Ipo Kibaha kwa Mfipa, ni kama 5 toka barabara kubwa inauzwa ml 90. Huduma ya maji na umeme vipo karibu, ina kisima cha maji pia, nyumba kubwa ya vyumba 3 na master. Pia kuna nyumba ndogo yenye vyumba vinne na yapo mabanda ya kufuga makubwa matatu, unaweza kufuga kuku, ng'ombe, mbuzi n.k, vyote...
Habari wanajukwaa. Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Nauza PC ya Aina ya hp. Ni ya kwangu niliinunua dukani sema receipt nime replace. Ukiihitaji tutaandikiana kwa mwenyeketi wa mtaa ama polisi uwe na amani.
Ina materials Kama yote na programs na softwares za Civil Engineering. Haina movie...
Ni kweli na wala sio utani!
Ni Laptop aina ya Dell Inspiron N5040.
UWEZO.
1. Processor~ Core i3 @2.5 GHz.
2. Ram 4Gb.
3. Hard drive 500 Gb.
4. Betri 4 Hour's
Bei Tsh 400,000/=
Mawaliano:- 0622 901670
Location:- Kariakoo~ Dar es Salaam.
Ushindwe wewe tu mwaisa.
NB: Hizo picha hazina filter...
Kampuni ya HARD DISK ni SEAGATE,
Size: 8TB
Price: 250,000
Contacts: kwa muhitaji tuchekiane PM
Location: DAR - M/CITY
HARD DISK lazima utest ujiridhishe na size ya DISK ndipo utoe pesa yako,Popote ndani ya Dar biashara inafanyika (kwa gharama zako mnunuzi) ukihitaji uletewe hata...
Nyumba ina mwonekano wa kuvutia wa ndani na nje. Ina vyumba vine vya kulala vinachojitoshereza, subure kubwa, jiko la kisasa na mahali pa kula ( Dinning area).
Bei 500mil na inaongeleka. Kuiona piga simu au tuma ujumbe kwa whatsapp tupange muda muafaka wa kuiona…0784225000 au email...
Habari nauza toyota Passo
Maelezo :
Toyota passo
Cc 990
Piston 3
Rangi Pearl
New tyres
Full ac
Iko kwenye hali nzuri kabisa ,Haina changamoto yeyote ,
Price : 6M
MAWASILIANO: 0754200363
Wahi chap
Hp laptop inauzwa. Laptop imetumika lakini bado ipo kwenye hali nzuri sana.
-> Kioo kina ukubwa wa inchi 15.6
-> RAM ni 4GB
-> Hard disk yake ni 500GB
-> CPU ni duo core ya 1.6Ghz
-> Kipengele chake ni betri tu (betri imekufa lakini inapiga kazi freshi ikichomekwa waya wa kuchajia)
->Bei...
Hp laptop inauzwa. Laptop imetumika lakini bado ipo kwenye hali nzuri sana.
-> Kioo kina ukubwa wa inchi 15
-> RAM ni 4GB
-> Hard disk yake ni 500GB
-> CPU ni duo core ya 1.6Ghz
-> Kipengele chake ni betri tu (betri imekufa lakini inapiga kazi freshi ikichomekwa waya wa kuchajia)
Kwa mawasiliano...
Tunauza miti (mirunda) Kwa ajili ya ujenzi wa magorofa , nyumba za kawaida au matumizi mengine tuna mirunda takribani 900 PCs bei yetu ni nafuu sana
Mawasiliano. sangmelina85@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.