Hiace inauzwa milion 17 njoo na fundi wako ukague Engine 3L standard ipo katika hali nzuri inafanya kazi. Gari bado ipo kwenye hali nzuri. Kwa mawasiliano zaidi na maulizo piga 0735266326. Haina udalali kila kitu kipo safi.
0735266326
Toyota Noah Namba T.169 DGH inauzwa. Ipo Dar es Salaam
Ni 4 Wheel Drive
Ya Mwaka 1996
Imetembea KM 276,907
Bei Tsh.9,100,000
Mhitaji anakaribishwa namba 0765451014
Asanteni
Ondoka na hii Toyota Rumion 2007
✅CC 1490
✅2WD
✅Black Mettalic
✅ Automatic
✅Utumiaji wa Mafuta 16.2km/l
✅Bima bure(Third party)
✅BEI:17M Pamoja na usajili
LIPA 5M Gari ikifika malizia ama lipa nusu gharama nyingine lipa kidokidogo kwa mwaka mzima(mkopo) Ipo #MillesMotors Sinza Mori...
Habari wanajf na wafanyabiashara, Motor hii ilikuwa inatumika kwenye Mashine ya Tofali Mixer yenye ukubwa wa 20hp bei ni Tsh 3mil ni Standard ya German.
Salaam wakuu,
Nauza gari aina ya Pajero GDI.
Ya mwaka 2002.
Rangi ni nyeusi.
Namba B.
Cc 1500.
Bei 5 million.
Gari ni yangu mimi mwenyewe na haina tatizo lolote.
Karibuni.
Bajaj ya mizigo inauzwa. Milioni 3 tu
kampuni wanhoo
Nzima na iko kijiweni mpaka sasa inapiga kazi
Eneo: Mwanza Ndama/igoma
Piga simu; 0713096076
Nje ya mada:
Chukua tahadhari, usitumie hasira kufanya maamuzi. Risasi saba sio suluhu ya matatizo
Salon kali ya kiume inauzwa kwa bei ambayo ni sawa na bure. Salon ipo Mbeya mjini (Igawilo soko kuu) barabarani kabisa.
Salon inakila kitu ndani kama vile FLAT TV MPYA, HAIR CUT MACHINE, SALON CHAIRS, SALON WAITERS SOFA, HEATER, SUBWOOFER nk.
BEI NI SHILLING MILLION 1 NA LAKI 2 ( KODI YA...
Nauza nyumba yangu iliyopo mkoani Morogoro. Mimi ndio mmiliki wa hiyo nyumba.
Ukubwa wa kiwanja ni 1500qm.
Nyumba ni ya ghorofa.
Vyumba vitano (vinne ni master bedroom)
Dinning na kitchen ni open plan
Sitting room
Public toilet.
Kuna garage na chumba vimeunganishawa inaweza kuwa kama servant...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.