inauzwa

  1. Flexi lady

    House4Sale Nyumba inauzwa Chanika

    Nyumba iko Chanika, Talian. Ina vyumba vitatu tayari vimesimama, sebule na dining bado. Msingi umeinuliwa wote. Karibu bei ni kitongq inaanzia milion 10 tu. Mwenyewe anarudisha gharama tu za ujenzi ana shida.
  2. B

    Hostel ya vyumba 12 inauzwa tanga mjini million 55

    Hostel ya vyumba 12 ndani ya kiwanja cha sqm 412 inauzwa million 55 hostel ipo kange kasera karibu na chuo cha utumishi tanga. Kwa mawasiliano 0612630936 Attachments
  3. Jephta2003

    Phone4Sale Samsung A90 inauzwa

    Nakaa Dar nauza simu Samsung A90 ina Ram 6gb,Rom 128gb,Battery 5000ma kwa Tsh 350,000/ Nicheck kwa 0693141058
  4. 90sgeneration

    RECEPTION TABLE INAUZWA

    ipo tabata segelea 185k 0697224996
  5. 90sgeneration

    INAUZWA Printer inauzwa

    HP Deskjet 2835 Inatumia Wino huu Cartridge 652 Haina wino Bei ni 190k tu Upanga Contact: 0697224996
  6. AY 5225

    House4Sale Nyumba inauzwa, ipo Michamvi, Zanzibar

    Location: Michamvi, Unguja, Zanzibar karibu na Karafuu Hotel Price: 33,000,000/= Tshs Contact: +255742004658 (WhatsApp only) •Ina vyumba viwili na vyote ni self-contained •Sebule •Dining room •Jiko •Kifusi ndani kishajazwa •Shimo la choo tayari limechimbwa
  7. Aerma

    Pocket projector inauzwa kwa bei ya kutupwa

    Product name: Pocket projector pro Price: 150,000 tsh Location: Dar Es Salaam Contact : 0719452361 Zimebaki piece 2 tu. Ni mpya kabisa
  8. 90sgeneration

    Phone4Sale Samsung A14 128GB inauzwa

    Samsung A14 128gb Used kama mpya Haina tatizo lolote Bei 275000 Location:ukonga banana Bei haipungui 0697224996 karibu🙏
  9. The bump

    INAUZWA iPhone 13 PRO inauzwa 128 GB

    SOLD OUT SOLD OUT SOLD OUT
  10. Saad30

    Car4Sale Gari kali - BMW 320I 3 series linauzwa

    BMW 320I 3 series YEAR: 2014 Cc: 1,990 MILLEAGE: 64k COLOUR: BROWN PRICE: 36M plus free regstration Cream interior, sports and economy drive, 8 gears change,automatic and manual drive, angel eyes, fog lights, sports rims, back camera, rotating seats, dvd players car in super mint condition...
  11. Troubleshooter

    INAUZWA Printer, copier inauzwa RICOH mp 2852

    Ina uwezo mkubwa wa kuprinti black and white, A4 na A3, dual printing, photocopy machine with good quality of image. Bei ni milioni 1.2 maongezi yapo na punguzo lipo.
  12. officialbryteskylinks

    Car4Sale BMW X3 inauzwa (EEU)

    BMW X3 - 348 -EEU Price: 21M 0787308831 Mileage: 50,600+ kms Color: Silver Year : 2006 Engine Cc: 2490 Sunroof Sport Rims Leather seats Low milleage Ambient light Very clean Condition
  13. Druggist

    House4Sale Nyumba Inauzwa Nzega-Tabora

    Nyumba Inauzwa Nzega.Bei-35m Ina Vyumba 2 (Kimoja Master), Sebure,Jiko,store ndogo.Ina Umeme na Maji ya Mamlaka ya Nzega (Nzuwasa).Pia kuna Kisima cha Kuhifadhi Maji ya Mvua cha Lita 15,000.Uwanja una Ujazo wa Meta za Mraba 1027,umepimwa. Nyumba IPO Meta 150 toka Rami,Mita 600 toka Stendi kuu ya...
  14. Sonship

    House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Kibanda cha mkaa

    Nyumba inauzwa mbezi kibanda cha mkaa Nyumba ina vyumba vitatu,kimoja self Ina sitting& dinning room Ina kitchen na Public toilet Nyumba imeisha bado kufanya finishing tu kama utakavyohitaji wewe Bei mln 30 maongezi yapo Ipo umbali wa km 2 kutoka barabara ya morogoro road Eneo la kiwanja ni mita...
  15. CONTROLA

    Mitungi Empty ya GAS 300 inauzwa Kampuni Mihan/Taifa

    Kwa wafanyabiashara wakubwa wa GAS kuna mitungi inauzwa ipo 300 cylinder zisizo na gas. Mtungi mmoja bei (Bila Usafiri) 14,000. Kampuni iliyopo ni Taifa/Mihan Gas... Anahitajika Mfanyabiashara atakaeweza inunua kwa pamoja mitungi yote 300 na sio 200 wala 250 wala 270 bali ni yote 300. Bei...
  16. B

    Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    Altezza inauzwa million 5, Dar es Salaam… mwaka wa kufosi huu lazma uwe na ndinga yako. Kwa mawasiliano 0612630936
  17. Sonship

    House4Sale Nyumba inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba inauzwa kimara Temboni. Bei milioni 30 tu. Vyumba vitatu kimoja master Sebule jiko na choo cha public. Ukubwa wa eneo mita 20 kwa 20 Ukishainunua una malizia kufanya finishing tu Ina hati ya mauziano serikali ya mtaa. Umball kutoka barabara kuu kilomita 2.5 Gari inafika mpaka site...
  18. Sonship

    Nyumba inauzwa kibaha maili moja

    Nyumba ya kisasa inauzwa kibaha maili moja........ Ina vyumba vitatu kimoja self Sitting,dining,kitchen & public toilet Gypsum na tiles vyumba vyote Bei mln 46 tu Document:Sales agreement 0675 065906 Iko mtaa nzuri umeme na maji yapo
  19. A

    Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    SOLD....
  20. Sonship

    House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha Msufini

    NYUMBA (BINAFSI) NZURI IMEJENGWA KISASA INAUZWA MSUFINI MLANDIZI. IKO KWENYE CORNER PLOT, NI KILOMITA 1 TU TOKA MAIN ROAD LOC : KIBAHA KARIBU NA MSUFINI MLANDIZI AREA :SQM 534 PRICE : MIL 38 UMILIKI :HATI SIFA:- -INA VYUMBA 3, MASTER 1 -SITTING ROOM -DINNING -JIKO KUBWA NA STORE -CHOO CHA...
Back
Top Bottom