Nauza TV aina ya Hisense LED Flameless kwa bei ya Tshs 270,000
TV hii imetumika miezi 4 tu ba bado ina boksi lake.
Nicheki kwenye namba 0764368588 tufanye biashara
Napatikana Mbezi jirani kabisa na Stand ya Mabasi ya mkoani ya Magufuli Terminal
Habarii Wana jf,Nyumba ya room tatu moja Master room,sebule kubwa, public toilet,store pamoja na jiko,ina uwanja wa 15mx30m ipo misungwi mkoa wa mwanza mawasiliano +255 769 088 152.
Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi, ina vyumba vitatu kimoja master, sebule kubwa, dinning room pamoja na jiko, inauzwa kuanzia million 25. Uwanja umepimwaa na haina mgogoro wowote, karibuni sana.mawasilano +255 769 088 152
Nauza External Hard Drive aina ya Transcend yenye ukubwa wa GB 1000
Haina changamoto ya aina yoyote na ukiinunua ndio utaamini nilikua nasema kweli au natania.
MREJESHO
Imeshauzwa
Nyumba ipo Goba kwa Robert,
* Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu.
*Ina vyumba vinne vikubwa ,kila chumba kina choo chake .
*Ina Spanish tiles.
*madirisha ni pvc
*ina fence
*ina vyoo (toilets) 5 .
*umeme na maji yapo.
*uwanja wake una ukubwa wa sqm 880
Bei yake tshs. 168 million negotiable
Dalali...
Duka la vifaa vyote vya bafuni na masink ya jikon na dining bila kusahau mabomba ya maji.
Duka linapatikana Kariakoo/Gerezani mtaa wa mbaruku/Nyamwezi str,dar es salaam, Tanzania.
Mawasiliano:+255677713490 (whatsapp)
WAHI UPATE MZIGO MZURI KWA BEI NZURI[emoji1478]
Nauza TV HIsense Inch 32 LED kwa bei ya Tshs 260,000
TV imetumika miezi 4 na ina boksi lake, haijawahi kufunguliwa na fundi wa aina yeyote.
Ukinunua TV hii ni sawa tu na unenunua dukani mana bado mpya.
Napatikana Mbezi Stand ya Magufuli na namba yangu ya simu ni 0719742225.
Nicheki tufanye...
Nauza simu aina ya itel A37 kwa bei ya Tshs 70,000 tu
*Screen (5.7 Inches)
*Battery (3020 mAh)
*RAM (1.00 GB)
*Storage (16.00 GB)
*3G/2G auto
Simu iko kwenye hali nzuri sana, inakaa sana na charge na haijawahi kufunguliwa na fundi wa aina yeyote, nauza bidhaa ambayo ipo kwenye ubora na haina...
Nauza simu yangu aina ya samsung jean 2, gb 32 ina hali nzuri sana, bei laki moja na nusu (150000). Nipo iringa mjini kwa ambae yupo mkoani naweza kumtumia au anaweza kuagiza mtu ambae yupo Iringa aje kuikagua halafu namkabidhi simu.
Habari
Nauza Tablet nzuri aina ya Samsung kwa beinya kutupa, bei ni Tshs 480,000 ila maongezi kdg yapo
Tablet hii imetumika miezi mitatu tu hivyo bado ni mpya kabisa na aina mchubuko wa aina yeyote, ukiiona ndio utaamini.
Model Name: Galaxy Tab A8
Battery Capacity : 7040 mAh (Typical)
OS...
Nyumba ipo Tanga Mjini Mitaa ya kisosora
*Room 4 (Kimoja master)
*Sebule
*Jiko
*Public Toilet
*Umeme✅
*Maji✅
Bei 65 milioni mazungumzo yapo...Kwa mteja Serious piga simu 0683703076 au whatsapp 0763316426
Nauza Heka 1 Kibaha kongowe Mil.70 barabara ya zamani pana faa kwa Godown au Kiwanda, mita 100 hadi Morogoro road.
WhatsApp kama ukiitaji picha 0674223223
Hasa kwa watu wa Kanda ya Ziwa na mikoa Jirani.
Kwa mahitaji ya kuagiza magari kutoka Japan,Dubai,na UK, tuone "Rubo Motors Tanzania" magari tuagizayo ni Fuso, Canter,Hino,Isuzu,Rosa bus,Coaster,Nissan,na magari madogo ya kutembelea.
Malipo ni awamu mbili. ambayo ni malipo ya awali na malipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.