Nauza TV stand set ambayo ina coffee table yake, ila cofee table yake imevunjika kioo cha juu tu, ni kukibadili tuu, kwahivyo nauza kwa bei nafuu, nitafte kama uko interested :
0684101707
Niko tabata kinyerezi.
Habari zenu
Canon zoom lens 18mm-55mm lens f3.5-5.6 Inauzwa. Ni mpya haijatumika maana kwenye kamera yangu baada ya kununua nili switch kwenda kwenye prime lens
Bei sh 250,000.
Hii inatumika kupiga picha na kushuti video. Inakaa kwenye camera canon 500D,550D, 600D Hadi 800D. Hata kwenye Nikon...
Nyumba Goba niwe nne Njia panda ya Tegeta A. Ukubwa wa eneo 550 square meter
vyumba vinne, viwili master, sebule na jiko
Tank la Maji na kisima cha Maji ya akiba, Mita 400 toka barabara ya Lami
Bei 230M mazungumzo yapo
Hatimiliki ipo
Mawasiliano 0737148766
Karibuni
Kuna mashamba matatu ya miti ya Mbao jamii ya pines ( pinus patulla), miti ina umri wa miaka 12 na 13. Miti hii iko kijiji cha Chogo Mufindi, ni 100km toka Mafinga kwa njia ya Ibwanzi, au 120km toka Iringa/Mafinga. Bei ya kila eka moja ni Tsh 1,200,000/. Mashamba yanafikika kirahisi.
Shamba la...
Kifaa cha kubadilisha lugha kinachotumia mfumo wa AI kinabadilisha lugha yoyote kwenda kwenye lugha yako mtu anapoongea vinatumika kwenye mikutano ya kimataifa kwa viongozi, wafanyabiashara, n.k
Wanaofahamu wanajua umuhimu wake kama unaitaji nichek 0686210608 au 0748474936
Habari, nauza nyumba na Mimi ndio mhusika,ipo Tanga mjini,Kange Area block D.
Nyumba ina vyumba vitatu, viwili ni self contained na cha 3 ni master bedroom,ina varandq(sitting kubwa) dinning na kitchen.
Niliweka magrili na wiring baada ya ujenzi,ujenzi ulizingatia uimara kwa kuweka msingi wa...
Kama ilivyo humu jamii forum kuna Matajiri Sasa mimi kama dalali mzoefu
Kuna ndinga mpya imeingia Jana aina ya Tesla inauzwa nafikiri mnajua hii gari sio Kwa ajili ya masikini
Nimetoa tahadhari mapema usije ukajua IST narudia tena ni Tesla ya tajiri Elon mask sio Kwa ajili ya watu njaa njaa
Tangu itoke dukani Ina miezi minne. Na imekuwa ikitumika nyumbani.
Haina hata mkwaruzo.
Haina kipengere chochote.
Ni milango miwili,
Inapooza na kugandisha
Bei 300,000
Contact : 0785214599
( Dar es salaam - Kigogo round about )
ENEO LINAFAA KWA APARTMENT AU MAKAZI BINAFSI
LIPO SINZA A KARIBU NA APARTMENT ZA DELINA NA KITAMBAA CHEUPE
ENEO NI SQM 356
ENEO LINA HATI PAZURI SANA KI BIASHARA
CALL 0658124288 , Kwa ajili ya kwenda kupaona na maongezi
BEI : Mil 190 na maongezi yapo kidogo .
Subwoofer mpya aina ya ALITOP inauzwa na imetumika wiki mbili tu tangu itoke dukani
Haina tatizo la aina yoyote ila nimepata dharula ndio maana nimeiweka sokoni
Subwoofer hii ni size ya kati siku kubwa sana wala sio vile vidogo hapana, ina mziki mkubwa tu na inatosha kwa matumizi ya nyumbani...
**
Nyumba inauzwa katika eneo la Ukonga, Dar es Salaam.
Ukubwa wa Kiwanja: 885 mita za mraba
Hati: Kiwanja kimepimwa na kina hati miliki
Vyumba: Ina vyumba vinne vya kulala, jiko, na sebule pamoja na mahali pa kula
Ufikiaji: Nyumba inafikika kirahisi
Bei: 130mil Maelewano yapo
Kwa...
Bei ni 230k nipo dar
Problem ni hii nilinunua mwezi wa kwanza mwaka huu refub, ishu ni inapassword kwenye eufi sijui ni bios (ambayo siijui na niliponunulia warranty ni miez sita)
Ram 8GB,
Ssd 128,
Battery 3hrs
Bei maelewano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.