Habari ya weekend!
Nauza microwave ni kama mpya kabisa sababu haijatumika sana bei ni 120,000/= sababu ya kuiuza ni ninazo 2 so hii siitumii, pia ukilipia 140,000 nakupa na viti 2 vya kuzunguka(office chairs).
Karibu inbox kama hela iliyopo imepungua kidogo, naimani hatutashindwana.
Location...
NYUMBA INAUZWA
Location: Goba kwa Uromi
Ownership: Full documents
Plot capacity: 950 sq/m
No. of Room: 5 self contained rooms
---Store
---Jiko
--- Parking
--- Two seating room
--- 1 office
NYUMBA NI NZURI, HAINA KASORO
Bei ya makadirio ni 470m kwa mazungumzo na kukagua tafadhali wasiliana nasi...
Computer ya HP all in one inauzwa ina internal Storage ya SSD 2TB na EXTERNAL STORAGE ya 18TB.
Computer iko very perfect nzuri inavutia Mayai classic.
Screen Touch yenye ukubwa wa inch 27
RAM 16gb
Storage 20tb
Core i7 (8th Gen)
instaled window 11pro
Kasoro zake
Wireless keyboard yake na...
Habari JamiiForums members.
Nyumba inauzwa na benki kwa njia ya mnada. -- Nyumba ipo Mbezi, Msingwa
--Nyumba ina kiwanja chenye ukubwa wa 520sq/m-- Nyumba ina vyumba vitatu, kimoja master, seating na dyning room -- Nyumba ina hati ya ardhi-- BEI NI (10m + 5% commission ya brokers)...
OFISI YA MOVIE inauzwa ni Computer
Desktop Core i5 (4th Gen)
Brand HP
STORAGE 20TB
RAM 12GB
MONITOR 17INCH (DELL)
KEYBOARD
MOUSE
ina Movie zote za kutafsiriwa hii ilikua ni ofisi ya kumpa mtu kipato cha siku si chini ya 20,000.
ina season Zote za kiswahili pendwa za Kutafsiriwa na Ma Dj wa...
Pikipiki imenyooka kama rula, mkoa wowote ulipo inakufikia kwa kuendeshwa sio kusafirishwa.
Cc 125 powerfull boxer haijawahi fanya boda boda hata siku 1, ina mwaka katika matumizi na Km 10,000 imemwagwa oil mara 10 tu tangu inunuliwe.
Bei iko fixed, mahali ilipo GOBA
CONTACT :
0695697796...
Barbershop inauzwa
Habarini ndugu wanaJamvi!
Ningependa niende moja kwa moja kwenye mada, barbershop iliyopo Goba inauzwa ikiwa na vitu vyake vyote ambavyo vinatumika barbershop ikiwemo viti maalumu vya barbershop, na vifaa vyote vya barbershop vipo
Masofa, rotating taa za nje, bango kubwa...
KAMA UKO SERIOUS;
Sidhani kama uko serious na hii biashara utashindwa kuchukua hii ps4.
Chukua ps4 fat, ina game la GTA
Imechipiwa,
Bado mali ni mpya tuu.
Pad hizo apo ni mpya.
Kwasababu halina game la mpira naliuza kwa 450k top.
Ila, kama uko dar nakupa connection pa kwenda kuweka games bure...
Kwa wafanyabiashara wakubwa wa gas wa jumla na reja reja kuna mitungi ya Gas inauzwa.
Mitungi hii ni Empty haina Gas, kampuni za Gas zilizopo ni zote kasoro ORYX tu.
CAM GAS
MIHAN/TAIFA GAS
OGAS
LAKE GAS
PUMA GAS
MANJIS GAS
Ukija utachagua unataka mitungi ipi uchanganyiwe vipi.
Mnunuzi ni...
Habari Wana jamii.
Habari ndugu jamaa na marafiki
Kwa wale wanaopenda sana mambo ya blog au website basi leo nawaletea website ya habari(newsportal) iliyokamili kabisa inauzwa Kwa matumizi binafsi, kampuni na kadhalika Kwa Bei ya 330k.
Ipo video preview inayoonyesha all capable feature...
Kibaha Muheza 48 ml ( Maongezi Yapo )
3 kilometers kutoka Mailoja.
Eneo 18*25
Vyumba vitatu vya kulala
1 master bedroom
Sebule na dinning room
Public toilet
Jiko na stoo yake
Fremu ya duka mbele
Piga : 0678650509
Samsung A13 dark blue color
Ni 64 GB, ram 4 gb.
Simu haina tatizo lolote, screen ipo safi.
Simu ipo Dar
Imetumika miezi 11.
Unapewa charger, box, risiti.
Muuzaji ana shida ya haraka kugharamia matibabu ya mzazi wake.
Ameshindwa kuipiga picha kwa kukosa simu ya kutumia kuipiga picha. Picha za box...
Bei; 165,000 tu. 0683011003
Inafaa kwa kazi zote zinazofanywa na Projector
Kuonesha mpira
Kutazamia movie
Kusomea
Location: Ipo Tabata kisukuru Dar e salaam
Gari inauzwa bei TSH.21,000,000/-TU ipo kwenye hali nzuri sana ilikua inasafirishiwa mikate tu ,mwenyewe kapatwa na shida ya ghafla anauguliwa ,ukihitaji kuiona ipo maeneo ya kigamboni maelezo zaidi mawasiliano,0768496151/0777496161.
NYUMBA HAIJAISHA INAUZWA
Eneo ukubwa : 448 SQM
Jiko
Two bedroom ( one master)
Dinning
Open kitchen
Public toilet
Location: Madale mbopo
Bei : 20,000,000 Negotiable
1.5km from madale road ( Lami )
Wasiliana nasi +255742749886 /0694465982
Nyumba ya ghorofa moja Inauzwa milioni 300 maongezi yapo Ipo bunju B - Dar es salaam
Vyumba Vinne vya Kulala vyote ni self contained
▫Sitting room zipo mbili chini na juu
▫Dining room
◇ Kitchen
◇Store
▫ Public toilet
▫Ukubwa wa kiwanja: sqmt 1377
◇document clean TITLE DEED (Hati miliki...
Hivi kuna mtu ambaye amefanikiwa kuonja ladha ya hizi konyagi mpya ambazo zimejaa kwenye mabango barabarani? Maana ni muda mrefu naenda maeneo ila kila nikiagiza haiji yenye ndimu ndani?
Hebu tupeane muongozo wadau wapi inapatikana ili nikaonje ladha mpya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.