari ipo Dar es salaam Ilala/Kigamboni. ukitaka kuiona ni muda wowote Gari haina changamoto yeyete na haijawahi tumika kwenye biashara zaid ya matumizi ya kifamilia tu. ukihitaji njoo PM
  5. Say my name

    Iphone 7 plain inauzwa

    Iphone 7 plain yenye storage ya 32GB battery health ya 100% iko in excellent conditions pia..bei ni 180k fixed! na napatikana Dodoma mjini, kwa mawasiliano zaidi 0653963998, karibuni sana
  6. Andazi

    Computer4Sale PC 8GB ram 500GB hhd inauzwa

    Pc hiyo hapo haina kipengele nimeitumia mwaka tu bei ni laki 2 na hamsini, mwisho laki 2 SISHUKI ZAIDII YA HAPO NJOO PM
  7. J

    Suzuki Carry New Model inauzwa 14.5M

    Suzuki Carry New Model 4WD Reg: EAA Year: 2016 Engine: 650cc Mileage: 76,862km Gari bado jipya halina kipengele hata kimoja Gari linabodi tayari kama linavyoonekana kwenye picha Bei: 14.5M Call: 0746191267
  8. R

    Nyumba inauzwa Bahari Beach

    Nyumba Inauzwa Bahari Beach, Dar es Salaam. Mahali: Br. Simba, Mtaa wa Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara ya ununio. *Ina Vyumba vitano vya kulala(vyote ni master). *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Milioni 900. Mazungumzo...
  9. M

    Car4Sale Toyota Ractis (EFP) Inauzwa

    This thread is for the general discussion of the classified ad Toyota Ractis (EFP) Inauzwa. Please add to the discussion here.
  10. Jerry magere

    Car4Sale 2014 MAZDA CX-5 ( Model - XD L PACKAGE) inauzwa

    Mileage: 62,163 Engine Size: 2,180cc Ext. Color: Pearl White Fuel: Diesel Price: 32,500,000 + Registration.
  11. Rasta majumba

    House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Beach bei 650000$

    650k USD Maongezi yapo tuwasiliane 0769619500 rasta majumba Mita 600 kutoka beach Ipo wa mtaa wa pili kutoka mwai kibaki road Ukiwa gorofa ya kwanza unaona bahari
  12. K

    COMPRESSOR INAUZWA TSH 600,000-80Ltrs

    Compressor inauzwa, Bei ni 600,000, kampuni ya Australia (PILOT) Piga simu: 0697175082-serious buyers only.
  13. R

    Nyumba inauzwa Goba

    Eneo lenye nyumba iliyofikia umaliziaji inauzwa Goba, Dar. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Eneo: *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli. *Ina Vyumba vitatu vya kulala, chumba...
  14. Mafyangula

    INAUZWA Youtube Channeli inauzwa. Imekidhi vigezo muhimu

    Habari! Kuna Youtube Chaneli inauzwa. Inasubscribe 14700, ipo kwenye malipo na imetoa pesa mara 3 hadi sasa. Bei yake ni 3,300,000. Kama unahitaji basi Unaweza nicheki PM kwa mawasiliano zaidi! Asanteni!
  15. W

    Boda boda Boxer iliyotumika inauzwa 1.3M

    Boda boda use inauzwa , bei ni 1.3M. Boxe BM , inamarekebisho yatahitajika kama laki 4. Ipo Dar es salaam , kitunda. Namba ya simu/ whatsapp 0754200363
  16. maurice99

    House4Sale NYUMBA INAUZWA TANGA

    Nyumba ipo Pongwe Tanga * Rooms 3 kimoja master *Sebule *Dinning *Open Kitchen *Public Toilet
  17. E

    Car4Sale Hiace inauzwa, maongezi yapo

    Hiace Inauzwa milioni 30 ( Maongezi Yapo ) Piga : 0614502969
  18. Fortilo

    Maabara ya kisasa mpya kabisa inauzwa

    Wakuu, Nina ndugu yangu ana maabara yake ya kisasa kabisa anauza vitu vya ndani, vyote kama ilivyo, yani ni kuchukua na kuhamisha kila kitu, yeye amehamishwa kikazi. 1. Centrifuge 2. Water Bath 3. Microscope 4. HB Machine 5. BP Machine 6.Weighing Scale 7.Blood collection tubes 8.Autoclave...
  19. Bosspraise

    Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa Madale Flamingo

    Modern house for sale Madale flamingo 3 bedrooms house Area sqm. 600 Price 170 millions tsh Tittle deed availble 0742 892 195
  20. M

    Car4Sale Gari Toyota Surf Inauzwa

    Gari: Toyota hilux surf Mahali: Morogoro mjini Bei ya kuanzia: Maeleweno yapo japo bei ya kuanzia ni Milioni 8 Gari lipo katika hali nzuri na linatembea lsipokuwa lina changamoto ya Cylinder head.Kama kuna yeyote yeyote yuko interested tunaweza kuwasiloana PM
Back
Top Bottom