inauzwa

  1. Samatime Magari

    🚨 CHEKI HII: Passo inauzwa $ 240, Kama Laki Tano na Nusu tu

    Hii Laki Tano na Nusu ni kwa Pesa ya Mama Samia + usafiri kikipanda meli mpaka bandarini nauli kinalipa $1500 kama Million Tatu na Nusu, Yani nauli ni mara sita ya gharama halisi ya msafiri mwenyewe, kama ni wasee wa ku import manzi unaweza amua kukomaa na mshindi tu... . Kikifika hapo...
  2. makaveli10

    Tire/tyre mobility kit (pump ya emergency) inauzwa

    Wazee nauza tire/tyre mobility kit, hii ni pump ya kuzaja upepo kwa emergency ama hata nyumbani pia inatumia umeme wa gari, unachomeka kwenye kibiriti pale, mambo mswano. Nimetestia kujazia tairi ya nissan xtrail na ikajaza 30psi ila gauge inaruhusu mpaka 90psi Ndani ya kit unapata/unakuta. 1...
  3. Edwardo Ommy

    Car4Sale Gari aina ya Canter inauzwa

    Wakuu ipo gari aina ya Canter inauzwa kwa bei ya M18 ikiwa bado ni nzima kabisa..na haina udalali wowote karibuni My number. 0714 664 520
  4. Jay_255

    Computer4Sale Laptop inauzwa kwa bei ya kutupa

    HP Notebook 15s core i7 Ina ram 4gb ssd 512 intel iris graphics card 4gb battery masaa 6 na kuendelea ipo clean haina tatzo lolote Bei 850,000 Ipo Dar es Salaam Mawasiliano 0782 780980
  5. Jay_255

    Land cruiser inauzwa bei ya kutupa bado ipo clean kama mpya

    Toyota landcruiser 2003 Ni Manual inatumia diesel Mileage 169,000 Bei ni Milioni 28 (fixed) Ipo mikocheni dar es salaam Haihitaji dalali Mawasiliano 0782780980
  6. Bexb

    Car4Sale Crown royal namba 'DSC' inauzwa 9.5m

    Habari ya mchana waungwana, gari hii hapa haina shida yoyote ni nzima kabisa. Gari ipo Goba njia ya kwenda Madale. Bei ni 9.5 pekee. Ukitaka kuiona, kukagua na kumaliza ama picha zaidi nicheki chap 0755963775 calls/WhatsApp
  7. Z

    House4Sale Nyumba zinauzwa Kibaha

    Nyumba zinauzwa, kibaha kwa Mathias,za kibiashara kwa ajili ya wapangaji na moja inayojitegemea,ziko tatu katika sehemu moja ,ya kwanza vyumba vitatu na sebule zake inajitegemea,ya pili vyumba viwili na sebule zake,ya tatu Ina vyumba 4 kimoja master na jiko na sebule,km 2 toka morogoro road...
  8. Miss Zomboko

    INAUZWA Compressor Inauzwa Mbezi Louis

    Compressor LITA 300 Inatumia Jenereta + PETROL Horse 6 750,000🔥🔥🔥 0688986066 MBEZI-MWISHO
  9. J

    Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam

    1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road) 2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi yapo)pia hakipo mbali na barabara 3. Nyumba ya vyumba 6 Mbezi beach Goigi (dk 10 bagamoyo road)...
  10. Dr Lizzy

    Plot4Sale Plot inauzwa Bagamoyo

    IMPORTANT NOTE : Hakuna dalali! Eneo liko baada tu ya roundabout ya kuingia Bagamoyo (kituo cha daladala cha Kosovo) na ni hapo hapo barabarani. Eneo lina ukubwa wa 120 * 93 (m), kuna nyumba ya ghorofa moja (3 bedrooms/Jiko/ Ukumbi na mbele kuna frame 3 kubwa sana (6*8 m) Bei ni 450...
  11. Nyuki Mdogo

    Igoma (Mwanza): Bajaj ya abiria inauzwa bei poa

    Bajaj ya ABIRIA inauzwa. kampuni Piaggio IGOMA-MWANZA Uhakika elfu 20 kila siku Haina shida yoyote, njoo na fundi wako mkague inapiga kazi mpaka sasa njoo na 4mil uendelee na kazi Tuwasiliane 0767733555
  12. M

    Car4Sale Land Rover Discovery 3

    Land Rover Discovery 3 Inauzwa.., Gari haina tatizo lolote, Ipo katika hali nzuri sana. Model ya 2005, Automatic transmission, Milleage ni 100,000 kms. Kwa maelezo zaidi +255(0)694-206924 or +255(0)713-668656 Bei; Tsh. 58M (inazungumzika) Selling Land Rover Discovery 3.., The Car is in perfect...
  13. Peter_John

    INAUZWA Usb port 4 in one inauzwa

    Habari za wakati huu wamachama wote wa JF ,Nina uza hiki kufaa chenye usb ports 4 pamoja na waya mfupi wa type C, kifaa hiki kitakuwezesha kuchaji simu tano kwa wakati mmja endapo uta connect usb wires kwenye hizo ubs ports. Nakiuza sh elf Saba tu (7k). Nipo dar, ahsante
  14. Mpinzire

    Computer4Sale HP Laptop 14 7 Genaration inauzwa

    Sina maelezo mengi ila dili na Specifications Hp Laptop 14 Processor Intel(R) Core i3-7020U CPU @2.30GHz (4CPUs) 7th Generation Memory 4GB Storage 256 GB SSD Battery 🔋 5Hrs Second Hand Tsh 400,000/= kwa member wa JF tu. #0622 901670
  15. Miss Zomboko

    House4Sale Nyumba inauzwa Makabe, imejengwa mpaka kufikia kwenye Lenta

    Ukubwa wa kiwanja - 20 kwa 20 Ramani yake - Vyumba vitatu ( 1master) Sebule Dinning Jiko Stoo Bei - 15MILION🔥🔥🔥 Mahali - MBEZI-MAKABE Mawasiliano - 0688986066/0747840807
  16. C

    House4Sale Nyumba inauzwa Manzese Tiptop

    Nyumba inauzwa (lakini ni muhimu zaidi ukiwa unanunua kama kiwanja ukubwa wa eneo 20 kwa 25 sqr 450. Umbali kutoka manzese tiptop stand ni km 1. Kwa unayeijua Manzese hii sehemu ni potential kibiashara gari linafika mpaka sehemu husika ni kuna barabara ya mtaaa hata nyumba ya makazi .Bei ya hiyo...
  17. Mgalula MzTz

    Gauni ya Harusi inauzwa 140,000/=

    Price: 140,000/= Location: Mbezi kimara Cont: 0758 597106 condition: Used only once.
  18. Edwardo Ommy

    House4Sale Nyumba inauzwa mil.50

    Hiyo nyumba inauzwa ipo kimara suka ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master na jiko store public toilet na sitting room na dinning Room eneo lina ukubwa wa 25x27 Bei milioni 50
  19. EJOSMAT

    INAUZWA Drone Camera inauzwa

    Drone Camera mpya kabisa inauzwa kwa bei nafuu sana tupo Dar na tunatuma mikoa yote. wasiliana nasi kwa simu 0717040837 au 0767267664
  20. Chura

    Car4Sale Honda Crossroad inauzwa

    Gari ipo katika hali nzuri na imetunzwa kama 0Km, njoo na fundi wako uchukue mali. Contacts: 0746 931 556 Location: Mwanza Bei: 17M (Milioni kumi na saba ) tshs.
Back
Top Bottom