Habari
Nauza kamera tajwa hapo juu. Iko katika very good condition. Nilikuwa naitumia kushuti video za kitchen parties nilizokuwa naandaa. Haijatumika muda mrefu nimenunua ya juu yake ambayo ina flip screen, kwahiyo hii nayoiuza Sina matumizi nayo. Bei sh. 680,000. Inakuja na:
-Lens hood...
Toyota Corolla One Eleven 111
colour white
cc1394
Engen 4E
Bei Tsh 6M (Maongezi yapo kidogo)
Location- Bunju, Dar es Salaam
Fully Document
Gari ni Manual
Injini safi ni kuwasha na kuondoka
Piga Simu 0684129792
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Jana pasipo bahati maeneo ya posta clock tower mtaa wa indira gandi nimeigonga crown Athlete upande wa kulia taa ya nyuma. nilikua nina canter na gari imepaki karibu na kona hivyo tairi ya nyuma ikaigonga lensi ya taa hiyo wakati nakata kona.
Taa ni nzima na...
Nyumba yenye kiwanja kikubwa inauzwa Tegeta kama ifuatavyo;
1. Nyumba in vyumba vitano
Vitatu vipo juu, kimoja ni master na viwili vipo chini na public toilet, sitting, kitchen and dining. Ipo mita 100 toka barabara ya Bagamoyo.
2. Kiwanja ni 4303 sq meter
3. Ina hati miliki.
4. Bei 900m...
Habari
Laptop kali sana hii ni mpya kabisa,inakaa na charger siku 2 kutegemeana na matumizi yako, hii inafaa kwa wale wa video production,graphic,music production na ma engineer woe wa mijengo
Specification zake hizi hapa
Processor:- 12th gen intel (R)core (TM) i7-1255u 1.70 ghz
Ram:- 8.00 GB...
NYUMBA YA KISASA(HEKALU) INAUZWA.
Location : Goba
TAARIFA ZA NYUMBA
1) GOROFA YA JUU
--- V.I.P Masterbedroom yenye ukubwa wa 30sqm na imezungukwa na balcon upande wa kulia, kushoto na upande wa kichwa.
---GYM yenye CHUMBA na CHOO ndani yake.Ukiwa unatoka nje ya Gym kuna balcon nyingine...
HABARI JAMII FORUM
--Gari aina ya Isuzu Journey inauzwa na Benki kwa njia ya Mnada.
--Sababu ya kuuza ni, mdaiwa ameshindwa kurudisha mkopo katika muda aliopangiwa hivyo mali zake zimekamatwa zinauzwa kufidia deni.
-MAWASILIANO: 0679781081 (Simu/sms), 0784379396 ( Whatsaap only)
-Email...
Library ya movies za kutafsiriwa na zisizotafsiriwa inauzwa ipo mabibo NIT chuo cha usafirishaji, library ipo barabarani kabisa, unaweza kukaa mwenyewe au unatafuta kijana ukamuweka kuingiza 30,000 mpaka 45,000 kwa siku ni jambo la kawaida mnoo, office ni banda la mbao nzuri ujihitaji nitafute...
Hekari 1.5 inauzwa kiluvya gogoni milion 250 ipo mita 400 kutoka lami Morogoro road
■Huduma zote za kijamii zipo kama umeme na maji
■Kuna kiwanda cha tofari kinafanya kazi hapo
■Hati ya mauziano ni hati ya wizara title deed
■Panafaa kwa apartment nyumba za kupangisha au lodge na hotel
0675...
Habarini Wakuu.
Mashine ziko Chanika mwisho. Bei ni 13 Million maelewano yapo kidogo, zinatoka zote kwa pamoja. Unapewa Mizani pamoja na mashine ya kufungia mifuko. Naomba kama kuna mdau anahitaji. Anicheki kwenye namba hii 0713888700 au +255620249437
KUSAGA HP 40
KUKOBOA HP 30
Nyumba inauzwa ipo madale mil 70, Kwa Kawawa,
Ipo umbali wa km 1 kutoka barabara lami,
Kiwanja kina Sam 650 na kimeshawekwa bikoni,
Nyumba ina vyumba 3 vya kulala 1 master na public toilet 1, sitting room1, dining room 1 na jiko 1
0656077998
Nyumba ipo umbali wa km 1 kutokea Goba centre, ina kiwanja chenye ukubwa wa sqm 462, nyumba ina vyumba 3 vya kulala, sebule 1, dining jiko stoo na vyoo 2
0656077998
Inauzwa 90mil
Natumaini mko poa. Mimi nauza CPU yenye jina Dell Omniplex 780 Intel cup duo 3.06 GHZ, 6.0 GB RAM na HDD 210. Hii ilikuwa inatumika ofisini
Bei sh 150,000
Imerumika miezi kadhaa tu
Piga hii namba 0769308197. Hii alikuwa anatumia mume wangu. Ameniambia nimsaidia kuuza kwa niaba yake.
Hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.