TV ya mtumba inchi 24 inauzwa.
*Button zake za kuwashia/kuongeza/kupunguza sauti ni za kugusa.
*HAINA REMOTE
*HAITUMII FLASH
*Bei: 150,000/- (maongezi yapo)
*Location: Kiwalani, Dar es salaam.
*WhatsApp/simu: 0656 203 045
Ni portable(14") lakini ni powerful.
-RAM 12GB
-HDD 500GB
-Processor i5 5300u
-64bit
-Windows 10 pro(Activated)
- haina tatizo lolote
Bei 380,000 tu
Location DAR
mawasiliano: 0768985321 PM kwa maelezo zaidi
Adaptor yake ni original sio ya kununuliwa dukani, pia nakupa na external mouse MPYA...
*ENEO LINAUZWA*
Eneo lenye ukubwa wa *ekari ishirini* linauzwa *Pingo, Chalinze*. Eneo linapakana na *Chuo cha Ualimu Chalinze* kwa mbele na kwa upande wa kulia ni *kiwanda kipya cha vigae cha Twyford* kinachojengwa hapo Pingo.Kama ambavyo baadhi watakuwa wanajua, kiwanda cha vigae kitaajiri...
Gari aina ya DAF XF EURO5 engine ya paccar inauzwa ipo separate kibini pamoja na chesesi, Engine inahitaji matengenezo.
TAJIRI anahitaji milioni kumi na tano(15) kwa mawasiliano piga namba +255 763 363 536, +255 683 067 976 Gari inapatikana DAR ES SALAAM, TANZANIA
Kibini ipo sawa kabisa ni...
Nimepata dharura kwahiyo nimeamua kuuza ofisi yangu ya PlayStation (Gamecentre).
Ina vitu vifuatavyo: (kila kitu kimetumika kwa mwezi mmoja)
Bei hazina maongezi (prices are fixed)
1-Sony PlayStation 2 inatoka kwa TSh 100,000 pamoja na memory card, flash, padi mbili na nyaya zote.
2-Sony...
Gari nzuri ipo mwanza mjini ni Toyota crown namba D..rangi ya silver ipo katika hali nzuri bei ni millioni 10 japo maongezi yapo..0769344686 nipigie tuzungumze.
Ni nyumba nzuri kwa ajili ya matumizi ya familia ipo jijini Mwanza, bei yake ni shilingi milioni 37 japo maongezi yapo. Wewe njoo na pesa yako tuongee, hiyo bei wala isikutishe, miliki na wewe nyumba yako jijini Mwanza.
Kwani wao waweze wana nini na wewe ushinde una nini? 0769344686
Nauza camera cover kwa ajili ya kuzuia mvua au camera kuingia maji. unaweza shoot hata ukiwa ndani ya maji, mazingira ya maji au mvua ikiwa inanyesha. .
Bei elfu 50 sawa na bure. .
Ipo gari aina ya Toyota hiace inauzwa kwa bei ya 22M na laki 3 maongezi yapo gari ipo katika hali nzima kabisa...Full a/c
Pia gari inapatikana Dar es salaam kuja na fundi hukatazwi karibu sana ndugu mteja.
Mawasiliano
0718982463.
Nauza External hard drive (Toshiba) yenye ukubwa wa GB 500
Ipo kwenye hali nzuri sana na haina tatizo la aina yoyote
Bei Ni Tshs 65,000 maongezi kdg yapo
Nipo Mbezi Stand ya Magufuli
TAYARI IMESHAUZWA
Hii pikipiki nilininunua TAR 5 mwezi wa 9 nita attach risiti ya Manunuzi.
Pikipiki sina namna naweza ielezea, "ni mpya"
Naiuza sio kwa shida hivyo mteja apatikane asipatikane yote kheri.
Sababu ya Kuiuza ni kutokana na ngekewa ambayo imenitokea bila kutarajia, sikua nimetarajia kabisa kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.