Barbershop inauzwa
Habarini ndugu wanaJamvi!
Ningependa niende moja kwa moja kwenye mada, barbershop iliyopo Goba inauzwa ikiwa na vitu vyake vyote ambavyo vinatumika barbershop ikiwemo viti maalumu vya barbershop, na vifaa vyote vya barbershop vipo
Masofa, rotating taa za nje, bango kubwa...